Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜   N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni paschal..... oh karibu sana mr paschal mimi ni doctor Leonard..... mke wako ana ujauzito huo ndio uliomfanya apatwe na hali ya sintofahamu katika mwili wake..... wow ni jambo jema hilo dactari nimefurahi kusikia kuwa mke wangu ni mjamzitoπŸ˜„πŸ˜„ congratulations dear wifeπŸ₯°πŸ₯° I'm happy for you 😘 😊 paschal alinikumbatia kisha akanitia makiss kama yote mie sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilihisi kama kufa kufa hiviπŸ€¨πŸ˜† zile shoo za kila muda kipindi namlea junior zisingeniacha salama😌😌 si mnajua nilikuwa najishindia zangu tu nyumbani mme wangu alikuwa akija nyumbani ile saa nne kunywa chai tunasexπŸ™ˆπŸ™ˆ akija mchana kula lunch tunaduuπŸ˜†πŸ™ˆ na usiku sasa ndo ilikuwa fungulia dogπŸ”₯πŸ”₯baby kwa hiyo mimi nitakuwa mlezi wa wana tu kila kukicha😭😭 cjapendaπŸ˜­πŸ˜†.....

Tulia chimama wangu mimi niko tayari kuwa baba tena nizalie tu mamangu😘😘 katakuwa ka kike karembo kama nice inabidi nice nayy apate rafiki yake shazil yuko na Junior mzalie nice best yake then sasa tutatia kufuri mamangu❀️❀️ ndo ishaingia nafanyaje sasa ilinibidi kukubaliana na yote🀣🀣 nilipumzishwa pale hospital kuna vidawa Fulani hivi nilivipewa kwa ajiri ya kuniweka sawa baada ya kuzinywa ile hali ya ovyo niliyokuwa naisikia ilipungua kidogo.....niliambiwa niendelee kupumzika masaa kama 3 hivi then baada ya hapo tutaruhusiwa basi mwenzenu mzee baba alifurahi sana kutokana na zile taarifa za ujauzito wangu nililala katika kile kitanda cha kule hospital huku mme wangu akiwa ananipa maneno matamu alikuwa analipapasa tumbo langu huku akiwa anatabasamu mdomoni kwake....mimi kichwani kwangu nilikuwa naiwazia hali ya mzazi mwenzangu ambaye ni hemed πŸ˜ͺπŸ˜ͺ ilifikia muda tukaruhusiwa kutoka kule hospital niliwaza niondoke kweli bila kumuona hemedπŸ˜ͺπŸ˜ͺ......

Ilinibidi kumuweka paschal wazi kwa kile kilichotokea hadi mimi nikafika kule hospital alinielewa wanasemaga ukweli siku zote humuweka mtu huru namm nilimwelezea paschal kuhusiana na hemed ili nipate ruhusa yake juu ya kwenda kumuona alikubali hakukataa et .......tuliomba kumuona hemed ule usiku kabla hatujaondoka pale hospital tuliruhusiwa tukaenda kumuona alikuwa kapata majeraha ya ndani kwa ndani sehemu za ubavuni.... mgongoni na miguuni alichanika chanika kidogo baadhi ya maeneo lakini hakuwa na hali mbaya sana...... tyr alikuwa kaisharudiwa na fahamu zake tulisalimiana alisalimiana pia na paschal vizuri tu bila kinyongo paschal huwa ni mtu poa sana alf ukiwa muwazi kwake anakuwaga mwelewa zaidi anatambua kuwa yule ni mzazi mwenzangu hakuwa na noma naye japo kuna kipindi walishawahi kuzinguana paschal alimjulia hali hemed alimpa pole hemed alidai tu ya kwamba yeye alitaka tu tusalimiane na pia kama kuna uwezekano aweze kuwa anamhudumia mtoto wake na kumuona pia hiyo ndo sababu iliyomfanya yeye kuniita kule katika ile sehemu alidai kuwa amekuwa akinitafuta bila mafanikio lakini alivyoniona kule hakutaka kabisa nimpotee bila kuongea ndiyo maana mawazo yote yaliishia kuangalia kule nitakapoelekea na wala hakujali kama barabara aliyokuwa anaingia ni barabara kuu yenye magari mengi.....

Tulimpa pole..... paschal aliniruhusu kumpa ratiba ya namna ya kuwa anamhudumia mtoto wake na ratiba ya kumuona mtoto wake pia.....tulipanga kila kitu pale tukakiweka sawa tofauti zetu tulimaliza baada ya hapo mimi na mme wangu tuliondoka kuelekea nyumbani..... zikiwa zimepita kama wiki nne tangu niambiwe kuwa nina ujauzito tumboni kwangu..... siku hiyo nikiwa niko ofisini kwangu nilianza kuhisi kama hali ya kuingia period 😟😟 nilinyanyuka kwenye kiti changu nikaelekea washing room nilijichungulia kweli nilikutana na damu katika sehemu zangu za siri ile hali ilinishangaza sana😰😰 niliogopa sana nilijisafisha kisha nikajiwekea pad baada ya hapo nilimpigia dactari wangu nikamtaarifu juu ya ile hali aliniomba nifike hospital haraka sana nilimtafuta mme wangu nikamwelezea alikuja haraka akanichukua na kuniwahisha hospital......nilifanyiwa uchunguzi uliobaini ya kwamba ule ujauzito ulitunga nje ya kizazi na pale ulikuwa unatishia kutoka😰😰...... machaguo yalikuwa ni mawili kuwekwa bed rest au kutolewa ule ujauzito na nilitishiwa ya kwamba kadri utakavyokuwa unakua ndivyo hali yangu itakavyokuwa katika hatari zaidi....... haikuwa salama kwangu wala kwa mtoto aliyekuwa tumboni.....

Sikuwa tayari kutolewa kile kiumbeπŸ˜ͺπŸ˜ͺ niliwaomba tu waniweke bed rest..... niliwekwa bed rest chini ya uangalizi wa madactari..... niliendelea kubrid kama kawaida hali yangu ilizidi kuzorota damu mwilini kwangu zilipungua kwa kiasi kikubwa sana nilidhoofu sana tumbo lilikuwa linaniuma sana mgongo na kiuno ndo usiulize ilifikia hatua madactari waliamua kunitolea ule ujauzito kwa ajiri ya usalama wangu......baada ya kusafishwa nilibakia hospital kwa siku kadhaa nikaruhusiwa kutoka hali yangu haikuendelea kuwa mbaya namshukuru mungu niliweza kurudi kazini na afya yangu ilikuwa inaimalika siku hadi sikuπŸ™ kule nyumbani Tanzania mika alimaliza matibabu yake ya saikolojia akawa amekuja nchini marekani kupumzika kwa miezi kadhaa alibadirika sana.... mika huyu wa sasa ni kijana mucha mungu ana heshima na adabu kwa wakubwa na hata wadogo pia.... baada ya mapumziko ya muda wa miezi kadhaa huku usa mika na paschal waliplan kufungua kampuni nchini Tanzania ni kampuni ya kifamilia inayosimamiwa na mika....

Walipanga bajeti ya mahitaji na vifaa vyote vinavyohitajika katika ujenzi na ufunguzi wa hiyo kampuni baada ya hapo walitafuta jina zuri la kampuni then walinunua mahitaji yote kutokea huku usa bada ya hapo walisafiri kuelekea nchini Tanzania kwa ajiri ya kwenda kuhangaikia hiyo biashara waliohitaji kuifungua...... tunamshukuru mungu kila kitu kilienda sawa kama kilivyopangwa..... hatimaye mika alipata pango lake la kutulia na alijua kufocus katika biashara kama tulivyotarajia.......

Ilikuwa ni asubuhi siku ya Jmosi mzazi mwenzangu ambaye ni Hemed alimpigia simu mme wangu paschal akamuomba ruhusa wa kuja kututembelea pale nyumbani alitamani kuwa na moment ya pamoja na mtoto wake pamoja na mama yake ambaye ni mimi hapa alitamani tu mtoto apate muda wa kutuona wazazi wake wote tukiwa katika sehemu moja..... pia kuna maongezi mengine alihitaji kuongea na sisi sote mimi pamoja na mme wangu..... kwa kuwa ilikuwa weekend paschal yuko nyumbani alimkubalia Hemed alimkaribisha..... mida ya mchana Hemed alifika pale nyumbani akiwa amefungasha vitu vya kutosha kwa ajiri ya watoto..... alikuwaga akija kumuona mtoto wake hanunui tu vitu vya mtoto mmoja alikuwa ananunua vya watoto wote wa pale nyumbani..... siku hiyo Hemed hakuja peke yake alikuja pamoja na mercy nilifurahi sana kumuona mercy nilimkumbatia alikuwa ni mjamzito etπŸ₯°πŸ₯° tulisaliamna pale Hemed alishangaa kutuona tukiwa tumechangamkiana🀣🀣🀣 hee nyie wawili kwani mnafahamiana?! Aliuliza hemed...... hajui kama yeye kuwa na mercy ulikuwa ni mpango wangu mimi🀣🀣 ndiyo tunafahamiana tulishawahi kufanya kazi katika kampuni moja nilijibu kiufupi tu kisha niliwakaribisha ndani.....

Maongezi ya hapa na pale yaliendelea yalikuwa ni mazungumzo ya kifamilia furaha upendo na amani vilitawala kati yetuπŸ₯°πŸ₯° lilikuwa ni jambo la kheri pale ambapo Hemed alisimama na kumtambulisha mercy kwetu kama mkewe mtarajiwa na alituomba sisi ndo tuwe bestie wao katika harusi yao ambayo tyr ilikuwa imeshapangwa na walikuja na card zetu pale tuliwapongeza sana lilikuwa ni jambo jema sana mimi na mme wangu paschal tulikubali kuwa bestie wa bwana harusi na bibi harusi ambao ni hemed na mercy katika siku ya ndoa yao....tuliwapongeza kwa uamuzi mzuri walioufikia kwa pamoja tuligonga cheers 🍻 πŸ‘ tulikula tulikunywa tulifurahia kwa pamoja na jioni hemed na mercy waliaga wakaondoka ilishakuwa kama family friends 🫢🫢 maandalizi ya ndoa ya hemed na mercy yalianza kufanyika ikiwemo kuchagua sare, kuhudhuria katika mazoezi, na mengineyo meeengi kabisaa mzazi mwenzangu aligeuka kuwa rafiki yanguπŸ₯°πŸ₯° siyo mimi tu alikuwa ni rafiki hata kwa mme wangu.... hayawi hayawi hatimaye yakawa bwana😍😍 mercy na hemed walifunga ndoa takatifu ya kiislam visiwani zanzibar.....

Baada ya kumalizana na ndoa ya Hemed ambaye ni mzazi mwenzangu tulipata muda wa kuvinjali visiwani zanzibar mimi na mme wangu a.k.a Boss paschal 😍😍 tulitumia muda wa siku 31 kula raha visiwani humo na baada ya hapo tulipita jijini dar es salaam kusalimia wana familia baada ya hayo yote tulirudi zetu USA ambako ndiko tunakoishi hadi leo hii mimi na mme wangu pamoja na watoto wetu...Asanteni

*MWISHO*

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜


Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni paschal..... oh karibu sana mr paschal mimi ni doctor Leonard..... mke wako ana ujauzito huo ndio uliomfanya apatwe na hali ya sintofahamu katika mwili wake..... wow ni jambo jema hilo dactari nimefurahi kusikia kuwa mke wangu ni mjamzitoπŸ˜„πŸ˜„ congratulations dear wifeπŸ₯°πŸ₯° I'm happy for you 😘 😊 paschal alinikumbatia kisha akanitia makiss kama yote mie sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilihisi kama kufa kufa hiviπŸ€¨πŸ˜† zile shoo za kila muda kipindi namlea junior...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-74-75

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

1.12K
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜

499
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜   N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜

401
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

235
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

197
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

195
MY WANGU❀️ sehemu ya 118

MY WANGU❀️ sehemu ya 118

158
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

101
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

99
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1

77

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.24K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.98K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.51K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.34K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.33K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❀️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜   N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa β€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic β€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❀️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest