Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 118
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 118

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige akasema yule usimguse si una ona hali yake . Sasa jichanganye alafu apa sasa yule muweke pembeni. Tunaongea wanaume watupu yani mm na wewe . Nimekwambia muachie mtoto mkono. Zayd akasema simuachii. Aseeee mlige alimpiga ngumi ya uso mpaka nilisikia kitu kimegoka usoni kwake uni ile koo. Weeee kwa nn asimuachie rahul . Nikamshika mwanagu haraka.mlige akanipa funguo. Akanmbia kapande kwenye gari. Mie waka sikujiuliza .nikaondoka na mwanangu tukapanda katika garii. Ila mimi nimekaa kioo cha mblee naona kinacho endelea . Aseeee zikiamka ngumi sitaki kuwaambia. Uyo zayd anajiweza sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Alipigwaaa sitaki kuwambia . Mpaka mimi nilishuka kwenye gari .nilihisi mlige anamuua zayd pale . Kwanza kashamuweka chini anampiga ngumi za kichwaa. Zayd analia kama mtoto. Alivaa t shiry jeupe lote kimeloa damu. Na bado anampiga kwa hasira . Uku nalia.nikajua apo ni kamuunganishia mpaka yaliyotokea nyuma. Watu ata kugombelezea wameshindwaaa yani ana nguvu mnoo. Noeee mimi ndo nilienda nijapiga magoti .nikamwambia mlige una kiumbe ana kuja utanenda jela naleaje .wenyewe. plssss bba muache achana nae. Mlige ananiangalia ananmbia uyu ndo chanzo cha mapito yangu yite. Nikasema muche plsssss . Mlige ndo anamuacha mkono wake una damu yani . Nyieeee apo zayd ni ana hema kwa shida mpka nikawa naogopa .asije akfaaaa. Mlige akanishika mkono mbele zawatu . Akanivuta mpkaa kwenye gari tukaingia tukasepaaaaa. Ata sielwi ananipeleka wapi.

Ni ana hasira naanzaje kumuuliza nilitulia kimyaaa. Na yye ni kimya. Hi siku ata rahul hakuwa sawa . Ni yupo kimyaaa. Mh akaw anaelekea biharamulo . Nikajua ni anatupeleka kule alipokuwa ananijengeaa. Tukafika saasa wwwo nyumba imeshaisha ni nzuri na kuzuri mnoo. Amejenga nyumba ya kisasa ya ghorofa 1. Ndani kuzuri sana. Yani nilipapenda kaweka mpaka swimming. Bembea za watoot. Na fensi. Yani nilifurahi sana moyoni . Ila kwa mda ule niliuchuna mana baba alikuwa kavimba mnoo.basi tumeingia ndani. Kuna kila kitu yani furnituress zote zipo ndani. Mh mlige akamwambia rahul. Njoo apa mwanagu . Pole sana mkono unauma sana. Rahul akasema umepoa baba . Akammabia sawa nenda chumba kile kalale kwanza . Kisha mma anapika anakuja kukuamsha . Akase.a sawa baba.kweli mwanagu akaingia chumbani kupumzika .mlige akanishika mkono tukapandisha chumbani kwetu sasa . . kuzuri mnoooo sitaki ata kuwaambiaaa. Juu kaniweke picha yangu ya graduu ya form six.

Mh tumefika kwanza kaingia bafuni kuoga.nikajua kaenda kupunguza hasira zake ukoo. Kaoga akipotoka kaja kuwakia mm. Et ulikuwa unaongea nn na jamaaa. Nakuiliza wewe . Mlikuwa mnaongea nn. Muzaa ndo imekiwa shida. Unataka ukaludianae nae tena si ndio. Mnafanya mtoto kama kisingizio nambiee nakwambia. Aseeeee asa mm kosa langi nn. Mi wala sikujibu . Nikanyamaza kimya. Akanifokea sana nakwambia . Mi nikawa nalia tu. Mana akaanza kunambia unababaika na ule weupe wake sio . Usenge usenge mim sitaki faridah. Ukuma sitaki. Asa matusi ya nn. Nikajikuta tu nakla. Wala sikumjibu ata kitu kimoja. Akivyomaliza kutukana namuona katulia. Mie nikajikokota nikaingia kuoga. Nimetoka nakuta hayupo ndani. Mie wala sikutaka ata kujua kaenda wapi kashanitiibua .siku hizi amekuwa na matusi ata simuelewi kayatoa wapi wakati wala hakuwa anatukana. Mie nikavuta tauro nikajilaza kitandani mana kwanza nilichoka na hii hali yangu. Mala namuona kaingia na sahani ya chakura. Et mke wangu inuka ule. Nikamwambia nimeshiba kisha nikageuka upande mwengine. Akaweka sahani chini. Skatoka mule chumbani. Baada ya mda akaludi. Et mke wangu umelala. Usikasilike samahani mke wangu zilikuwa ni hasira. Nikainuka na mm kwa hasira . Nikamwmabia na mm nimechoka na lawama zako na matusi yako mligeee. Akanifata akaniweka mdomo kidoleni . Akanmbia basi mama usiendelee kuongea ukija kunambia hunitaki mimi. Plssssssss acha faridahaaa. Nisamehe mke wangu. Ni wivu tu na hasira .

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 118



Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige akasema yule usimguse si una ona hali yake . Sasa jichanganye alafu apa sasa yule muweke pembeni. Tunaongea wanaume watupu yani mm na wewe . Nimekwambia muachie mtoto mkono. Zayd akasema simuachii. Aseeee mlige alimpiga ngumi ya uso mpaka nilisikia kitu kimegoka usoni kwake uni ile koo. Weeee kwa nn asimuachie rahul . Nikamshika mwanagu haraka.mlige akanipa funguo. Akanmbia kapande kwenye gari. Mie waka sikujiuliza .nikaondoka na mwanangu tukapanda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-118

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU sehemu ya 43
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

1.17K
MY WANGU❤️ sehemu ya 118

MY WANGU❤️ sehemu ya 118

526
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

518
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘

472
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

253
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

223
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

204
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

111
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

87
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

74

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.24K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.99K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.51K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest