Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 08
Gonga94 ยท Stories

MY CRAZY BOSS 08

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO


Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu

Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya saa tatu, simu yangu ya mkononi ikiwa inaita kwa fujo sana. Niliinua simu hio na moja kwa moja nikapokea na kuweka sikioni

"Haloo?".

Yes , haloo nani mwenzangu unanikatisha kwenye starehe yangu?. Niliuliza.

" Ni mimi Joyce, mbona unanifanyia hivi lakini , naomba tukutane tuongee tafadhali mama, Erick alizungumza".

" Kuhusu hilo nitajifikiria nipe muda. "Nilijibu kisha nikaendelea kulala huku moyoni nikijiona nimewin kuliko neno win."

Usiku nikiwa sina hili wala lile ,simu yangu iliita na mpigaji akiwa ni boss Erick
" Haloo "

"Yes haloo,nakuskiliza."

"Nimefika nipo nnje naomba toka tuongee,boss Erick alizungumza".

Sawa nakuja ,nilijibu kisha nikakata simu.Moja kwa moja nilielekea nnje sehemu aliponielekeza.

Nilifika mahali pale ambapo nilimkuta amesimama akiwa kainamisha kichwa chake chini,huku akiwa amevalia suruali nyeusi pamoja na tisheti nyeusi mithili ya mtekaji.Kwa jinsi alivyovaa nilisita kumsogelea ila ilinilazimu kujikaza

"Nimefika nakusikiliza๐Ÿ˜." Nilizungumza.

"Asante kwa kuja ,naomba uingie ndani ya gari tuongee tafadhali."

" Ni sawa."
Kwa pamoja tuliingia ndani ya gari ,macho ya boss muda wote yalikuwa usoni kwangu ,nilijikuta naona aibu ila ilinilazimu kujikaza tu.

" Naomba unisamehe Joy,haikuwa kusudio isitoshe ulikuwa umelewa."

Hapohapo kwahiyo kama nililewa ukaona uchukue advantage ya kuniingilia si ndio?".Niliuliza.

Hapana ,nisamehe nimekosea Joy tafadhali naomba urudi kazini.Boss alizungumza.

Nimekusamehe,ila siwezi kurudi kazini.Nilijibu.

Ni sawa,waweza kwenda boss alinijibu huku akioneshwa kuchukizwa.Upande wangu nilishangaa kwani nilidhani angeendelea kuniganda kama mwanzo lakini haikuwa hivyo.

Nilifungua mlango na kuanza kutoka ila kabla sijafika nnje..........Nilishtushwa na mkono ulonivuta na kunirejesha ndani kwa nguvu.

"Unafanya nini boss?.Niliuliza.

Usiondoke Joy nisamehe mbona mimi silalamiki na umenikosea?.Alizungumza.

Nimekukosea?Kivipi na wewe ndo umen........kabla sijamaliza boss alinisogeza karibu yake na kuanza kunishushia mabusu bila kuniachia

Nilijikuta nashindea kujizuia nikaanza kulegea hapohapo,mara akaniachia nakusema:" Si unaona Joy hata wewe unataka ni vile tu."

" Niachie niachie,sidhani kama wastahili msamaha ,niliongea hayo huku nikijikaza na kushuka kwenye gari japo kiukweli nilikuwa vibaya sana".

" Mbona hata wewe umenitoa bikra yangu na silalamiki Joy ,kunisamehe tu unashindwaa".Nikiwa natembea nilishtushwa na sauti ya Erick ikizungumza hivyo

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKama kawaida ya uswazi watu waliokuwepo nnje na wapangaji wenzangu waliangua kicheko,ni ajabu sana mwanaume kutamka kuhusu bikra.
Nilipuuzia na kuendelea kupiga hatua

" Ni kweli Joyce mbona hata nilivyokut** ulienjoy sasa kwanini hutaki kunisamehe au unahofia nitaku...........kabla hajamaliza kuropoka nilimkimbilia chap,nikamrukia kwenye gari na kumziba mdomo

"Nimekusamehe,nimekusamehe inatosha sasa kuniaibisha Erick." Nilijikuta nikiropoka .

Ooh asante sana ,nashukuru sana ,naomba kesho uwahi kazini.Erick alizungumza.

Ni sawa,nilijibu kisha
Nikashuka kwenye gari.

"Asante J". Nikiwa natembea nikasikia Boss Erick akiropoka tena. Nilimgeukia na kumpa ishara afunge bakuli lake ๐Ÿค๐Ÿคkisha nikaingia ndani nikiwaacha watu wote wakitabasamu kinafki kama kawaida ya uswazi,inuka tukuseme๐Ÿคฃ.

Itaendelea

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 08


SONGA NAYO


Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu

Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya saa tatu, simu yangu ya mkononi ikiwa inaita kwa fujo sana. Niliinua simu hio na moja kwa moja nikapokea na kuweka sikioni

"Haloo?".

Yes , haloo nani mwenzangu unanikatisha kwenye starehe yangu?. Niliuliza.

" Ni mimi Joyce, mbona unanifanyia hivi lakini , naomba tukutane tuongee tafadhali mama, Erick alizungumza".

" Kuhusu hilo nitajifikiria nipe muda. "Nilijibu kisha nikaendelea kulala huku moyoni nikijiona nimewin kuliko neno win."

Usiku nikiwa sina hili wala lile ,simu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-08

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 07
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

1.18K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118

578
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

521
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

482
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

261
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

233
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

116
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

108
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

75
MY CRAZY BOSS 08

MY CRAZY BOSS 08

48

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.24K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.34K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.33K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana ๐Ÿฅน Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest