Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
Gonga94 · Stories

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi

ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha

ya mama na Mtoto.

Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa ni Mimi au armenifananisha

"Ishani Uko Sawa ?"

Madam Groly aliniuliza uku akinisogelea kwa wasiwasi

"Ujaumia

Aliniuliza Tena madam Groly

"Sijaumia, Nisamehe sana madam nimeangusha kwa Bahati mbaya limeniteleza

Nilianza kujitetea Mwenyewe kabla mambo

hayajaanza Kuwa mabaya

"Usijali, kikubwa ujaumia na Uko Sawa Kuwa na amani binti yangu

Alizungumza madam Groly kwa sauti yenye upendo mkubwa sana Ndani yake.

"Asante, ngoja nikachukue maji Nije Kusafisha Nilizungumza kisha nikageuka na kutaka kwenda jikoni lakini gafla.

"Wewe simana hapo"

Ilikuwa ni SAUTI ya enzo, mkaka ambaye namchukia mno Mungu anajua Kitendo cha enzo kunisimamisha kiliniogopesha

sana Tena sana, nilijikuta nikitetemeka sana.

"Mungu wangu Huyu asije akalopoka Kuwa ananijua

Nilizungumza kimoyomoyo.

Ngoja niwakumbishe kitu mnaweza mkawa mmesahau, Ishani Mimi, sikuwa mkweli kwa Madam Groly Maana nilimdanganya Kuwa siku ambayo nilipata ajali, Ndio siku nilifika Dar. halafu Kijana wake ananijua vizuri sana.

Anyway tuendelee

Kwa upole wa hali ya juu nikageuka na kumuangalia enzo wa woga, aibu, na wasiwasi

wa hali ya juu.

"Umeumia wewe Mbona kuna damu hapo chini

Alizungumza enzo, na hapo Ndio nikagundua Kuwa vichupa vya jagi viliweza kunichana mguuni kidogo.

Kwa mwendo wa haraka enzo akaninyanyua na

kunisogea kwenye kochi,

"Nenda nae kwenye chumba cha huduma ya kwanza ukamfunge iko kidonda

Alizungumza madam kisha akaondoka kuelekea

koni

Kwa upande Enzo amekuwa akiniangaila sana usoni Kana kwamba ananifananisha.

"Nitatembea Mwerryewe"

Nilimwambia enzo baada ya kutaka kunibeba Tena kwajili ya kwenda kwenye iko chumba cha huduma ya kwanza.

lla subilini kwanza, hivi kuna watu Ndio wanaishi Namna hii? Yani watu majumbani kwao wana zahanati ndogo ? Eeeh Mungu nipe hela na Mimi

"Kumbe Jina lako ni Ishani sto

Enzo aliniuliza akiwa amenikazia macho

Tulibaki tukiangaliana tu na mwisho enzo akaninyanyua na tukaenda kwenye chumba che huduma ya kwanza, enzo aka funga mlango

kabisa.

"Umefikaje NYUMBANI kwetu ?"

Enzo aliniuliza uku akiendelea kuniafisha

kidonda, lla iko kidonda Sasa Yaani ni

tudogo sana ni vile tu nimeumia kwa watu wenye hela, ila ningekuwa Mwenyewe

ningejimiminia chumvi tu kwisha habari

"Ni wewe Ndio ulipata ajali

Mama yangu akakusaidia?"

Enzo aliamua kuniuliza swali jingine ingawaje sikuwa nimemjibu swali lake la kwanza

"Ndio"

Nilijibu.

"Na kwenye kazi yako kule imekuwaje?

Enzo aliniuliza akionesha wazi Kuwa TAYALI

ameshajua Kuwa Mimi Ndio msichana ambaye

ameshawai kuona utupu wangu.

Nilimuangalia enzo kwa muda mwisho nikajizima data na kumuuliza

"Kazi gani ? Mbona unaniuliza Kama unanijua?"

"Ina Maana Mimi unikumbuki au?"

Enzo aliniuliza.

"Ndio Mara ya kwnza tunaonana Unataka

nikumbuke nini?"

Ikawa ni mwendo wa maswali juu ya maewall

hakuna majibu kuna Namna niliamua

kufanya hivyo ilo tu nisije nikaharibu na

kufukuzwa ikiwa sina sehemu ya kwenda.

Bani enzo akanihudumia

tukaenda kwenye meza ya chakula.

kwa pamoja

"Mama zena, finally enzo yuko TAYALI kuoa sasa

Alizungumza mume wa madam Groly akiwa Na

Furaha sana

"Linaca kitu gani na limezoea uasherati

Nilizungumza kimoyomoyo uku nikimuangalia

enzo kwa jicho la upande

Enzo Kwanini umekuja NYUMBANI usiku jamani

Madam Groly alimuuliza Kijana wake, kuna

Namna niliona Kuwa enzo anapendwa sana na

wazazi wake kuliko Huyu Suzy, na ata uongeaji

wa enzo kwa wazazi. Wake ni tofauti na Suzy,

Yaani Suzy anangeaga na wazazi wake Kama

anaongea na Mike mwenzie.

"Nitakuwa hapa Kama week mbili hivi Maana Nina likizo kazini

Madam Groly alikisi mkono wa enzo akionesha

ni kiasi gani amefurahishwa na taarifa hizo

Hatimaye ni siku 3 sasa tangu enzo aje hapa NYUMBANI kwao, kwa upande wangu nilikuwa nikimkwepa sana Tena sana, lakini ilikuwa

tofauti kwa mama zena ambaye alikuwa akipenda sana kukaa na enzo wakati wote na hii inikela sana kwani sikuwa mtu kupiga

nae story

Kwa upande wa Suzy alikuwa bize akiangalka

kuhakikisha Kuwa Mimi nafukuzwa kule Ndani,

kitu ambacho sikielewi kwa Huyu msichana ni

kwamba nimewai kumkoses kitu gani Mpaka

kufikia hatua ya kunichukia kiasi hiki.

Ikiwa ni Majila Ya joni, Suzy akajizoa moja kwa

moja Mpaka chumbani kwa Enzo.

"Haya Una jipya gani Tena chumbani kwangu?"

Enzo alimuuliza Suzy

"Kuna kitu nataka unisaidie enzo

Alizungumza Suzy kwa SAUTI ya kudeka sana

kisha moja kwa moja akasogea na kukaa

kwenye miguu ya Enzo na kwa SAUTI ya chini

akazungumza.

Enzo ongea na mama amuondoe Huyu binti

hapa NYUMBANI me sitaki kumuona

Enzo akamuangalia Suzy kwa muda kisha

akamuuliza

"Unamuongelea Ishanii au

"Ndio

simpendi

sitaki kumuona please

ongea nae amuondoe umu Ndani

"Lakini Kwanini amuondoe ukiwa hana kosa lolote lile binti wa watu?"

Enzo alimuuliza Suzy

"Makosa yapo Tena ni mengi tu lakini mnayafumbia macho, enzo hivi uoni Kuwa Huyu

maichana ni Kama mchawi mchawi hivi? Yaani nyote mnamtetea yeye, mama Ndio kabisa

amemfanya binti yake"

Enzo akamuangalia Suzy na kumwambia

"Jipe muda tu najua utamuelewa na kumpenda pia, Ishani yupo cool"

Kwa upande wangu nikiwa nimekaa tu sebuleni, madam akaja na kuniuliza.

"Enzo yuko wapi?"

"Alikuwa chumbani kwake"

Nilibu

"Kaniltie Mara moja

Kwa haraka nikanyanyuka na kwenda Mpoka chumbani kwa enzo, nilipofika mlangoni.

niliweza kusikia maongezi yake na Sury

nikajikuta nikiacha kumuita na kusikikza umbea.

"Enzo lakini Kwanini umeamua kunitesa eeeh ? Umeona kunikataa haitoshi leo hii Unataka kuoa

kwell?"

Ilikuwa ni SAUTI ya Suzy na alikuwa

akimwambia enzo, kuna Namna Nilihisi Kama sielewi wanazungumzia vitu gani hivi, Yaani Suzy anazungumza utazani enzo ni boyfriend wake

vile.

"Suzy Ebu nenda chumbani kwako Nina kazi

nyingi za kufanya




Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*



Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi

ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha

ya mama na Mtoto.

Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa ni Mimi au armenifananisha

"Ishani Uko Sawa ?"

Madam Groly aliniuliza uku akinisogelea kwa wasiwasi

"Ujaumia

Aliniuliza Tena madam Groly

"Sijaumia, Nisamehe sana madam nimeangusha kwa Bahati mbaya limeniteleza

Nilianza kujitetea Mwenyewe kabla mambo

hayajaanza Kuwa mabaya

"Usijali, kikubwa ujaumia na Uko Sawa Kuwa na amani binti yangu

Alizungumza madam Groly kwa sauti yenye upendo mkubwa sana Ndani yake.

"Asante, ngoja nikachukue maji Nije Kusafisha Nilizungumza kisha nikageuka na kutaka kwenda jikoni lakini gafla.

"Wewe simana hapo"

Ilikuwa ni SAUTI ya enzo,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzoo-sehemu-ya-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzoo-sehemu-ya-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

1.06K
WEWE NI WANGU 12 na 13

WEWE NI WANGU 12 na 13

177
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

99
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

89
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

81
MY CRAZY BOSS 09

MY CRAZY BOSS 09

39
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

35
AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*

16
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.27K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.01K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.12K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.35K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10 Post Mpya
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10
@majario LIVE

Asubuhi na mapema, nilidamka na kuingia mtaani ili niweze kupata chochote kitu Maana nilikuwa Nina njaa sana kwa wakati huo. Najua wengi mtaniuliza nilipeleka wapi Pesa ambazo nililipwa kwa kina enzo...

AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*
@majario LIVE

Nilijikuta nikipata mshtuko na wasiwasi wa hali ya juu. "Ina Maana ma Mdogo amemlipa Enzo kuja kunirudisha hapa?" Nilijiuliza kimoyomoyo. Baada ya kimya cha muda mfupi kidogo, enzo akaniambia. "Haya Shuka tumefika" Nilimuangalia kwa macho...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
@majario LIVE

seven alifurahi sana hata fahima nae alifurahi pia, seven alimsogeza fahima na kumkumbatia. asante sana mke wangu kwa kuniheshimisha akambusu fahima alisema seven kisha hongera sana mr seven sasa unatakiwa uwe sana...

MY CRAZY BOSS 09 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 09
@majario LIVE

SONGA NAYO Niliingia ndani , sikuwa na usingizi kabisa , ni ajabu sana kwani nilijikuta nikiwaza sana kuhusu Boss Erick muda wote. Kwenye maisha yangu yote nimewahi kukosewa na wanaume...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*
@majario LIVE

Baada ya kuzunguka sana na kuchoka nikajikuta nikkaa tu chini kuanza kulia, najua mtanicheka lakini ni Kama akili yangu ilifika mwisho kwenye kufikilia lakini pia kuangaika Muda huo huo kapita...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
@majario LIVE

Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba enhe mwenzetu vipi?,...

WEWE NI WANGU 12 na 13 Post Mpya
WEWE NI WANGU 12 na 13
@majario LIVE

SEHEMU YA 12 Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamani😂 sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa Akaita boda boda baada...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha ya mama na Mtoto. Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120. Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
@majario LIVE

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana 🥹 Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest