Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

WEWE NI WANGU 12 na 13
Gonga94 Β· Stories

WEWE NI WANGU 12 na 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SEHEMU YA 12
Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamaniπŸ˜‚ sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa

Akaita boda boda baada ya nusu saa ikawa imefika muda huo ni saa mbili usiku, baada ya boda kufika nikatoka nje nikiwa namsindikiza penina, mpaka getini

Nilipohakikisha amepanda boda na kuondoka na mimi ndio nikageuza kurudi ndani, mara jirani yangu huyu hapa ametoka na khanga ambayo imeng'ang'ania mambo yake

Hivi wanawake na nini lakini, hii si mitego kabisa hii ambayo mwanaume lijari hawezi kuchomoa kabisa, yule dada akanipita huku anannichezeshea

Kwa kuwa sikuwa sawa sikumzingatia akili yangu moyo wangu vilimuwa Lizy tu...

Hatimae siku ikapita kesho nayo nikaenda shule kama kawaida, nafika napo sioni mtu, natafuta week wapi simuoni aisee nilianza kuweuka πŸ˜‚

Yani nilikuwa kama chizi kabisa, tena chizi wa mapenzi, basi siku zilikimbia week moja mpaka mbili nikaanza kuzoea sasa maisha ya kukaa bila yeye

Siku ya jumatatu asubuhi nikaamka na kipindi chote hicho mapenzi yangu yote niliyaamishia kwa penina maana alikuwa ananijali sana huyu dada na kuna wakati nilijikuta nikianza kumpenda kabisa

Kuna kale kaupendo kalianza kujitokeza kwa mbali, msije mkazani nimemsahau yule mtoto hapana kwa kweli, nafasi ya Lizy kwenye moyo wangu ni kubwa mno

Na kama ikitokea akarudi basi naweza nikamsahau penina yani kabisa namsahauu mara moja, ila kama akikaa miaka kadhaa kenda nitamsahahu kabisa hata akirudi hapa upendo wake utakuwa umefutika kabisa..

Basi jumatatu nililuwa na zamu shuleni, yani mimi ndio nilikuwa mwalimu wa zamu so nilitakiwa kuwahi asubuhi saa kumi na mbili mwamba nilitinga shuleni

Nikiwa mwalimu ambaye ninaongoza kwa kuwa body nzuri sana siku hii niliwaka walah, kila nilipokuwa napita wanafunzi wananitazama, basi niliendelea kusimamia usafi

Saa moja kamili kila kitu kilikuwa tayari katika week iliyopita niliwasisitiza sana wanafunzi kuwahi namba na namba nilisimamia mwenyewe

Siku hii watu waluowahi namba walikuwa wachache sana, yani wachache na yote namba nilihesabisha mimi kama ningeruhusu kiongozi ahesabishe namba basi wangekuwa watu wengi mno

"Wale wote ambao mmnajijua mmewahi namba ingieni darasani na wachelewaji wote mtabakia hapa sasa ole wake mtu ambaye kichwa chake kimeota funza awe hajawahi namba atoe fuvu lake hapa aisee ndio atanijua mimi ni nani..."

Nilisemabhayo kisha nikatulia pembeni, kweli wanafunzi waliowahi waliingia madarasani na mimi na mbichwa wangu mkjbwa nikaenda huko huko kujihakikishia

Nilipojihakikishia nilirudi na kuanza sasa kuwapa mazoezi makali nyieeeh, kuna wanafunzi walikuwa mpaka wanalia πŸ˜‚ acheni tuu katika kupitia wanafunzi ambao wanategea si nikamuona Lizy bana πŸ₯Ή......

ITAENDELEA.........
SEHEMU YA 13
SONGA NAYO........

Nae alikuwa mmoja wao tena anapiga mazoezi ile mbaya , πŸ˜† nikasimama kwanza na kumtazama na yeye akanitazama binti alikuwa ananitazama kama hanijui walah nilikuwa naumia πŸ˜…

"Wewe..."

Baada ya kuona siangaliwi nilimuita akainua uso na kunitazamΓ , nyieee hivi huyu binti ndio amekuwa mzuri hivi yani alitakata na kuwa mweupe

Mikono yake ukiitazama ule mshipa wa damu lazimaa uuone walahi πŸ˜… binti alikuwa mzuri, na hii siku bwana alikuwa amemvaa nguo mpya kabisa yani alipendeza ile mbaya

Mwanaume mimi nikabaki namshangaa huyu mwanafunzi kwa namna alivyonawiri nashindwa hata kumuelezea kwa kweli, sasa wakati namtazama Penina akawa amefika mpaka nilipokuwa

Bqqda ya Penina kufika ikabidi nitoke pale maana huyu dada hacheleqi kumzaba Lizy mabao na vile hampendi aweee

"Jamani nimewasamehe lakini hakikisheni kwamba kesho mnawahi namba.."

Niliongea hayo huku nikiondoaka, basi wanafunzi wakashangilia, lakini nilipomtazama Lizy hata hakufurahia kabisa, akanyanyuka na kukung'uta vumbi kwenye sket yake kisha huyo akaondoka bila hata kuniangalia

Muda wa masomo ukaanza, ilikuwa ni kipindi cha madam Penina lakini nilimuomba nikamsaidie 😁 aliponiuliza kwanini nikamjibu nakusaidia kama mpenzi wangu, basi akakubali huku akisema ataongozana na mimi lakini nilikataaa 😁😁

Hakuwa mbishi akabaki kweli nikaenda kufundisha kiswahili, nilipoingia tu darasani nikamkuta lLizy amekaa na pembeni yake alikuwepo mvulana flan hivi ni head boy wa shule

Kwanza baada ya kuwaoona tu moyo uliniuma hivi mnajua kuumia nyie yani niumia na wivu juu, πŸ˜…πŸ˜… walah huyu binti ananifanya nichukie watu kwa kweli.

Basi niliingia hivyo hivyo na maumivu yangu na kuanza kufundisha, kiherehere chote cha kuja kufundisha kiliniisha kabisa, yani nilikuwa sina raha kabisa

Hataimae somo lilisha nikanyanua kitabu changu na chark kisha nikazungumza

"Bony, naomba unifate ofsin..."

Nilizungumza na bila kupoteza muda niliondoka zangu huku nikiwaacha wwakinitazama, basi baada ya kufika ofsini nilikaa kwenye kiti na kujiinamia chini chini

Nilikuwa naumia amani πŸ₯Ή haya maumivu yasikie tu kwangu ila omba yasikikukute ndugu yangu na kama yamekukuta naomba uje unifariji ndugu yangu nahisi kufa πŸ₯Ή

"Sir nimeitikia wito.. "

Nikiwa nimejiinamia nikasikia sauti ya head boy, nikanyanyua uso na kumtazama jicho langu lilikuwa jekundu sana tena kali nyieee, kijana wa watu aliogopa πŸ˜…

"Kwahiyo wakati wote nafundisha kazi yako ilikuwa kumshika Lizy si ndio..??"

Nilimuuliza

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WEWE NI WANGU 12 na 13


SEHEMU YA 12
Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamaniπŸ˜‚ sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa

Akaita boda boda baada ya nusu saa ikawa imefika muda huo ni saa mbili usiku, baada ya boda kufika nikatoka nje nikiwa namsindikiza penina, mpaka getini

Nilipohakikisha amepanda boda na kuondoka na mimi ndio nikageuza kurudi ndani, mara jirani yangu huyu hapa ametoka na khanga ambayo imeng'ang'ania mambo yake

Hivi wanawake na nini lakini, hii si mitego kabisa hii ambayo mwanaume lijari hawezi kuchomoa kabisa, yule dada akanipita huku anannichezeshea

Kwa kuwa sikuwa sawa sikumzingatia akili yangu...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-12-na-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wewe-ni-wangu
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

1.06K
WEWE NI WANGU 12 na 13

WEWE NI WANGU 12 na 13

177
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

99
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

89
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

80
MY CRAZY BOSS 09

MY CRAZY BOSS 09

38
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

35
AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*

16
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.27K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.01K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.71K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.12K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.53K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.35K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.33K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10 Post Mpya
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10
@majario LIVE

Asubuhi na mapema, nilidamka na kuingia mtaani ili niweze kupata chochote kitu Maana nilikuwa Nina njaa sana kwa wakati huo. Najua wengi mtaniuliza nilipeleka wapi Pesa ambazo nililipwa kwa kina enzo...

AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*
@majario LIVE

Nilijikuta nikipata mshtuko na wasiwasi wa hali ya juu. "Ina Maana ma Mdogo amemlipa Enzo kuja kunirudisha hapa?" Nilijiuliza kimoyomoyo. Baada ya kimya cha muda mfupi kidogo, enzo akaniambia. "Haya Shuka tumefika" Nilimuangalia kwa macho...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
@majario LIVE

seven alifurahi sana hata fahima nae alifurahi pia, seven alimsogeza fahima na kumkumbatia. asante sana mke wangu kwa kuniheshimisha akambusu fahima alisema seven kisha hongera sana mr seven sasa unatakiwa uwe sana...

MY CRAZY BOSS 09 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 09
@majario LIVE

SONGA NAYO Niliingia ndani , sikuwa na usingizi kabisa , ni ajabu sana kwani nilijikuta nikiwaza sana kuhusu Boss Erick muda wote. Kwenye maisha yangu yote nimewahi kukosewa na wanaume...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*
@majario LIVE

Baada ya kuzunguka sana na kuchoka nikajikuta nikkaa tu chini kuanza kulia, najua mtanicheka lakini ni Kama akili yangu ilifika mwisho kwenye kufikilia lakini pia kuangaika Muda huo huo kapita...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
@majario LIVE

Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba enhe mwenzetu vipi?,...

WEWE NI WANGU 12 na 13 Post Mpya
WEWE NI WANGU 12 na 13
@majario LIVE

SEHEMU YA 12 Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamaniπŸ˜‚ sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa Akaita boda boda baada...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha ya mama na Mtoto. Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120. Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
@majario LIVE

πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄ πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄ Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana πŸ₯Ή Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest