Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
Gonga94 Β· Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba

enhe mwenzetu vipi?, mbona unajichekesha chekesha sana auu kimekunasa?" Alisema dada Mariam nilimtizama tu bila kumjibuu nilikiwa najiuliza naanzaje ataanza kuniuliza wapi nilipotoa ile pesa na sina majibu kamili ya hilo swali, nilikuwa namtizama tu dada angu kama nipo nampangia mahesabu ya namuanzaje huyuu cha mdomo "We mbona unanitizama kam vile mimi kid udugu, au kibwengo cha mpapule?" Aliuliza dada maan na me sikua na jinsi nikamwambia " Dada, mimi hapa nina kam ml 6 na laki nne nilikuwa nataka tufungue biashara shga anguu, maan ile kazi unayofanya mimi naona haikufaiii shga angu, unaonaje hili wazo mimi nikawa napiga issue pale officine na wewe ukawa unafanya biashara yakoo, maana hivi naoana tu tunajidharirisha na hakuna kitu tunachopata dada alinitizamaa juu mpaka chini na dera langu la 6500

"Hivi wewe, tunaanza kufichana eeh?, yaani umepata kamwanaume huko Kenye hadhi unashindwa kusem, yaani kusema hizo pesa zote ni za mshahara wako wa hii miezi mitatu sio kweli hapo tutakuwa tunadanganyana, haya sema hizo pesa umetoa wapi wee mjinga" aloo aliongea dada Mariam nilikuwa najiuliza sana hili litatokeaa nikasema tu hapa namuongopeaa hamna shga angu, yaani pale officine kwetu huwa kuna kamsaada kanatoka kwa boss, kam mkopo unakuwa unakatwa asilimia 20 kwenye mshahaara wako kama labda unataka kujenga au vipi shga angu, ushaanza kufikiria vibaya juu yangu yaani dada bhana nilipotezea mada kihivyooo ili kumfunga dada kamdomo

haya hayo mapene yapo wapi wee miinga, maan kwa hayo masihala yako, naweza kujua pesa ipo kimbe unataniaa, yaani ntakutukana. weee mjinga, masihala sio kwenye pesa" yaani alibubujikwa na maneno maana huyu naee ana matatizo kwenye pesa hatakagi utani nikamuonesh maan ilikuwa kwenye simu maana sikuwa na account ya bank,

"wee mjinga yani pesa unaweka kwenye simu, simu ikiibiwa jee?, yaani wewe ni mjnga ujue?, uliona wapi pesa wanahifadhi kwenye simu, hebu twende tukatoee haraka kabla hatal matapeli wa mtaaandaoni hawajakupigiaa simu maana wale nao ni washenzi sana" yaani dada alikuwa anataka tukatoe mda huo huoo nilichoka, nikamshawishi mpaka akaelewa tukalala, tukakubaliana kesho tutaenda kutoaa tukatafute na frem maana dada alikuwa ana ujuzi wa kusuka na kupamba alitak kufunguaa saloon ya kisuper star

Asubuhi na mapema dada kaniamsha na kale kaupepeo ka saa 12, etty niinuke twende jaman nilichoka huyu dada jaman hapana ndio saa 12 jamn mhhh mwenzangu mhhh ni kimbembe, tukaaamka tukaoga tukavaaa madera yetu ya msomi mimi mwekundu na yeye wa njano mhhh muda huoo Hussein toka jana hajanitafuta hili lilinichanganya kwa kiasi kikubwa ila sikutaka dada agundue chochote kile kinachoendelea kati yangu mimi na Hussein kwanza dada yangu hampendi, wazazi wangu ndio hawamuelewi kabisa wanamuona mzinguaji tu

Hivyoo nikaamua kuachanaa na hilo niwe busy na mambo mengine maana bado tuna kazi ya kwenda kutafuta frem na kwenda kuangalia vifaa, kisha ndio tuwajulishe wazazi na mambo mengine yaendeelee

Tulipata frem Tandika kwa miezi sita million, frem za pale zina beii mhh jaman kwenye 6ml ikabaki million 5 hii kwa kazi aliyokuwa anataka kuifanya dada inatosha sana, tukaamua kwenda. kula maana tulikuwa tumechokaa saan jua tukale hata vichipsi na Pepsi ya baridi, ila ni vile najaribu kujichangamsha ila sipo sawa kabisa nina mastress sana na sina jinsi na sitaki dada. angu ashtukie chochote maan ataanza kunifokea na kuniambia nimuache Hussein na mimi hilo swala sitaki ila kuna muda huwa nawaz hiloo maana maneno alionambia Ellias ni kama yana ukweli ndani yake, maana nishaanza kuprove kimoja kimoja....

Itaendeleaa..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9


Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba

enhe mwenzetu vipi?, mbona unajichekesha chekesha sana auu kimekunasa?" Alisema dada Mariam nilimtizama tu bila kumjibuu nilikiwa najiuliza naanzaje ataanza kuniuliza wapi nilipotoa ile pesa na sina majibu kamili ya hilo swali, nilikuwa namtizama tu dada angu kama nipo nampangia mahesabu ya namuanzaje huyuu cha mdomo "We mbona unanitizama kam vile mimi kid udugu, au kibwengo cha mpapule?" Aliuliza dada maan na me sikua na jinsi nikamwambia " Dada, mimi hapa nina kam...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

1.06K
WEWE NI WANGU 12 na 13

WEWE NI WANGU 12 na 13

177
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

99
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

89
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

80
MY CRAZY BOSS 09

MY CRAZY BOSS 09

38
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

35
AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*

16
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.27K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.01K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.71K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.12K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.53K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.35K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.33K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10 Post Mpya
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10
@majario LIVE

Asubuhi na mapema, nilidamka na kuingia mtaani ili niweze kupata chochote kitu Maana nilikuwa Nina njaa sana kwa wakati huo. Najua wengi mtaniuliza nilipeleka wapi Pesa ambazo nililipwa kwa kina enzo...

AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*
@majario LIVE

Nilijikuta nikipata mshtuko na wasiwasi wa hali ya juu. "Ina Maana ma Mdogo amemlipa Enzo kuja kunirudisha hapa?" Nilijiuliza kimoyomoyo. Baada ya kimya cha muda mfupi kidogo, enzo akaniambia. "Haya Shuka tumefika" Nilimuangalia kwa macho...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
@majario LIVE

seven alifurahi sana hata fahima nae alifurahi pia, seven alimsogeza fahima na kumkumbatia. asante sana mke wangu kwa kuniheshimisha akambusu fahima alisema seven kisha hongera sana mr seven sasa unatakiwa uwe sana...

MY CRAZY BOSS 09 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 09
@majario LIVE

SONGA NAYO Niliingia ndani , sikuwa na usingizi kabisa , ni ajabu sana kwani nilijikuta nikiwaza sana kuhusu Boss Erick muda wote. Kwenye maisha yangu yote nimewahi kukosewa na wanaume...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*
@majario LIVE

Baada ya kuzunguka sana na kuchoka nikajikuta nikkaa tu chini kuanza kulia, najua mtanicheka lakini ni Kama akili yangu ilifika mwisho kwenye kufikilia lakini pia kuangaika Muda huo huo kapita...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
@majario LIVE

Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba enhe mwenzetu vipi?,...

WEWE NI WANGU 12 na 13 Post Mpya
WEWE NI WANGU 12 na 13
@majario LIVE

SEHEMU YA 12 Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamaniπŸ˜‚ sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa Akaita boda boda baada...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha ya mama na Mtoto. Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120. Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
@majario LIVE

πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄ πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄ Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana πŸ₯Ή Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest