AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*
Kwanza nikashtuka na kumgeukia pully na kisha Nikamuangalia Enzo, kuna Namna ni Kama moyo wangu ulikubaliana na shida zote tu ninazozipitia, kabía Enzo ajajibu kitu chochote kile nikazungumza.
"Naona mambo ni Yale Yale aiseeeh, me naenda. muwe na usiku Mwema"
Nilimaliza kuzungumza ingawa kwa maumivu Makubwa sana kisha nikataka kuondoka lakini chapu, Enzo akadaka mkono wangu na kuzungumza
Ishani aendi kokote, ila Kama wewe Unataka kuondoka unaweza kwenda
Eeeeeeeeh Huyu Enzo ni Chizi au Yaani anataka mwanamke wake mtalajiwa aondoke halafu Mimi nibakı, nilibaki nikishangaa tu kama
Chizi aliyepoteza njia hivi
"Hivi Enzo anampenda kweli Huyu msichana ?"
Nilijultza kimoyomoyo, Maana enzo hakuonesha ata Chembe ya huruma au kujali kwa mpenzi wake.
Pully alionekana Kuwa na yeye ni msichana
Mwenye drama Zake kwakwell, kwa haraka akakimbilia Ndani na baada ya muda akatoka nje akiwa na mabegi yake mawili ya kubuluza, Yaani mtu anaamua kuondoka NYUMBANI kwake kwajili yangu Mimi, mtu ambaye ata kunijua anijul, ajawal ata kuishi na Mimi
akanitambua vizuri, Ila sishangal Maana Saa
hivi ubinadamu hakuna kabisa
"Naondoka enzo"
Alizungumza Pully akitililikwa na machozi Kama maji kwenye uso wake.
"Kila la kheri
Alijibu Enzo kisha Akashika njia kuelekea chumbani kwake, lakini baada ya hatua kadhaa akasimama na kugeuka nyuma.
"Muone kwanza, kumbe anampenda
Nilizungumza kimoyomoyo uku nikiamini Kuwa Enzo anamrudisha mpenzi wake Ndani, lakini
gafla akazungumza
"Usije ukaondoka na gari yangu ata moja
yalivyo hivi nyleeeeh kumbe mapenzi ndivyo Yaani unatikisa kibiriti halafu
kinakulamba kweli hakuna ata kubembelezwaa aaaaah me mniache tu na vile moyo wangu ni mwepesi sizani Kama naweza kustahimili hii
mikito kudadekt
"Nimeshaita bolt"
Alijibu Pully kisha akatoka nje kwa mwendo wa haraka sana.
Nikamuangalia enzo kwa muda na kumwambia,
"Ujue anaondoka kweli huyo"
Enzo akaniangalia na kunijibu.
"Fungu mlango mkubwa halafu nenda kalale"
Eeeeeh hil nayo Kali Walahi, sikuwa na chaguo zaidi ya kufanya kile ambacho enzo aliniambia
Mimi kufanya
My zangu kulala kwenye sehemu nzuri ni raha sana, Yaani nilijikuta nikilala sana na kupitiliza
tofauti na vile ambavyo nilikuwa naamka kule mtaani, Yaani mtaani Saa 11 asubuhi niko macho, lakini NYUMBANI Kwa Enzo, Saa 4
asubuhi Ndio najisikuma kuamka Tena sio
kwamba usingizi umeisha, Bali ni aibu ya Kuwa
niko kwa watu.
Nilikurupuka haraka baada ya kuona Kuwa nje
kumekuwa na jua Kali sana kumaanisha Kuwa muda umeenda sana, chapu nikatoka nje na nikajikuta nikikutana na Enzo akiwa anakuja
chumbani kwangu.
"Shikamoo
Nilimuamkia uku nikiangalia chini kwa aibu, ila na Mimi ni kanafiki jamani, Yaani sijawal kumuamkia enzo ile Leo nimemuamkia etia
"Acha ujinga wewe
Alijibu Enzo na kushika kichwa changu
Kuna Namna nilishindwa kabisa kumuelewa
Enzo, Maana ni mtu ambaye najua kabisa
anamichukia Mimi namchukla, lakini sasa
kuna Namna naona amekuwa na tabia Mpya, tabia ambayo sikuwa nikiielewa kabisa.
"Nisamehe nimechelewa kuamka"
Nilizungumza kwa sauti ya utulivu sana.
"Usijall, umeshaoga?"
Enzo aliniuliza.
"Hapana Ndio kwanza nimeamka, nilitakal
kufanya usafi kwanza halafu Ndio nije kuoga"
"Haina haja, nimeshamaliza kila kitu, fanya hivi
nenda kaoge halafu njoo kunywa chai, Maana pia Uko tayali nimeshaandaa
Alizungumza Enzo akiwa tabasamu pana
sana usoni mwake.
"Hivi Huyu ni Enzo Huyu Huyu au kuna malalka anaishi Ndani yake kwa sasa?"
Nilijuliza uku nikimuangalia Enzo kwa makini
sana
Pasi na kuzungumza kitu chochote kile
nikageuka na kutaka kurudi chumbani kwangu kwaajili ya kuoga, lakini gafla Enzo akanivuta
mkono, na kuzungumza.
"Aaah Twende kwanza ukale tu ill Twende.
tukafanye shopping kidogo Maana ata Ukisema Kuwa ukaoge hautakuwa na nguo nyingine ya
kubadilisha
"Sawa"
Nilijibu kisha Mimi na Enzo tukaenda kwenye meza ya chakula tukiwa tumeshikana mikono.
"Mmmmh Huyu ajanipanga kwaajili ya kunifanya
kafara kweli
Niliendelea kujiuliza tu kimoyomoyo Maana yooooh anazidi kunishangaza na matendo yake
mema dhidi yangu.
"Naweza kujua imekuwaje nimekukuta mtaani ukiwa na hali mbaya Kama ile 7 Cha kushangaza zaidi nimekukuta na nguo zile zile ambazo Mara
ya mwisho ulivaa wakati unatoka hapa
NYUMBANI?
Enzo aliniuliza, muda huo Mimi na yeye bado
tulikuwa Tunaendelea kupata chakula.
Nikamuangalia kwa muda na kumuuliza..
"Natakiwa kukujibu hapa hapa au naweza kujipa
muda kidogo
"Aaaaah kwa upande wangu naitaji sana kujua
lakini Kama hauko tayali kuzungumza sasa s
okay, siku ukiwa Sawa, Mimi niko tayali
kukusikiliza Ishani
Alijibu enzo na kuendelea kula.
Baada ya kimya kirefu kidogo enzo
akazungumza.
"Nisamehe sana kwa kila kitu ambacho
kimetokea hapo nyuma, Sijui ukweli wa mambo, lakini kwa situation ambayo nimekukuta nayo
najilaumu sana kwa nilichokufanyia siku ile"
"Ni Sawa usijali
Nilijibu nikionesha niko Sawa kabisa, lakini macho yangu yalishindwa kabisa kuvumilia
maumivu makali ambayo yalikuwa kwenye moyo wangu, na muda huo huo machozi yakaanza
kunitililika
"Am sorry"
Alizungumza Enzo uku akijaribu kunituliza
Kidogo
"Kwanini uliniwazia vibaya Kwanini ulitumia Pesa yako kuharibu usichana wangu?"
Nilijikuta tu nikimuuliza enzo.
"Am sorry
Enzo Alijibu Tena kwa utulivu akionesha kujutia
matendo yake mabaya dhidi yangu
"Unajua nini Enzo, Sijui Kama nitakuja kukusamehe wewe Wala mama yangu Mdogo, nyie watu mmenikosea sana"
Nilizungumza.
Kwa mshtuko wa hali ya juu Enzo akaniuliza.
"Mama yako Mdogo 7 Ni yupi Unaongea kuhusu nini?"
Nikamuangalia na kwa sauti ya kujiamini
nikazungumza.
"Unamuona Yule ambaye alikuwa akipokes Pesa
zako ulale Mimi? Umemuona Yule mwanamke ambaye Pesa ameweka mbele
kuliko chochote? Yule ni mama yangu Mdogo
Yule amezaliwa baba mmoja na mama mmoja
na mama yangu Mimi mzazi, kosa langu Mimi ni kuwaacha wazazi wangu wafe peke Yao, kosa langu Mimi kwenye hil dunia ni Mimi Kuwa
yatima tu, Enzo sikuwai kukukosea Mimi lakini umenipitisha kwenye maumivu mazito sana"
Enzo allibaki akizunguka uku na uku ni Kama Maneno yangu makali yalikuwa yakimchanganya
sana
"Kwanini ukuniamini nilipokuambia mimi ni bikra
Nilimuuliza enzo uku nikivuta Picha ya siku
usika, siku ambayo nilijidharau kuliko siku zote kwenye maisha yangu.
"chuki maumivu makali ambayo nilikuwa nayo, but am sorry"
Alijibu Enzo
Nikamuangalia na kwa hasira nikamuuliza.
"Chuki Enzo Kwanini unichukie na sikuwai
kukukosea
"Ishani chuki haikuwa dhidi yako, chuki ilikuwa
juu ya melisa, najua nakuchanganya lakini ukweli ni kwamba, siku ambayo Mimi nililala na wewe Ndio siku ambayo niliiandaa kwajili ya kumvika
mpenzi wangu melisa Pete, lakini siku hiyo hiyo
pia, nilisalitiwa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni