Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*
Gonga94 · Stories

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilijikuta nikishtuka sana na muda huo huo moyo wangu ulingia ganzi kutokana na jinsi ambavyo namchukia sana enzo, Huyu kaka Walahi namchukia kuliko maelezo yangu.

Niliamua ata kuachana na hiyo Pesa ya kumfutia kioo chake, kwa unyonge nikageuka na kuanza kuondoka hali ya juu

"Ishani, Ishani"

Enzo aliniuta mfululizo lakini sikuweza ata kugeuka kwakwell, muda huo ni machozi tu yalikuwa yakinitililiki kwenye mashavu yangu.

"Unamjua au?"

Aliuliza mwanamke ambaye alikuwa kwenye gari na Enzo

Kwa haraka enzo akataka kushuka kwenye gari na kunifusta, lakini Kama alichelewa hivi, kwani taa ziliruhusu magari kuondoka na Enzo hakuwa na chagua Tena zaidi ya kuwasha gari yake na kuondoka

Kwa upande wangu, rikasogea tu chini ya dalaja

na kukaa zangu chini nikiwa na huzuni sana, Yaani kitendo cha kumuona enzo tu, Ndio maumivu ya moyo wangu yalifumika na Kuwa makali sana, Yaani Sijui niwaambie kitu gani lakini kuna muda Nilihisi Kama moyo wangu

Unawaka moto hivi.

Nikiwa nimejliinamia kwa kuegemea magoti yangu, nilijikuta nikishtuka sana baada ya kuona miguu ya mtu ikiwa imevaa kiatu cha bei Kall Ikisimama mbele yangu.

Kwa utulivu

hali ya juu, nikanyanyua uso

wangu uliokuwa umelowana machozi na

kumuangalia mtu huyo.

"Unataka nini enzo ?"

Nilimuuliza enzo kwa hasira baada ya kumuona Kuwa ni yeye, Sijui ata gari allenda kupaki wapi

Maana alikuja kwa mguu pale nilipokuwa. nimekaa

"Tunaweza kuzungumza

Enzo aliniuliza uku akitaka kukaa pembeni yangu

"Hakuna cha kuzungumza enzo, Nafikili ungeendelea na mambo yako tu kuliko kupoteza muda wako hapa

"Please Ishani ni Muhimu sana Naomba

tuzungumze japo kidogo"

Alizungumza enzo kwa utulivu kisha akakaa

pembeni yangu

"Nini kinaendelea Ishani? Kwanini Uko hapa?

Kwanini unaonekana Kama hivi?"

Enzo alintuliza maswali mfululizo na akitaka majibu kutoka kwangu, nikageuka kumuangalia kisha Kwa SAUTI ya dharau nikamuuliza.

"Katika hayo maswali matatu Unataka nikujibu

swall lipi

"Nataka unijibu yote Ishani nini kinaendelea. unanichanganya ujue"

Enzo Unafikili utafaidika na nini Labda 7

Muonekano wangu

wewe Ndio ulitaka

kila kinachoendelea ni

imekuwa, moyo wako

ulikuuma sana kuona Kuwa mama yako amenisaidia Mimi si Ndio? Enzo umenijaji na sio kusikiltza upande wangu story, ukuwal

kunielewa tangu siku ya kwanza unakutana na Mimi kwenye Nyumba ya ma Mdogo, nilijitaidi kulinda usichana wangu lakini ulishinda kwajili

ya Pesa zako na Mimi nilishindwa kwaajili ya

umasikini wangu

Ishani unaongea kwa mafumbo sana

nashindwa kukuelewa ujue"

Alizungumza enzo akionesha wazi Kuwa

anielewi kabisa

"Nafikili ungeenda tu, enzo kuelewa maisha yangu ni Ngumu sana Maana somo Imra halafu Mwalimu wake ni bubu"

Kikapita kimya kifupi kisha enzo akazungumza.

"Mbona Kama moyo wangu unajikuta ni wenye hatia sana kwajili yako Ishani

Kabla sijamjibu enzo, muda huo huo akafika mwanamke ambaye alikuwa kwenye gari

Enzo

"Babe tunachelewa ujue"

Alizungumza msichana huyo akionekana Kuwa

na haraka sana

Enzo akanigeukia na kuniambia

"Ongozana na sisi ishani

Nikamuangalia kwa muda kisha nikanyanyuka

ha kumwambia.

Kwa Leo inatosha enzo, msalimie madam

Groly

Kwa siku hiyo Bwana Enzo alikuwa mkaidi sana

Tena sana, aliendelea kunifanya kila nilipoenda

mpaka girlfriend wake akachukia.

Waswahili usema hakuna mkate mgumu mbele ya chai Bwana, na hakuna anayependa shida ni

vile tu maisha yanatulazimisha.

Kwenye moja na MBILI katika mwendo wa sitaki

na taka nikajikuta tu nikiongozana na Enzo

safari ikaanza

Enzo Mboria Kama tunarudi NYUMBANI?"

Aliuliza mchumba

enzo ambaye alionekana

Kuwa na mashauzi sana Maana yoooh alikuwa

akiniangalia kwa dharau ya hali ya juu.

"Si unaona hali ya Ishani ilivyokuwa lakini ?

Lazima tumfikishe NYUMBANI kwanza"

Alijibu enzo uku akiendelea kuendesha gari

"Are you serious babe? Yaani uwith, subill

kwanza, Unataka kuniambia Kuwa Huyu chokolaa ni bora kuliko Mimi si Ndio 7 Enzo usisahau Kuwa natakiwa nikakutane na designer

wa nguo yangu ya send off

"Pully Mbona siku bado lakini eeeh, muda wa

kupima

relax

kuandaliwa hiyo nguo bado upo,

Kwenye gari mtu na mchumba wake ilikuwa ni

kubishana tu Tena kisa mimi, mtu Mwenyewe

sasa, Ndio kwanza niko Bize nasinzia tu baada

ya kula kiyoyozi cha ubaridi wa kwenye gari Kall

Hatimaye tulifika NYUMBANI Kwa enzo, Mimi na

Enzo Tulishuka kwenye gari kuingia ndani,

lakini pully, mwanamke enzo alibaki kwenye

gart, akiwa amevimba kwa hasira Kama kiboko

"Chumba chako ni kile kile, kaoge, chakula jikoni

kule, ngoja nikuletee nguo

Alizungumza Enzo kisha akaenda chumbani

kwake.

Mimi Sasa, kwakuwa kwenye hiyo Nyumba najua

kila kona, moja kwa moja nikaenda chumbani,

Klukweli nilikuwa Nina shauku kubwa sana ya

kutaka kuoga Maana dasaah maisha ya mtaani

kuoga ni kwa manati muda wote unawaza

kupata Pesa ya kula ili usitale njaa.

Ishani Mimi nikavua nguo zangu zote, kisha nikasogea kwenye kioo na kuanza kujikaqua jinsi ambavyo ngozi yangu ilibadilika na Kuwa mbaya

sana uku nikisahau Kuwa niko nyumbani Kiwa

watu

Kama kawaida, yasani enzo kwenye Suala la

kupiga hodi ni alipataga Sifuri, na safari hii Tena

akaingia Ndani na kunikuta nikiwa mtupu kabisa,

"Sorry sorry"

Alizungumza enzo haraka harak kisha akatoka

je

"Nguo ya kubadili hii hapa mlangoni sisi

tunatoka hatutakawia kurudi

Alizungumza enzo akiwa amesimama nje ya

mlango wangu, na mwisho Nilisikia tu hatua za

miguu yake na mlango wa nje ukifungwa

Nikaingia bafuni, nikaoga na niliporudi nikavisa

nguo ambayo moja kwa moja nilijua Kuwa ni

nguo ya mkewe

Baada ya kila kitu cha Mimi kujiweka msaň

Nikatoka na kwenda jikoni na kujisevia chakula mie, aaaaah huu nilioufanya Mimi sio uroho Sasa ni urafia nyieeeeh nilikula halafu nikala

Tena, nilikula nikasaza

"Ishani huu sasa ni uhalibifu wa chakula"

Nilijiambia Mwenyewe baada ya kuona Kuwa

nilichukuwa nikikifanya ni kibaya

Baada ya kushiba kwa kuvimbiwa, Isha Mirmi

sikuwa ata na nguvu ya kusafisha vyombo zaidi

nikajitupia kwenye kochi na kulala.

"Ishani, Ishani, Ishani"

Ilikuwa ni SAUTI ya enzo, ambaye alikuwa akinitta Jina langu kuamka. kunitikisa wweze

"Eeeeeh, mmmmh, aaaaah

Niliamka kwa uchovu sana na kujinyoosha,

Maana baada ya muda mrefu Leo Ndio nimelala

sehemu nzuri Tena ya utulivu

"Umeshakula?"

Enzo aliniuliza.

Nilimuangalia na kumjibu kwa kumtikisia kichwa

tu Maana bado nilikuwa na hasira nae sana.

"Wewe ili si Gauni langu jamani?"

Aliuliza pully akiwa semini kabisa Kama enzo amenipatia nguo yake niweze kuvaa

"Hakuwa na nguo ya kubadilisha Ndio Maana

muda ule nikampatia nguo yako"

Alijibu enzo kwa utulivu, nilibaki nikimshangaa.

tu, Maana sikuwai kumuona enzo akiwa Mtulivu

kiasi hiki

"Ishani, kalale Ndani, ni Sae 6 usiku sasa Mimi

na wewe tutazungumza kesho

"Sawa"

Nilybu kisha nikanyanyuka na kutaka kuondoka

lakini gafla pully akazungumza.

"Enzo chagua Huyu msichana aondoke au Mimi

Ndio niondoke

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*


Nilijikuta nikishtuka sana na muda huo huo moyo wangu ulingia ganzi kutokana na jinsi ambavyo namchukia sana enzo, Huyu kaka Walahi namchukia kuliko maelezo yangu.

Niliamua ata kuachana na hiyo Pesa ya kumfutia kioo chake, kwa unyonge nikageuka na kuanza kuondoka hali ya juu

"Ishani, Ishani"

Enzo aliniuta mfululizo lakini sikuweza ata kugeuka kwakwell, muda huo ni machozi tu yalikuwa yakinitililiki kwenye mashavu yangu.

"Unamjua au?"

Aliuliza mwanamke ambaye alikuwa kwenye gari na Enzo

Kwa haraka enzo akataka kushuka kwenye gari na kunifusta, lakini Kama alichelewa hivi, kwani taa ziliruhusu magari kuondoka na Enzo hakuwa na chagua Tena zaidi ya kuwasha gari yake na kuondoka

Kwa upande...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzoo-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzoo-sehemu-ya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

1.13K
AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

309
WEWE NI WANGU 12 na 13

WEWE NI WANGU 12 na 13

211
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*

160
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*

128
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9

124
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

117
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*

114
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10

96
MY CRAZY BOSS 09

MY CRAZY BOSS 09

83

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.27K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.02K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.12K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.35K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*
@majario LIVE

Kwanza nikashtuka na kumgeukia pully na kisha Nikamuangalia Enzo, kuna Namna ni Kama moyo wangu ulikubaliana na shida zote tu ninazozipitia, kabía Enzo ajajibu kitu chochote kile nikazungumza. "Naona mambo ni...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana na muda huo huo moyo wangu ulingia ganzi kutokana na jinsi ambavyo namchukia sana enzo, Huyu kaka Walahi namchukia kuliko maelezo yangu. Niliamua ata kuachana na hiyo Pesa...

MY CRAZY BOSS 10 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 10
@majario LIVE

ENDELEA Nilirejea ndani huku nikiwa na bashasha ya kuangalia ni nguo za aina gani zilizopo ndani ya mfuko huo "Khaa!!! Kumbe sina taa jamani , hata siwezi kuona ni za rangi gani,...

(BARSISA....!)  Inasimuliwa kuwa Barsisa alikuwa mtawa miongoni mwa Wana wa Israeli. Post Mpya
(BARSISA....!) Inasimuliwa kuwa Barsisa alikuwa mtawa miongoni mwa Wana wa Israeli.
@majario LIVE

Alijijengea kibanda cha ibada mlimani, mbali na watu, akaamua kutoa maisha yake yote kwa ibada ya Mwenyezi Mungu peke yake...! Alijinyima starehe zote za dunia, akaishi maisha ya kujitenga na watu, maisha ya...

Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10 Post Mpya
Aaaaaah Boss Enzo Chapter 10
@majario LIVE

Asubuhi na mapema, nilidamka na kuingia mtaani ili niweze kupata chochote kitu Maana nilikuwa Nina njaa sana kwa wakati huo. Najua wengi mtaniuliza nilipeleka wapi Pesa ambazo nililipwa kwa kina enzo...

AAAAAASH BOSS ENZOO*    *Chapter 9* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *Chapter 9*
@majario LIVE

Nilijikuta nikipata mshtuko na wasiwasi wa hali ya juu. "Ina Maana ma Mdogo amemlipa Enzo kuja kunirudisha hapa?" Nilijiuliza kimoyomoyo. Baada ya kimya cha muda mfupi kidogo, enzo akaniambia. "Haya Shuka tumefika" Nilimuangalia kwa macho...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO*
@majario LIVE

seven alifurahi sana hata fahima nae alifurahi pia, seven alimsogeza fahima na kumkumbatia. asante sana mke wangu kwa kuniheshimisha akambusu fahima alisema seven kisha hongera sana mr seven sasa unatakiwa uwe sana...

MY CRAZY BOSS 09 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 09
@majario LIVE

SONGA NAYO Niliingia ndani , sikuwa na usingizi kabisa , ni ajabu sana kwani nilijikuta nikiwaza sana kuhusu Boss Erick muda wote. Kwenye maisha yangu yote nimewahi kukosewa na wanaume...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*
@majario LIVE

Baada ya kuzunguka sana na kuchoka nikajikuta nikkaa tu chini kuanza kulia, najua mtanicheka lakini ni Kama akili yangu ilifika mwisho kwenye kufikilia lakini pia kuangaika Muda huo huo kapita...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
@majario LIVE

Nilikaaa nikimsubiri dada kwa hamu kweli na alifika, tulikuwa hyo siku nilikuwa nacheka cheka sana maan nilikuwa nina wazo ambalo nikimpa dada angu cha mdomo atalikubali, bika kunichamba enhe mwenzetu vipi?,...

WEWE NI WANGU 12 na 13 Post Mpya
WEWE NI WANGU 12 na 13
@majario LIVE

SEHEMU YA 12 Hii wanaelewa wanaume wenzangu jamani😂 sio mpaka niwaeleweshe akina dada mtaniua bure, basi baada ya kumaliza kula akanibusu shavuni kisha akaniaga kuwa anondoka nikamjibu poa Akaita boda boda baada...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

Kwanza kila mtu akashtuka na kuniangalia Mimi ambaye nilikuwa nikitetemeka sana. Kuna Namna niliharibu moment nzuri ya Furaha ya mama na Mtoto. Kwa upande wa mkaka buyo aliganda akinishanga na kujiuliza kimoyomoyo Kuwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120. Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
@majario LIVE

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana 🥹 Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest