AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi
Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake.
"Shikamoo madam Groly"
Nilimsalimia madam Groly kwa woga wasiwasi
Madam Groly akaniangalla kwa kunipandisha na
kunishusha kisha akanijibu "Kuwa na upate zako Kama ni Mal Kisha madam Groly akamgeukia Enzo
kumuuliza
"Huu ni ujinga gani neusikia hapa?"
Yaani muda huo nilikuwa nikihisi joto na baridi lkwa wakati Mmoja Yaani jasho finanitika halafu mwill unatetemeka Nyeeeh haya mambo
mengine muyasikie tu.
"Mummy I can explain"
Alizungumza Enzo kwa utulivu sana
Madam Groly akanigeukia Mimi
bonge la sonyo kisha akazungumza
kuachia
Kutala
"Kabla sijasikia huo ujinga wako
Huyu kisebengo hapa, nataka aondoke sasa hiv hivi Enzo Una akili kweli wewe eeeh 7 Yaani unamtimua mchumba wako, Mke wako mtainjiwa kwaajili ya Huyu mjinga mmoja tu wewe ni mzima au? Yaani umepatwa na nini mpaka umekuja kumuamini Huyu msichana
Tena 7"
"Mama Nisikilize Baoi, ni Mimi Ndio nilimuwazia Ishani ubaya, lakini Ishani hana ubaya wowote ule, yeye ni mtu Mwema anayepambania maisha yake kwenye umri huu Mdogo alikuwa nao" Madam Groly akatuangalia kwa muda kisha
akacheka na kuzungumza
"Mtoto Mdogo si Ndio Mtoto Mdogo lakini
Ikapita na sasa hivi mpo mnakumbushia si Ndio
We Binti wa kimasikini muongo muongo
Ondoka Saa hivi, Yaani Narnaanisha sasa hivi
Eeeeh hii mikosi Sijui nimezaliwa nayo
Jamani Yaani kila nikipata msaada Lazima
Jambo Iitokee, haya kwa Mara nyingine Ishani
Mimi naenda Kuwa Mtoto wa mtaani
Kwa upole na maumivu makall nikatoka nje
kwajili ya kuondoka.
"Lakini Mbona Kama Enzo anataka kunisaidia
Naweza kumuomba mtaji si Ndio 7
Nilijiuliza kimoyomoyo baada ya kutoka nje ya
Nyumba kabisa
Baada ya Kama lisaa moja hivi, nikaona mama
Enzo akitoka nje akiwa na hasira sana akapanda
kwenye gari yake na kuondoka.
Kwa upande wangu kwakuwa nilikuwa
nimejificha kwenye UA, nikanyanyuka chapu
kurudi Ndani
"Enzo
Nilimuita enzo, kwa Furaha ya hali ya juu, Enzo akanifutaa na kunikumbatia kwa nguvu sana "Asante Mungu umerudi, nilikuwa nawaza
Utakuwa umeenda wapi
Alizungumza Enzo
Sio salama Mimi kuendelea Kuwa hapa,
nilikuwa tayali nimeshakubali na kuondoka,
Enzo, ukiachana na tofauti zetu, please Karma
Inawezekana Naomba nisaidie mtaji tu Mimi
nitarudi kule mtaani na nitajua nini cha kufanya
"Mtaani? Yaani Mimi Enzo nikuache wewe
Ishani urudi mtaani Tena? Hiyo haiwezekani"
"Lakini nitafanya nieisi sasa?"
"Sikia Kao hapo kwanza, natoka narudi, yeyote
Yule atakayegonga mlango usifungue
usiitikie
"Sawa"
Baada ya hapo enzo akachukua funguo za gari
na kuondoka zake.
Picha ikaanza sasa kwa upande wangu,
nikuta nikibaki kukumbuka jinsi ambayo Enzo
akinikumbatia kwa Furaha baada ya Mini kurudi
Ndani
Ishani huo ni umalaya sasa
Nilijsambla Mwenyewe kuanza kujicheka tu
"Kwahiyo anzo alikuwa anadate wanawake
wawill Ndio kabaki Huyu Pully baada
Melisa kuolewa au ?"
Mimi Tena
umbea sasa Yaani nilijikuta
nikianza kujiuliza mambo ya mahusiano ya
Enzo
"Lakini inawezekanaje mkaka
ana Pesa halafu anaachwa
Kama Huyu,
Niliendelea kujiuliza na sikuwa na majibu sahihi.
Baada ya kujiuliza sana, nikajikuta tu nikipitiwa
Ana usingizi na nikalala.
Upande
NYUMBANI Kwa madam Groly, siku
hiyo madam Groly alionekana Kuwa na hasira
sana, alikuwa ni mtu wa kufoka sana.
"Madam ungepunguza hasira utakuja
kupandisha pressha yako juu
Alizungumza mama zena, mtumishi kazi za
Ndani kwa madam Groly
"Mama Zena Kaa kimya kwanza, Yaani Enzo
naona anataka kunipanda lochwani kabisa,
anadiliki kuniambia Kuwa hayuko tayali kumuoa
Pully Squi ana mwanamke ambaye yeye
anampenda na sio Puly
Alzungumza madam Groly kwa hasira
mama zena akadakia
"Lakini ata kumuoa Pully hakuwai kukubali ni
mnamlazimisha tu muacheni achague
anachokiltaj
Madam Groly akamuangalia mama zena
kumuuliza
"Unajifanya umesahau alichofanyiwa na Melisa
si Ndio Melisa lilikuwa ni chaguo lake lakini
umeona alichomfanya? Kwa sasa Enzo ataoa
mwanamke ambaye namtaka Mimi na
mwingine ni Pully
Mama Zena akanna hi ngoma ngumu
akanyanyuka zake kwenda zake jikoni tu
akacheze na vitunguu na nyanya
Kwa upande wangu nililala sana, na nilikuja
kuamka muda ukiwa umeenda
Yaani tayali
Ko Giza Ka jioni kalishaanza kushika nafasi yake,
baada ya kuamka tu, Wala haukupita muda
mrefu sana Enzo nae akarudi
"Pole umekaa peke yako kwa muda mrefu
Alizungumza Enzo
kutaka kunikumbatia,
lakini kwa upande wangu sikumpa ushirikiano
kabisa hivyo akajishtukia na kuacha
"Tuondoke kabla mama hajatukuta hape Maana
yuko njiani anakuja
Alizungumza Enzo
Kukwell hakukuwa na muda wa kupoteza,
ukizingatia sikuwe ata mizigo ya kubeba,
nilichofanya re kutoka nje tu, na baada ya muda
mfupi safari yangu Mimi na Enzo ikaanza
"Nilikuwa nawasoma wakimbizi kwenye history
Leo hii mkambizi ni Mimi
Nilizungumza kimayomoyo lakini nikajikuta
nikiCheka kwa sauti ya juu
"Ni nini kinakuchekesha
Enzo aliniuliza
Nikamuangalla na kumuuliza
"Tofauti yangu na mkimbizi ni nini?"
Hapo ata Enzo Mwenyewe alishindwa kuvumilia
na akabaki akicheka sana.
"By the way where are you taking me?
Nilimuuliza Enzo.
"Unakingereza kizuri sana"
Enzo aliniambia, nikajikuta
nikiblash biash
mwisho nikageukia upande wa pili na kubaki
nikiangalia magari yanavyopishana
barabarani
Baada ya mwendo mrefu sana, Mimi
Enza
tuillingia kwenye mitaa Fulani hivi ya uswazi kiasi
no mwisho akapaki gari kwenye moja ya
Nyumba Fulars hit, nje kulikuwa na wadada
kama wanne hivi walikuwa wamekaa kwenye
mkeka wakipiga story za hapa na pale
"Hapa ni wapi?"
Nilimuuliza Enzo uku nikiogopa kushuka kwenye
gan.
"Umekiona kile chumba cha katikati 7 Kile ni
chumba chako, Leo nimefanya kazi ya
kuzunguka na madalali tu na Hatimaye nimepata
hiki chumba, Ishani, Utakuwa unakaa hapa
kipindi ambacho nitakuwa nikiweka mambo
Sawa na familia yangu"
Alizungumza Enzo akionesha kujali sana kuhusu
Mimi
Nikatabasamu na kumshukuru
"Asante sana Mungu akubariki
Baada ya maelezo mawill matatu, Mimi na Enzo
tukashuka kwenye gari na kusogelea mlango wa
chumba changu kipya.
"Za sa hizi?"
Niliwasalimia wadeda ambao walikuwa hapo
nje, kwa Pamoja wakatika
"Salama karibuni
"Asante
Basi Mimi na Enzo tukaingia Ndani, macho
yalinitoka baada ya kukutana na kitanda, godoro,
net na vyote vikiwa sipya.
"Usiniamble hivi vyote umefanya Leo?"
Nilimuuliza Enzo nikiwa siamini kabisa.
Nisingeweza kulala kwa amani
Kamna
nisingefanikisha hivi vitu siku ya Leo, by the way
sikuwa Mwenyewe, nilikuwa na Nick, Yule
mshikaji wangu aliyekusaidie siku ile
ulivyopotea
Nikajikuta tu nikimkumbatia Enzo kwa nguvu
sana na kumwambia.
"Asante sana Enzo
"Usijali,
sasa Pumzika nikakuangalizie chakula
kabla me sijaondoka
Basi Enzo akatoka nje
nikishangilia tu Mwenyewe
Mimi Nikabaki
Siku ziliendelea kusonga uku na uku na niseme
tu maisha yangu yamebadilika, Sawa si kwamba
nimeinuka sana lakini Nina amani, nalala pazuri,
Nina life yangu na sio yale maisha ambayo
nililikuwa nikishi mwanzo
Ukaribu wangu na Enzo ulizidi kamarika siku
hadi siku ilifika lepindi nisipomuona Enza
najisikia vibaya
Kwa upande
majilani yaaaaah I have them,
nyleeeeh majilani zangu pambe mpaka pambe
Tena
Ikiwa ni siku ya jumatatu, Majila ya Saa 4 velku
nikiwa naangalia movie Mashoga zangu
Ndani, gafla tukasikia hodi mlangoni kwangu,
kwanza Mimi na mashoga zangu tukaangaliana
na kuulizana
"Nani Tena Saa Hizi jamani
Muda huo huo SAUTI ya Enzo ikasikika.
Ishani ni Mimi fangua
Kwa mwendo wa haraka nikafungua mlango, na
Enzo aliponiona tu akanikumbatia kwa nguvu
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni