REALLY LOVE* *26&27*
walimpeleka katika bahari iliyopo kigamboni na kumtupa katika bahari hiyo kisha wakaondoka walifanya hivo ili kupoteza ushahidi,
upande mwingine fahima alikuwa anabembelezwa na mpenzi wake ili ale chakula maana hakutaka kabisa kula chakula
"baby jamani utaniulia mwananguu sasa my kid kakukosea nini mumy kula basi hata kidogo alisema seven kwa sauti akimbembeleza ya upole
ah mi sikitaki kwanza kinanuka shombo alisema fahima,
"duh mke wangu wali tangu lini unuke shombo Jamani wakati ulisema unataka wall na kachumbali haya huu apa tena nimekupikia mwenyewe hapo unataka ulale tu bila kula jamani kula basi my love alisema seven
jamani my sitaki jamani ee alisema fahima
sasa my baby unataka nini alisema seven
nakutaka wewe alijibu fahima aise seven alichek nyleee
haya nichukue basi uyu apa alisema seven
hebu nipishe huko kwanza unanuka shombo ila fahima nyie yani muda wote alikuwa anahisi shombo tu mpaka seven akacheka kwakweli
halafu nilisahau sikuile nilisikia kila kitukuhusu wewe yani niliumia sana my yani kwanini huyo cathe akuumize kiasi hicho na kwanini hukuniambia kama unamatatizo kama. hayo alisema fahima akiwa tayari kashakasirika ikabido seven amsogelee
am sorry mke wangu nisamehe sikutaka kukwambia kwasababu nawewe nilikukosea na ulikuwa na hasira na mimi muda wote kwahiyo nisingweza: alisema seven fahima hakumjibu kitu akasimama ili atoke chumbani lakini seven
akamuwahia na kumkumbatia kwa nyuma
kwa
samahani mke wangu nimekosa haitajirudia
tena mamaa samahani nakupenda sana sihitaji
uwe katika hali hiyo mama yangu alisema
upole kwelikweli maana
alishaambiwa na dr juu ya hali ya fahima, basi kidogo hasira za fahima zikashuka seven. alipomuona hivo akamsogelea sikioni na kumwambia
seven
ila namshukuru sana cathe maana bila yeye. nisingeweza kula tunda tamu kutoka kwako mamaa alisema hivo fahima akatabasamu, seven hakuchelewa akaanza uchokozi kwa bibie.
maana alimjulia dawa yake ya kumtuliza ni hiyo. tu akaanza kumtomasa tomasa kwa ufundi wa. hali ya juu mtoto wa kike akaingia line seven.
hakuchelewa alianza kumpeleka taratibu bibie fahima huku miguno ya kimahaba ikitoka. midomoni mwao, usikuhuo wao walikuwa wanaenjoy bila kujua wengine wanamajanga
mazito
usiku huo mzee fahad hakutaka tena kuendelea kusikiliza mengi roho ilimuuma sana aliamua kuondoka huku akiwaacha wanafamilia hiyo wakiwa na majonzi muda wote vilio tu,
asubuhi na mapema katika kampuni ya mr sev kulikuwa na ugeni mkubwa sana ikabidi apigiwe simu mr seven kufika hapo mara moja, wakati huo alikuwa akiandaliwa na mkewe ili aende
kazini, ndipo akamjuza juu ya taarifa hizo, lakini fahima alikataa seven kwenda peke yake akadai nayeye anataka kwenda basi seven hakuwa na pingamizi walijiandaa kisha wote wakaondoka
walifika mpaka katika kampuni hiyo seven. akaingia ndani kuwasilisha kikao huku fahima. alitoka kwenda kuangalia mandhari ya nje
kidogo aliyapenda akaanza kutembea tembea huku na kule, lakini ghafla katika tembea yake akamuona msichana mmoja amekaa pembeni akiwa analla watu wengin walimpita na kumuangalia tu bila kumuuliza chochote,
ndipo fahima akatoka kwenda hadi kwa binti huyo aliyekuwa analia binti mzuri sana ila kwanje tu mana ndani ni hatari mno alikuwa ni
catherine ndiye anaelia
upande mwingine mzee fahad siku hiyo alijiweka. sawa kabisa alijiandaa vizuri ili kukutana kikao cha pili kwa mzee cryton yaani kikao hitimisho, alifika tena nyumbani hapo wakakaa kikao cha pili lakini walistaajabu kutomuona catherin,
walihangaika kumtafuta lakini hawakumuona. walipiga simu yake lakini haikupatikana, mama cathe akawa na wasiwasi sana juu ya mtoto wake hisia zake zilimtuma huwenda labda ameenda kufanya jambo baya alipata hofu sana
mama cathe mimi mpaka sasa sina neno
lolote lile kwasababu sioni sababu iliyokifanya utoke nje kama huduma zote nilikuwa nakupa nachosubiri ni cathe tu niwakabidhishe kwa huyo mzee basi alisema baba calor sio cathe
tena
ah mume wangu kwahiyo unaniacha mimi kwa sababu hii baba cathe angalia tulipotoka yani tugawane mali kwasababu ndogo tu mume wangu hebu tafakari vizuri alisema mama
cathe
mzee mimi nina mke wangu swala la kunirudia hia mkeo sitallweza sina uwezo wa kubeba mizigo miwili, labda mnipe mwanangu basi ila nashukuru sana kwa kumlea binti yangu alisema baba fahima kwa upole sana
sawa nimewaelewa alisema mzee cryton, basi walikaa wakimsubiri cathe tu arudi
upande wa cathe alisalimiwa na fahima lakini hakumjibu dada unatatizo gani niambie naweza kukusaidia" alisema fahima kwa upole,
hebu nitokee hapa masikini mkubwa wewe unakipi cha kunisaidia mshenzi kama wewe alisema cathe kwa dharau sana
dada unashida qani kwani alisema fahima achana namimi wewe fata maisha yako
kapuku wewe mxieeeuuuuu alisema cathe kisha akamsukuma fahima akaondoka zake, fahima alidondoka chini ndipo wapitanjia wa hapo wakamsaidia kumnyanyua nahapohapo akatokea seven akiwa anahema sanal
ulienda wapi jamani ona sasa si nilikwambia. unisubiri pale lakini ah alisema seven akiwa
amechukia sana akamshika mkono fahima na kuingia nae ndani ya gari, yani aliamua. kumpeleka nyumbani alikuwa anamjali sana. mpenzi wake huyo, alikasirika sana njia nzima alikuwa analalamika tu
lakini mke wangu kwanini hukunisikiliza lakini
aha kumbuka una mwanangu tumboni why unamkera kisi hicho unamuumiza mwanangu nawewe pia unajiumiza lakini unajuwa kabisa ninavyokupenda wewe sasa why unataka kuniua
na presha fahima why** alilalamika sana seven, fahima alikuwa kimya tu alijuwa mda huo. seven anahasira hakutaka kujibu kitu
hebu angalia kama ungeumia je unabahati wale watu walikusaidia mi sipendi unikaidi ninavyo kueleza fahima sipendi alisema seven
samahani my love haitajirudia tena alisema. fahima kwa upole sanal
sawa lakini upo sawa au nikupeleke hospitar** alisema seven kwa wasiwasi
"hapana nipo sawa tu my** alisema fahima,
sawa nakurudisha nyumbani uwe makini mimi nitarudi tena kazini alisema seven
"sawa"" alijibu fahima kishingo upande kwasababu hakutaka kukaa mbali na seven hata kidogo
uku cathe alifika nyumbani akiwa amekasirika sana alishtuka sana baada ya kumuona mzee fahad yuko pale akajuwa kabisa huwenda leo ndo akafukuzwa nyumbani kwao,
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni