AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
SONGA NAYO...
Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona.
Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu.
"Usiku Mwema jamani"
Walizungumza majilani zangu kisha wakanyanyuka na kuondoka zao uku wakituachia nafasi Mimi na Enzo
"Kuna nini Mbona unanitisha mwenzio Nilimuuliza Enzo nikiwa na wasiwasi sana
aiseeeh.
"Enzo alishindwa ata kunijibu swali langu zaidi aliendelea kunikumbatia kwa nguvu sana.
"Enzo kuna nini jamani, zungumza kitu Basi
Niliendelea kumlazimisha aweze kuzungumza lakini hakuweza kabisa kuzungumza kitu chochote kile.
Nikatumia muda mwingi sana kumtuliza Enzo na mwisho alitulia na akapitiwa na usingizi Mzito sana
"Kwahiyo Leo ata lala hapa?"
Nilijiuliza uku nikimuangalia Enzo ambaye alikuwa akikoloma tu kwa wakati huo.
"Itanipasa kulala kwenye kochi tu kwa Leo, siwezi kulala kitanda kimoja na Enzo, ata hivyo yeye ni Kama kaka kwangu"
Niliendelea kujiongelesha tu
My zangu kwa wakati huo chumbani kwangu.
Mzuka Yaani Nina kila kitu, Nina frijl, sofa la kukaa watu wawili, Nina Tv na vitu vyote hivi nilinunuliwa na Enzo.
nilikuwa full
Kwa kipindi chote iko bado nilikuwa ni mama wa NYUMBANI na sijishughulishi na kazi yoyote ile kwani Enzo alisema Kuwa anaangalia mpango mzuri na wa kudumu kwaajili yangu.
Baada ya kuwaza na kuwazua kwa muda kidogo, nikasogea kwenye kochi na kujilaza hapo. kwaajili yangu kuvusha usiku wangu.
Asubuhi na mapema, niliamka nikiwa na uchovu wa hali ya juu, Picha linaanza niliamka nikiwa
nimelala kitandani, wakati Mara ya mwisho nilikuwa nimelala kwenye kochi, na sio hivyo tu,
niliamka nikiwa mtupu kabisa na nimejilaza juu ya kifua cha Enzo Tena kwa kujiachia sana.
"Mungu wangu iki nini?"
Nilijiuliza kwa mshtuko wa hali ya juu.
"Ina Maana nimelala kitandani? Na nimefanya na Enzo? How?"
Niliendelea kujiuliza na kumuangalia Enzo ambaye alikuwa akichapa usingizi wake mnono kabisa.
Kwanza nikatuliza akili yangu, na mwisho Ndio nikakumbuka Kuwa, usiku ilikuwa hivi.
Enzo ndiye mtu ambaye aliamka usiku na kunikuta nikiwa nimelala kwenye kochi, kwa utulivu wa hali ya juu, akaninyanyua na kuniweka kitandani uku yeye akipanda kwenye kochi,
Kiukweli sikujisikia powa hivyo nikamtaka alale
na Mimi kitandani na Ndio hapo tukaibua mambo mengine na wawili sisi tukajikuta tukiwa tumekulana Kama hivyo Yaani.
"Sijui namuangaliaje Enzo siku ya Leo"
Nilizungumza baada ya kuhisi albu ya hali ya juu.
Kwa utulivu wa hali ya juu, nikajitoa kitandani na
kuanza kufanya usafi wa chumba changu, baada ya kuweka kila kitu Sawa, nikatoka nje na kwenda kwenye mihogo na kuweka Oda kisha nikaondoka kwani kulikuwa na foleni kwa wakati
huo
Nilifika NYUMBANI na kuingia Ndani, ile naingia tu, nikakutana na enzo akiwa mtupu kabisa Tena Ndio kwanza ameamka anajinyoosha polepole.
"Ooooooh"
Nilishtuka na kutaka kutoka nje lakini Enzo. akaniwal na kunivutia upande wake uku akinikumbatia vizuri kabisa.
"Unaniogopa?"
Enzo aliniuliza uku akiniangalia usoni kwa kunikazia macho.
"Am, aaah, Enzo najua ni kitu gani kimetokea kati yetu jana usiku but it was mistake na sitegemel kuja kujirudia Tena, hivyo mipaka yetu lendelee vile vile"
Nilizungumza uku nikishindwa kumuangalia Enzo usoni
"Mistake? Ishani hakuna mistake sisi ni watu wazima na tumafanya tukiwa tunajua ni kitu gani
tunafanya
Nilijaribu kumuangalia usoni lakini nikashindwa na kumjibu.
"Lakini hatukupanga iwe hivyo Enzo"
"Mimi nimependa Ishani, sikia, Sijui wewe Una mipango gani lakini kwa Mimi nataka kuendelea,
sijawal kujisikia hivi ninavyojisikia baada ya
kufanya iki kitu na wewe, Ishani, samahani Kama nakuvunjia heshima lakini Uko msweet sana"
"Enzo"
Nilijikuta nikimuita tu kwa aibu na kubaki nikicheka Cheka, kuna Namna nilimsikia Ishani wangu akianza kuitikia wito wa Enzo.
Kwa utulivu na aibu na mihemko ya hali ya juu, Nikamuangalia Enzo usoni na kubaki nikimlegezea macho tu kutokana na hali ambayo
nilikuwa nayo kwa wakati huo
"Niambie chochote Basi na uache kuniangalia Kama nakuonea"
Enzo aliniambia.
Aaah mdomo wangu ulikuwa mzito sana kwa kutamka Maneno, lakini ikawa mwepesi kwa
Vitendo, sikujali Kuwa Enzo Ndio kwanza
Ametoka kuamka nilichokifanya kuchechemea ili niweze kumfikia vizuri.
ni
Mwanaume ni mwanaume Bwana, kwa haraka
Enzo akaninyanyanyua na nikamfikia kwa haraka
kabisa na kwa Pamoja tukaanza kukisi kwa hisia za hali ya juu.
My zangu, wale ambao Niliwaambia Kuwa namchukia Enzo, Ebu futeni hiyo kauli haikuwa akili yangu
Kwa mishiko ya huku na Huku nikajikuta nikiwa hot sana mpaka nikawa naona ananichelewesha tu Mimi sila huu ni
ukahaba si nimuache tu afanye kazi yake
Jamani.
"Naomba Kuwa dereva kwa sasa
Nikalopokaa Ila Mimi sijafunzwa hivi jamani
uwih wazazi wangu nisameheni tu, au tuseme hisia na balehe zilikutana kati sa ila kujitetea jamani haya.
Baada ya Kama dakika 40 tu tayali kila mtu alikuwa akihemea upande wake jasho tu zilikuwa zikitutililika na wajinga sisi tukabaki
tukiangaliana na kuchekeana Kama watu
waliorukwa na akili vile.
Hatimaye historia mpya ya mapenzi ikaanza kati
yangu Mimi na Enzo, Binti yenu niliingia kwenye hili penzi mzima mzima, Yaani sikuangalia Kuwa mama yake aniitaji nilichoangalia ni moyo wangu Unataka nini.
Na upande wa Enzo pia alihakikisha Kuwa nakuwa na Furaha, alihakikisha Kuwa ananipenda kuliko maelezo.
Ikiwa ni weekend, siku hiyo Enzo alikuja NYUMBANI kwangu mapema kabisa, nikaenda zangu sokoni na kununua zagazaga kwaajili ya kumpikia my wangu peke yangu.
"Mbona Karna hauko Sawa Leo?"
Nilimuuliza Enzo baada ya kumuona Kuwa ana mawazo sana.
Enzo akashusha pumzi nzito sana kisha akajibu.
"Kesho ni send off ya Pully na natakiwa Kuwa Uko
Nika
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni