Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
Gonga94 Β· Stories

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO..........

Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya wodi nilipokuwa nimelazwa

Kaka yake alikuwa anamuangaliaa tu namna alivyokuwa hatulii mwisho alimfuata na kumvuta huku akimtoa pale mlangoni.

"Kaka niachieee..."

Nyie huyu Bony alikuwa na roho ngumu sio kama yule Bony mwaitege ila huyu hatari aisee, kelele za Lizy ziliwafanya manesi kwenda kumzuia asiendelee kumburuza chini

Kweli alimuachia ila ndio hivyo alikuwa na hasira sana

"Naenda kufata pesa, nikirudi uwe umejiandaa kutoa huo ujauzito, yani hakuna kitu ambacho sikipendi kama yule boy wako yule yani huyo saa wako huyu simpendi kabisa..."

Alikuwa anaongea vibaya eti saaa πŸ˜‚ acha nicheke mimi kabla sijaamkaa walah

Basi Bony aliondoka pale akiwa na hasira sana, Lizzy alibakia pal pale hospital pamoja na Jose, baada ya lisaa limoja niliweza kuamka ila ndio hivyo uso wangu ulikuwa hautamaniki kabisa

"Henry..."

Ile naamka tu nasikia kuitwa na sauti tamu walah umalaya ni mbaya, nikafumbua jicho kutazama nikamuaoona Lizy, nikatabasamu tabasamu hafifu

"Lizy...."

Nilimuita, akanishika mikono yangu huku analia, nikamfuta machozi

"Lizy ikitokea nimekufa leo usithubutu kutoa mimba yangu, tafadhali lLizy..."

Nilimwambia

"Me naona tu tutoroke.."

Lizzy alisema aliposema hivyo ni kama alinifungua macho maana nilikuwa kama zuzu vile

"Tutoroke tuende wapi..??"

Nilimuuliza

"Popote tu Henry, kaka yangu huwa hatanii saivi ameenda kufata pesa akirudi naingizwa operation room Henry naogopa kufa pleas tuondoke.."

( πŸ™„ sasa tuondoke na hii hali yangu kweli, nitaficha wapi uso wangu mimi )

Nilijiwazia

"Jamani, hali yangu sio nzuri..."

"Hivi uko serious wewe, kama unataka kuokoa damu yako ondoka muda huu, me naungana na shemeji kuwa mtoroke.."

Jose alidakia

( 😁😁 ety shemeji. )

Basi sikuwa na kitu cha kufanya zaidi ya kunyanyuka hivyo hivyo, tulitoka mpaka nje kabisa na kuingia kwennye gari ya Jose na safari ya kwenda kwangu iianza, baada kufika kwa vile Jose alikuwa ameongea na dalali

Vyombo niliuzia pale pale nilichobeba ni nguo tu na pesa nikapewa ambayo ilitusaidia nauli.

"Shika hii simu tutakiuwa tunawasiliana..."

Jose alinikabizi simu kubwa, huyu kaka anahela balaa hata nauli alitupa kama laki tano hivi, basi bila kusubiri tulipanda gari siku hiyo hiyo ila ndio hivyo nilificha uso wangu πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

Safari ilikuwa ndefu jamani kutoka mwanza mpaka songea si mchezo njia nzima Lizy alikuwa anatapika tu huyu binti 😒 walah mimba ilikuwa inamuendesha na hapo ina week kama tatu hivi

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

SONGA NAYO..........

Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya wodi nilipokuwa nimelazwa

Kaka yake alikuwa anamuangaliaa tu namna alivyokuwa hatulii mwisho alimfuata na kumvuta huku akimtoa pale mlangoni.

"Kaka niachieee..."

Nyie huyu Bony alikuwa na roho ngumu sio kama yule Bony mwaitege ila huyu hatari aisee, kelele za Lizy ziliwafanya manesi kwenda kumzuia asiendelee kumburuza chini

Kweli alimuachia ila ndio hivyo alikuwa na hasira sana

"Naenda kufata pesa, nikirudi uwe umejiandaa kutoa huo ujauzito, yani hakuna kitu ambacho sikipendi kama yule boy wako yule...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wewe-ni-wangu-sehemu-ya
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

602
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

255
REALLY LOVE* *26&27*

REALLY LOVE* *26&27*

228
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

202
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

183
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

112
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

110
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

74
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

64
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook

48

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.29K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.35K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED  ESCAPE FROM... Post Mpya
HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED ESCAPE FROM...
@majario LIVE

Most people don’t actually hate their life. They hate how their days feel. The constant mental noise unfinished tasks waiting for texts living for the weekend scrolling to decompress from a day they barely chose So they...

This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998 Post Mpya
This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998
@majario LIVE

, this film gave us one of the most loved on-screen jodis of the 90s, and their chemistry felt so natural and effortless. Kajol was full of life, emotional, expressive β€”...

THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD.  THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL.  β€œEl Mencho Post Mpya
THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD. THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL. β€œEl Mencho
@majario LIVE

” was untouchable for 30 years. He had drones. Armored vehicles. Land mines. He shot down a military helicopter. The CIA looked the other way. Why? Because he wasn’t just moving drugs....

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
@majario LIVE

Kilichoniashtuaa sio kwamba nilifika nje nikashtuka hapana, yaani nilishtukaa baada ya kuingia ndani maan nilimkuta Hussein na Zakia wapo ndani tena kitandani na kwa mkao. waliokaa kwanza wanaonekana kuchoka kana...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

Siku ile ilikuwa ndefu sana kwangu sikuwa najua nafanyaje maaa nilikuwa na mawazo sana yaaani hadi usiku unafika sijui kam ni usiku maaan nilikua nimevurugwa sana, hadi nikawa nalinganisha kati...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10
@majario LIVE

Tulifanikiwa kupata lile fremu lilikuwa kubwa zuri lina hewa na pia lilikuwa lipo barabarani hivyoo ni rahisi watu kuona lile bango pale la officine, ambalo tutaweka tukatoka hapo tukaenda sehemu...

*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* * Post Mpya
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
@majario LIVE

__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Nelly ni mtoto wa kwanza kwa baba yangu wazazi wangu hawakuwahi kuishi pamoja hivyo niliishi na mzazi mmoja tu ambaye ni mama . Niliishi na mama yangu...

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook Post Mpya
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWEπŸ™Œ* *1-5* * Facebook
@majario LIVE

* *SEHEMU YA KWANZA* Huyu aliyegundua cabbage ni mboga, jamani jamani, nikimkamata uko kiama patachimbika 🀨, nikiwa nawaza kwa sauti, na hasiraa, bibi yangu akanipa za uso uku ananisogelea, "hio mboga imekukuza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO......... Baada ya yule dada kuondoka akaiingia sir Joseph huyu ni mshkaji wangu sana yani huyu kaka nilivyo mimi ndivyo na yeye alivyo, anapenda mademu huyu na kibaya zaidi ametongoza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
@majario LIVE

"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..." "Utaelewa tu shika viatu.." Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena πŸ˜‚ Mtoto...

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
@majario LIVE

Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake. "Shikamoo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest