Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 1 mpk 7.
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 1 mpk 7.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MPYA MPYA
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Mwandishi; lissa wa huru media
sehemu ya 01

"Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie alafu unanijibu jeuri we maraya utaama huu mtaaa"
Nilijibu uku nimeshikwa nikasema, bwana wako sijamtongoza kanifata mwenyewe kwasababu mm mtamu , na sijamvuta bibi na ukiona hivyo kwangu kayaona mambo .na sema na bwana ako sio na mm mana ata mimi simtaki ata .yeye ndo ananing'ang'ania"
Shoga angu aisha akanishika akanmbia shamira ebu acha kugombana bwana. achana nae anakusumbua nn yule, nikasema aisha niache nazani anijuh sasa na bwana ake simuachi ng'oooo mimi ndo shamira charambe nzima hakuna asiyenijua tutaoneshana sasa

Nilikua nshachukia apoo shamira mieee, yani alinitibua mno yule dada ananiletea ushamba wakayi mi mwenyewe mshamba khaaaaa. Mimi mtu akilianzisha na mimi nalianzisha sijaumbwa kumuogopa mtu tena mwanamke mwenzangu weeee sio kwa shamira mimi. jamni mie naitwa shamira, naishi charambe mbagala mm ni mswahili kweli kweli napenda ugomvi kuliko kula na ukinochokoza nachokozeka πŸ˜‚, nnachoshukuru mungu kajilia urembo bwana mtoto nna waka na situmii kitu chochote katika ngozi yangu zaidi ya mafuta ya nazi . Yani mm ni mzur yan pis kali kweli kweli. Nilijaliwa weupe kama najichubua vile kumbe wala .nikajaliwa na tako oyaaaaa mie mrembo ukiniona kunigeukia must ila mambo yangu sasa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣😊😊😊😊😊🀣🀣🀣. mm ni mtu wa babati .yani mm ni muiraq

Nilijitambua nikiishi na shangazi yangu , alinambia wazazi wangu walikufa nikiwa mdogo sana , mama alikufa wakati ananizaa na baba alikufa kwa presha baada ya kusikia mama kafariki😭, so maisha yangu yote mm niliishi na shangazi tu wazazi wangu nilikua nawaona katika picha tu, nilikaaa na shangazi na alikua ananilea vizur japo mm toka nakua na makuzi yangu yote ni mcharuko mcharuko , nilipofikia miaka 17 shangazi yangu alifariki😭 kwa malaria tu naiogopa sana mm malaria jamani .yani naiheshimu mno .

Badi bwana kwakuwa shangazi ambae alikuwa ananilea alifariki.akanichukua baba yangu mdogo sasaa ili nikaishi nae na faamilia yake.naee alikua anaishi kule kule babati ila sasa mama mdogo alikua hanipendi mno .kweli mm ncharuko mcharuko ila mambo mengine alikua ananisingizia jamani ,basi akawa anafanya baba mdogo ananipiga sana sababu ya maneno yake ya uchochezi.na alikua ananipiga sana yani mnooo ,nilijikaza tu sababu nasoma nilipomaliza form four ,nilitoloka nyumbani nikaja dar kwa rafiki yangu aisha , aisha yeye ndo alinipokea dar na yeye ndo alinishaur nitoloke baada ya kumsimulia jinsi navyoishi kwa baba mdogo
Alinipokea shoga angu vzur , yeye alikua amepanga charambe, nikafikia kwake tukawa tunaishi wote, hatuna ata kazi maaalumu yani ile mala nyingi ni kudanga tunaishi kwa nguvu za wanaume , japo tulikua hatujiuuzi ile bara barani ila ndo wale wale tu mana tukitongozwa hatukatai na pesa mbele ndo tunasongesha maisha,

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
sehemu ya 2
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Sasa bwana kama nilivyosema mm ni mzur ila sina matunzo tu, kitako changu cha mbinuko japo sio kubwa sana ila kitako nnacho , mm ni mweupe pyeeeee sina shida ya kujichubua kama aishaaa, alafu sasa mm ni mzur yani sulaaa weeee mm pisi kali nisie na matunzo ila sasa akili 2 kama shoga yangu aishaaa, nna mabwana kama wote mpka wengine nawasahau kudadeki, sijuh kukataaa mwanaume yote kutafuta pesaaa tuendeshe maisha tu , kiufupi mm na aisha ni wadangaji tuuuu, na iyo siku tulikuwa tunapita na shoga angu tumetoka dukani nashangaaa mtu kanivaa ananambia natembea na bwana ake, khaaaa asa mm nna bwana mmoja ata sijuh ana msema bwana gani kwanzaaaaa, na mm ngumi naziwezaaaaa yani kukunjana tu ni suala dogo sanaaaaa
Ayaaaaaaaa tuludi kuleeeee tumeanzia sasaaa kwenye ugomvi bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi aisha akanishika akanmbia muache achana naye shamira mshamba yule, nikasema khaaa anazani mm mtamuogopa na uo unene wake thubutu mm ndo shamira, apo hizo ngumi zote ata bwana ake sijuh ni yupi mana nna wanaume kama 100 , mtu mmoja mm. Ila nyie niacheni tu.mana nilikuwa na mabalaa ya peke yangu

Basi yule dada akasema nakwambiaaje ata umpe mkundu sadiq aniachiiii ng'ooo anakuchezeaa tu, khaaa liononeni chefuu asa mm nna mpango na uyo sadiq si namchuna ela yake tu , ni mkaka mmoja mbayaaa uyooo kulala nae najikaza tu sababu nataka pesaaa ilaaa khaaaaaa.nikasema sasa wewe msenge nini kumbe kuanzisha ugomvi kote bwana ako enyewe sadiq .mjinga kweli yule mwanaume au taka taka .sula yake sasa kama anakunya na kwa mwanaume gani aswaa pale. Akienda mbele kama analudi nyuma .na labda nikwambie uyu bwana ako ndo ananitaka mimi. Sio mimi kwaamba namng'ang'ania yeye sina mda mchafu kiasi iko


Basi aishaaa akanishika mkono njia nzima natukana nakwambia mpka kwetu tulipopanga tuna godoro na mabeg ya nguo tu wadada kama sisi ela ya kudanga inaishia tumboni na kodi na kuvaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣, nikasema aisha usingenishika mbona mm yule namuweza ningeluka nae vzur sanaaaa .kwani uyo bwana ake mm nimemfunga kamba au mm ndo nimemfata si kanifata mwenyewe, aisha akasema wee wengine washajifia shoga angu unaweza ukamsukuma kidogo tu unamkuta mtu kajikaukia achana nae shogaaaa tufanye mambo yetu nikasema powaaaaa

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
sehemu ya 3
Wassap:0742443214
Mwandishi;lissa wa huru media

Nikavuta simu nikampigia sadiq, uyu kaka alikua ni fundi garage na ananipenda vibaya sana, na nilikua na nyota ya kupendwaaa nikimkamata mwanaume laizima akamatike sema ndo hivo uku uswahilini wanaume wenyewe hawana ata pesa ya maaana yani .khaaaaa nyie acheni tu , unaenda kulala nae unampa vyote na style mpyaa juu.akikupa ela kubwa elf 50 , asa ntafanya nn cha maana zaidi ya kupata mahitaji yangu ya msingi tu
Basi akapokea nikmwambia we maraya kuanzia leo mm na ww basi .akasema haa kwa nn sasa shamira, nikasema mwanamke wako kanifanyia fujo mnoo sitaki mambo mengi pita uku nipite kule. akasema ahaa shamira usifanye hasira bwana nakuja apo kwenu tuongeee, nikasema weee sitaki maongezi na ww fanya mambo yako nifanye mambo yangu sikutaki akanmbia lakini mm nakutaka shamira. sikumsikiliza nikamkatia na simu.nna madanga kibao unazani yeye ndo ata nisumbua mie ahaaaa wapi sio kwelii kabisaaaaa
Nikawa busy na shoga angu tunapanga mipango ya maisha mana kodi inakalibia kuisha na hatuelew tuna discuss sasa tunapataje kodi, na kila mtu hana pesa. mala nasikia hodi nikaenda kufungua namkuta sadiq na minguo yake ya ufundi uko naona alikulupuka cheze penzi la shamira wwπŸ˜‚
Nikasema ww vp ujumbe wangu hujauelewa akanmbia nimeuelewa lakini sitaki kuufatisha acha mambo yako shamira.si unajua mm nakupenda sana na kwako mm sisemi kitu plsss mama angu naomba tuyamaliza , nikawaza chap nikmwambia sawa tunadaiwa kodi apa miezi minne 120k naomba unilipie yaishe, akasema dah mbona sina pesa shamira kwa sasa. si nimekupa elf 30 jana tu
Nikamwambia basi kama huna iyo pesa ya kodi ndo tumeishia apa akanmbia sikia ngoja nikafosi jioni nakuletea basi .nikasema sawa ww tu mpenzi , uyo akaondoka zake, aisha akanmbia weee mama ww unawapa nn awa wakaka mbona wanajipanga hivi na wanavurugwa ukisema unawaacha .nikasema ww mm nawapa vitu adimu awa ndo mana wanatulia unacheza na mm nn basi tukacheka sanaaa

Jioni naona sadiq kaja nikamkalibisha mpka ndani aisha akatuacha akasema mamy nimepambana nimepata laki 1 .iyo 20 nimekosa shamira. nikasema sawa nipe tu iyo itanitosha.basi akanipa akanmbia naomba basi kidogo nikamwambia ahaaa ndo nikupe apa sio kweli mimi apa nakaa na shoga angu kama vp ww tengeneza mazingira baadae tuende lodge akanambia aaha basi powaaa mamy nitakupigia uje wap. nikasema sawaa
Basi akaondoka nikampa laki ya kodi aisha akasema apa unyama shogaaaa na mm nna 20k ndani apa ntajazia nikasema powa, mala juma anaipigia ili nalo ni danga langu na ni mume wa mtu ila mm naaangalia pesaaaa mengine aya nihusu na sio shida zangu nikapokea akanambia upo wap shamira. nikasema home ntakua wap jamani akanambia nakujua ww ukute upo kwa bwana mwengine mana shamira ww una mambo mengi sijuh kwa nn nashindwa kukuacha nikamwambia ww acha mawaiza sema shida yako

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
sehemu ya 4
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Akasema oooh aya bwana na hamu na ww . tukutane basi nipata ata bao 2, nikasema una sh ngap mana namjua ananitombaaa kama hana akiri alafu ananipa elfu 10 khaaa, akanmbia nakupa elf 20 leo nikamwambia elf 20 kampa mkeo na ubahir wako mm siji. akanmbia sikia basi shamira aya sema ww unataka sh ngap?. nikasema okey nataka elf 50 kama ipo nijeee apo sasa hv .akanmbia powaa njooo
Nikamuaga aisha chapu nikachukua boda mpka lodge ilipo ilikua maji matitu uko nikaenda .akaja akalipa boda nikaingia ndani ya lodge na mpka mwenye chumba alichokodi.kwanza mabahiri baba uyu daah kanipeleka kwenye lodge ya elfu 5 niondome na mikunguni mimi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.nikamwambia aya kabla ya yote naomba pesa yangu basi .sitaki mikopo mm, akanmbia huniamini shamira ama we nipe nitombe kwanza mm nakupa tena nakuongeza nikasema sawaaa amna shidaaaaa
Nikavua kijola nikaweka pembeni nikapanda kitandani na chupi tu tena bikini matako yote wazi na tako tu nnalo shoga yenu. Japo sio la sifa ila nnalo.nikaanza mpa vitu vinavyovuluga akili yake mm kukulana tu naweza tena show naisimamia mwenyewe kuna wanaume mpaka wanaliagaa unazani watakubali kuniacha ila sasa nna nyota ya kupata wanaume makapuku mm jamani nyie acheniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.sina ata mwanaume wa maaana.yani nnna wanaume wa kunipa elfu 5 na elfu 10 tu dooh

Nikaaanza mkatikia mwanaumeeee , apo kiunoni navaaga shanga zangu 2 tu kiunoni ndo kama kibwebe changu nna kiuno chepesi kama sina mfupa nakata kweli kweli , nikaukalia sasa nikaanza kunyonga uku upo ndani apo ndo wanaume nawamaliza asaaaa nikaubania kwa ndani namsikia juma anasema aaahhh mm sikuachi ntakununulia gali, khaaa yeye mwenyewe ata basikeli hanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kukulana najuaa mnoo akuna styleeee sikai ww ndo utachokaaaaa nna show za kababe, hakuna mwanaume nimelala nae akaniacha tunashindwana umaraya tu wengine mpka wananipiga mana ukishika simu yangu utasema uyu dada maraya mkubuhu kweli kweli nna wanaume kibao na sina mpango wa kutulia na mwanaume mmoja kabisaaaaaa

Badi show iliend kama masaa mawili na juma nae ana shughuli kweli kweli mala kaniwek hv mala kanikunja hv mala kaniweka hv yani fujo tupu kaja kuniacha usiku kama saa 5 hvi nipo hoi nikaenda kuoga nikatoka nikamwambia juma nipe changu mm nataka kuludi kwangu nikalale akchukua suluali yake akanipe alf 10, nikamwambia ww ni chizi nn ndo tumekubaliana hv ebu acha masihara nipe pesa yangu akanmbia khaaa we demu ebu acha kupemda pesa kwani nimeondoka nayo iyo si iih apo. chukua teni ili. mm sina pesa nikasema sawa mpenzi akuna noma nikakaa kitandani
Akanmbia mbona uondoki nikasema ahaaa mm naona bola tulale tutiane mpka asubuh mana nimeimis show yako , akasema powa mpenzi ngoja nioge nikasema powa akaingia choooni ile kuingia tu nikaenda kumfungia kwa nje kule chooni namsikia anasema ww mbona umenifungia wala sikuongea nae nilimbebea kila kitu sikuacha ata boksaaa nikaludi zangu uyoo nyumbani

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
sehemu ya 5
Wassap:0742443214
Mwandishi;lissa wa huru media.

Kufika aisha anashanga nna nguo nimebeba mpaka miyebo yebo yake nimebeeba mi nataka upumbavu kwenye kazi yangu🀣🀣🀣.asha aakanmbia ww vp mbona hai hai na mizigo tena. nikamsimulia kilichotokea uko . alicheka akanmbia ww sasa atatokaje uko nikasema atajua mwenyewe mm sina mpango, nilimchukulia simu yake kubwa , pochi lilikua na pesa kama laki 3 na nguo zake nikamwambia aisha kesho tunaenda kununua kitanda hii pesa akanmbia ww usitumie atakuja kudai apa mna anapajua. nikasema ww nisikilize mm uyu hasumbui ntamkomesha
kwanza mm namjua mkewe namtishia naenda kumwambia mkewe umaraya utamuisha, aishaa alichekaaa sana nikashika simu nakuta misssed calls kibao za sadiq nikakumbuka nilimpromise tunalala wote na kanipa laki 1 ya kodi ila nishachoka nikasem ahaa mm nalala zangu bwana nimechoka mie ,ntaenda kuonana nae ata kesho. So sikumjibu sms zake na wala sikumpigia .na alipopiga mimi dikuangaika kupokea simu yake. nikapanda kitandani nikalal zangu , asubuh tukaamkia kwenye vitanda. nikanunua kidanda kizuri cha mbao 5 kwa 6 laki 3 kizur mno .nguvu ya juma🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Tukakileta mpka nyumbani ,tukakifunga vizuri tukaweka na godoro letu juuu aka tukawa tunaongea ongea mala natoka nje namuona juma anakuja haraka haraka ana jazba uyo .mimi wala sikumuogopa na mm nikasimama namngoja afike mm ndo shamira bwana siogopi dudu wala menda. Na unavyokuja ndo nnavyokupokea .utanambìa nini sasa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Akaja mpka pale kakasilika vibaya sana akanambia we maraya ww umejua kunidhalilisha , nikamwambia na bado ww si uwezi kutulia na mkeo tu basi utadhalilika sana .akanmbia sikia shamira sijafata mazungumzo naomba ukanipe pesa zangu mana ni za msingi wa biashara umefanya leo sijaenda kabisa sterio kufata mzigo, na kweli juma ni muuza genge bwana ana genge kubwa tu apa mtaan

Nikasema oohhh maskini jamani ushafilisika katafute tu pesaaaa mpenzi mm pesa ile nilishaitumia akanmbia .nn ww sikia chukua 50 yako basi tuliyokubaliana inayobaki nipe shamira.mm ntamwambia nn mke wangu, nikasema uyo mkeo ntaenda kumwambie mie kuwa mumeo nimemchukulia ela yake ya msingi alitaka kunidhurumu yangu lodge wakati kanitomba na kunichosha mno ila aligoma kunilipa.

Wee juma akakasilika akanmbia shamira usinitanie nataka pesa yangu nikasema sina baba ,akanmbia pesa yangu utatoa. nikasema nimesema nishatumia akanidakaaa akanikuda anataka pesa yake akaanza na matusi, aisha akatoka akaanza kumsukuma aniachie .akawa hataki nakwambia kaning'ang'ania , nishazoe hizi pilika pilika mwenzenu mnazani naogopa khaaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Akaanza kunipiga na mm sikubali namludishia nakwambiaaaaa ila si unajua mwanaume ana nguvu , aliniwasha kweli kweli wote mm na asha mpka katoka mama mwenye nyumba wakaja na watu wengine kuja kutogombelezea ndo akaniachaa apo anatukana vibaya sana.mnadhani kwani na mm nimepoa na asha jeee weee japo tumepigwa ila tulimtukana asa mimi ndo usiseme natukana kumamako kama vile mm sina iyo kuma nyie acheni😟
Basi juma akaondoka ila akanmbia atanikomeshaa nakwambia nikasema ww ndo ntakukomesha nikamwambia aisha twende polisi weee mm na aisha mpka polisi tumefika pale nikaanza kusema nimepigwa nimefanyiwa fujo kwangu na juma na nilikua na pesa laki 5 nimetoka kupokea mchezo nimezipotezaaaa katika ugomvii, polisi akanmbia sawa tukimkamata unatupa cha juu sh ngap nikasema nawapa laki nikilipwa
Kweli. polisi mpka kwa juma akaakamatwa nakwambiaaaa, mkewe akaja hai hai polisi wakamuelekeza kesi ya mumewe , yule dada akanifata akanambia we shamira usitake kunambia ulikua unatembea na mume wangu .mana ww mwanamke maraya sana,na tabia zako mtaaa mzima zinajuliknana. nikasema sasa ndo ushangae maraya kama mm lakini mumeo kaniganda atari .nafikiri utakuwa una shida sehemu dada. Uwenda ukawa sio mtamu wewe nishakuona. alafu mwambie atulie anakuaibisha tu show awez ana uboo mdogo sana , wala haikuw kweli ila nilitaka kumkwaza tu ile kuniita maraya alinikera japo mm maraya kweli ila ndo anambie live akaaa kwa kweliπŸ˜‚
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
sehemu ya 6 na 7
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Yule dada akanmbia au sio ntakukomesha ngoja mume wamgu atoke kwanza,nikamwambia we usinitishie nyau mimi ni mtu mzima kwenda uko.basi akaondoka zake kuendelea na process za kumtoa mumewe na kweli wakaja na ndugu zake juma wengine mm nipo pembeni kama sio mie ,wakawa wanaongea na mapolisi na baada ya mda polisi wakaniita wakasema shamira wasikilize awa walikua ni ndugu zake juma. wakasema bint ss tuna laki 4 tunaomba uruhusu juma aachiwe .nikasema nyie sikilizeni mm nimepoteza laki 5 yangu mnipe laki 4 yani kanitia hasara na kunipiga kanipiga nataka laki 5 yangu cash .ili niende hospitali .yani kanikaba mpka shingo ilitaka kuchomoka.nyie nataka laki 5 yangu cash apa. Kama vp kesi iemde mbele nikapate haki yangu uko.nilikuwa mkavu kama kweli nilikua na iyo laki 5πŸ˜‚

Basi nikaona ndugu zangu wanajishaur shaur mm nimeuchuna kimya nangoja ela yangu , kweli mida mida nikaitwa na polis i nikalipwa ela pale laki 5 , juma akatolewa nakwambia kanikata mjicho uoo nikasema kwenda uko usinitishe mm, akachukuliwa na ndugu zake wakaondoka .mkewe alikua kanununa uyoo nikasema watajijua wenyewe
Nikachukua laki nikawapa polisi na wananijua jamani kesi zangu nying asa za kupigana na kupigwa na wanaume, nikaondoka na laki nne yangu wa barid sina shida ile kufika nyumbani tu nakutana na sadiq kavimba kakaa nje ananingoja nikasema kumekuchaaaa, akanmbia hivi we demu unanichukuliaje mm , yani mm naenda kukopa laki moja nakupa ulipe kodi usiku nakupigia hushiki simu zangu au sio, nikasema mm sijaiona iyo simu akanmbia wewe usinizingue ,nikasema sasa kama sijaiona nifanyaje jamani sijaona iyo simu sadiq. akanmbia fresh tufanye ujaona simu twenzetu sasa nikasema weee mm nimechoka mwenzio labda baadae .akanmbia nn ww akaaanzaaaa kunivutaaaa nakwambia nikasema ww chizi nn nimekwambia baadae, mala aisha Akatoka akaaanza kuamulia pale. sadiq ataki kuelewa ananivuta kweli kweli. Kama anataka kuning'oa mkono vile

Nikaaanza mtukana nakwambia mana ananivuta mpka ananiumiza nilitukana atali akakasilika akaanza kunipiga nyie maisha yangu mie acheni tu , kupigwa na wanaume kila siku kinaniramba yani .yani asubuh ngumi usiku ngumi .basi aisha nae akaingilia nakwambiaaaa.tukawa mtu 2 yeye peke yake. Ahaa tulimuweza na alivyo mwembamba tulimkomesha . bwana vikamzidia akaniacha akawa anaondoka uku anatukana akawa anasema nakwambiaje we maraya pesa yangu utaniludishia nakwambia .yani mm nakupa pesa hutaki kunipa kuma ntakukomesha ww
Nikamwambia nendaa ukooo usinitishe mm kwani nilikuloga si ulinipa mwenyewe peleka pumbu zako mbele usinitishe mm, akanambia we demu si unajifanya maraya tutakukomesha sasa utaaama charambe ww, nikamwambia nenda uko mshamba ww usinitishe mm, yani ugomvi kwangu ni kawaida mchana usiku asubuh napigwa atali mwili wangu una ngeu za kupigwa na wanaume kwani ndo nakoma aaaah nshajizoelea ndo maisha yangu mm,
Basi tukatukana mnoo na mshikaji pale mpka kaondoka apoo nshajaza watu kooh na wananijua matukio yangu, basi sadiq akondoka uku anatukana nikaingia ndani na shoga yangu hoiiiiiiii

Ata atujapumua vzur mlango unagongwa tena mh tukasema atufungui tukakausha kimyaaaa. ukagongwa tena mala tukasikia sauti ya mama mwenye nyumbaaa anasema nyie nyie fungueni mlango si mmeingia ndani sa hz , heee kumbe mama mwenye nyumba tukafunngua haraka na mama mwenye nyumba akaingia ndani , akatoa pesa akatupa akasema sikieni nyny iyo ni pesa yenu ya kodi mlonipa jana. sitaki muendelee kukaa kwangu katafuteni nyumbaaa , doooh tukasema jamani mama shida nn.
Akasema nimechoka nyumba yangu kufanywa danguro na sehemu ya mapambano nawapa siku 2 pesa yenu iyo mkatafute nyumba , tukasema jamani mama ss wanao mbona yanaongeleka akasema nyie mm siwez zaa makahaba kama nyinyi naona ata uchafu kupokea pesa zenu mana najua mnafanya ushenzi ndo mpate pesa sasa sitaki maneno naombeni sana baada ya siku 2 muame apa muniachie chumba changu nipangishe wastaarabu nyie ushemzi wenu kafanyeni mbele.msije mkanitafutie kesi apa kisha akanyanyuka akaondokaa.
Tukabaki tumechoka mnoo na sisi kwa kuama majumba hatujambo issue ndo hzi hzi tunaaamishwa mhh nikatoa ile laki nne nilopewa polisi nikamwambia shoga tutafute chumba sehemu nyengine , aisha akanambia sikia shamira tukipata nyumba sasa hv kila mtu afanye mambo yake nje na nyumbani tusilete wanaume nyumbani nikasema hilo nalo neno shoga anguuu
Kweli tukaanza tafuta chumba kwa pale charambe hakauna aliyetutaka nakwambua ikabidi tusogeee tukaenda kupanga sakuu sasa , tulipata chumba kizur tu mm nikanunua na kabati laki 2. Mana nguo kwemhe matemmnga tu nikaona sio sawa. Na nyengine nimanunua chakura nikaweka ndani . Na baada ya siku 2 tukaamia sasa saku ilahatujaacha kudanga yeye akipata madanga yake anaenda na mm nikipata naenda hakuna ambae analeta mwanaume nyumbani hatukutaka pilika pilika kabisaaaa.na mala nyingi tunakuwa charambe kwa mashost zetu uko na ndo tumepazoe sana uko tofauti na saku.
Siku iyo sasa tulikuwa home tu hakuna mtu kaitwa na danga tunapiga story na aishaa, mala simu yangu ikaita nacheki namba ya husna, husna bana ni shoga yangu nae ila sio sana kama aisha yeye anakaa kule kule charambe tulipotoka, nikapokea akanmbia shogaa upo wap nikasema home niwe wap bana ,

aknmbia shoga nna shughuli mwenzio kaka angu anaenda kuoa maji matitu mnipeleke basi kuna matarumbetaaaaa, nikasema ww ni lini akasema leo udugu saaa 9 tunaenda kuoa apo naangalia saa ilikua saa 5 asubuh nikamwambia hv we mtoto chiz eeeh yani ww unanialika shughur leo umesikia mm chiz shughur ama , ata kama napenda tarumbeta sio kiivyo siji shoga .akanmbia shoga nilipoteza simu mwenzio , ndo nimepata leo asubuh njooo shoga angu mm najua ww ukiwepo apaaaa jambo litanyooka njoo bana tena mwambia na aishaa ,nikasema mm sijiiii nimesema akanmbia njooo bwanaaaa, nikasema powaaa unaninulia bia nikija akanmbia iyo muhimu shoga na sale nimewakatia ww na aishaa nawapa buleee nikasemaaa imepita iyo shogaa tunakuja tunakutania wap akasema charambeeeee nikasema saaa 9 tupo apooo akasema powaaa
Nikampanga aisha tukajiandaaa chapu na mm matarumbeta ndo ugonjwa wangu jamaaaniii, acheniii tu , saa 9 tupo pale watu kama woteee chezea sisi weee , husna kutuona kachangamka anajua lazima shuguri itakua pambe akatupa vijora vyetu mm changu nikakichana mpaka mapajani nakwambiaaa akanipa na bia zangu tatu nilisukutua tu mm silew bia 3 ata siku moja
Basi sasa likaja tarambuta likaanza kupiga watu wanacheza cheza nikamalizia bia yangu ya nne nikapiga na ya 5 akili ika kaa sawa sasa nikaaanza kuchezaaa mm nikcheza watu wote wanakaa pembeni jinsi nnavyoyaendesha matako kudadeki , safar ikaanza ya kwenda kuoaaa maji matitu sasaaa weee nilikua nacheza kma chizi ,
Sasa tukaingia balabala kubwa magari yamesimama mana tunapita barabarani tulivyowehu sasaaa, basi tulikua tunacheza sio powaa asa kuna sehemu kuna duka kubwaaaa nikaona mkaka kapaki gar kali pembeni alafu yupo katika hilo duka nahisi alitoka kununua maji anakunywa kapemdezaaa kavaaaa vizurrrr kawaka jamani sijuh ni pombeee nikamfata nikaaanza mkatikia kama mwehu nakwambia napeleka matakoo et anibambiee hee yule kaka alinishangaaaa mnoooi

WoyooΓ²ooΓ²oΓ²oooooo. UkuuuuuuuuuuuΓΉ. Kazini kuna kazi leooo niπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

JE NINI KITAENDELEAAA!! "

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 1 mpk 7.

MPYA MPYA
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Mwandishi; lissa wa huru media
sehemu ya 01

"Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie alafu unanijibu jeuri we maraya utaama huu mtaaa"
Nilijibu uku nimeshikwa nikasema, bwana wako sijamtongoza kanifata mwenyewe kwasababu mm mtamu , na sijamvuta bibi na ukiona hivyo kwangu kayaona mambo .na sema na bwana ako sio na mm mana ata mimi simtaki ata .yeye ndo ananing'ang'ania"
Shoga angu aisha akanishika akanmbia shamira ebu acha kugombana bwana. achana nae anakusumbua nn yule, nikasema aisha niache nazani anijuh sasa na bwana ake simuachi ng'oooo...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-1-mpk-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

660
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

462
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

248
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

229
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

209
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

193
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

168
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

107
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

103
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

95

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.29K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED  ESCAPE FROM... Post Mpya
HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED ESCAPE FROM...
@majario LIVE

Most people don’t actually hate their life. They hate how their days feel. The constant mental noise unfinished tasks waiting for texts living for the weekend scrolling to decompress from a day they barely chose So they...

This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998 Post Mpya
This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998
@majario LIVE

, this film gave us one of the most loved on-screen jodis of the 90s, and their chemistry felt so natural and effortless. Kajol was full of life, emotional, expressive β€”...

THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD.  THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL.  β€œEl Mencho Post Mpya
THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD. THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL. β€œEl Mencho
@majario LIVE

” was untouchable for 30 years. He had drones. Armored vehicles. Land mines. He shot down a military helicopter. The CIA looked the other way. Why? Because he wasn’t just moving drugs....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest