*11-mpk 20 *MJEDA NA BIKRA YANGU
*_____________________________
*SEHEMU YA 11 Na 12*
Lakini Rameck mbona tumeshayamaliza, sasa huku naondokaje hata sijui niko wapi, na tayari umenioa, mbona unataka kunigeuza mfungwa sasa, " Re hata useme nini mke wangu, sitokuluhusu, kama kuna kitu unahitaji niambie nitakuletea lakini sio kutoka nje...
Nilikupa nafasi ya kukuamini lakini uliipoteza mrembo wangu, nikweli mimi ni dhaifu kwako sana, lakini siwezi kukubali kukupoteza,
Rameck kwa nini lakini, mimi tayari nimekubali siendi popote natakiwa kufanya mazoezi lakini pia ata nipete hewa ya nje...
Lakini hakukubali, nilinuna, lakini ata niulizwe kulikoni hamna kana utani ikakatika mwezi mzima na nusu, sijatoka nje apo mimba ina miezi 8 na wiki mbili, zilisalia siku tu zakuhesabu, mama mkwe alikuja kunihudumia, ndani sikuwa na amani tena, wivu ulizidi...
Mama mkwe alifika, Rameck akaenda kumpokea, waliludi wakiwa na furaha wenyewe mimi ata,nilikuwa naforce tu furaha,mimba ilinipenda nilikuja nikiwa nimenawili, lakini saiv nimepungua kweli, nilikuwa nimeshapika nikatenga tukala, nikatoa vyombo kimya kimya, sikuwa naongea kabisa mpaka niulizwe...
Nilipitiliza kuosha, nikiwa naosha,Rameck akaja, lakini mke wangu nini hiki unafanya unataka kuonesha picha gani kwa mama? Ivi kweli na hali hiyo, unaosha vyomba na nina mfanyakazi ndani,namlipa ili iweje sasa ata kama anaemergence kwa nini usiniite nikaosha mwenyewe, mbona nilishakuzuia majukumu nataka uishi kama malkia na sio mfanyakazi kwa nini unajinyima raha lakini, napenda ufanye kazi moja tu yakunifurahisha mimi hizi zingine niachie mwenyewe...
Sikujibu kitu, alivyoona kimya alisogea akanikumbatia kwa nyuma,najua tamanio lako ni kunikimbia, naweza kutekeleza kila tamanio lako lakini sio tamanio la kukupoteza wewe na mwanangu,nashindwa kulitimiza kwa sababu litaniumiza kupita kiasi, kwani huko nje unataka nani akakuone, ilihali tayali nimeshakuoa...
Naomba uache unachokifanya tafadhali sana,alinitoa vyombo mkononi, nakuniondoa jikoni nilifika sebuleni nikajikaza tu kuongea na mamkwe, siku ilipita kulikucha baada ya chai mamkwe akataka tutoke tukapige zoezi, kwa mala ya kwanza Rameck akakubali lakini tukaenda nae, na kuludi nae, jioni napo hivyo hivyo...
Sikuwa na simu nikitaka kuwasiliana na mamdogo,kaka au baba natumia simu ya Rameck,ilikuwa inanitesa mno, mama mkwe aliomba no zangu nikamwambia sina simu akashangaa, hakusema kitu ika jioni, Rameck akaludi na kinokia cha batani, nilijikuta tu machozi yananitoka...
Niliipokea tu, nakusema asante huku nalia maumivu yalizidi nikajikuta nimelia kwa sauti,"Re kuna shida gani mke wangu? Kuna kitu nimekukosea? Niambie basi mke wangu? Mbona unalia, nilikimbia bafuni nikalia uchungu ukaisha nikatoka,lakini macho yangu yalikuwa mekundu kama nimekunywa sana...
Nilitaka kutoka, niende sebleni, lakini Rameck akaniwahi mlangoni, mke wangu niambie basi wapi nimekosea angalau nijue, mimi niko sawa nilijisikia tu kulia, Re atakama nakujua vizur sana, kuna jambo, hio tabia yako yakutunza mambo moyoni, ndio inayokuumiza, unatatuzo ama kuna jambo hujalipenda unaona halikk sawa nuambie, kama simu hujaipenda pia niambie....
Rameck mimi niko sawa jamani, niliamua kukausha coz najua hata niongee nini hawezi kunielewa, aliniomba tutoke wote, tulitoka kufika sebuleni, nikahisi tumbo,nyonga vyote vimekaza,mama mkwe hakuwa na mambo mengi,aliniuliza ninavyoumwa nikajibu akasema ni uchungu, andaa begi lake leta tukimbie hosptali, waliniwahisha hospital,nilifika niko hoi kwa maumivu, nililia mpaka machozi yakakauka...
Baada ya nusu saa, nilishusha jembe,
Copy ni Rameck mtupu,na ilikuwa ni saa mbili mbili usiki, nilibaki na mama mkwe, hivyo alimpa taarifa mwanae kuwa tayari, mimi aliniachia kiswaswadu kilikuwa na line na no zake na ndugu zangu anaowajua tu,sikujisumbua kumpigia niliwapigia Baba, mamdogo,wifi na kaka, mama mkwe alihisi hatuna maelewano akashindwa kulivumilia...
Binti yangu, nahisi nyinyi wawili kuna tatizo, naomba usinifiche kuwa huru kwangu, mmh mama amna tuko sawa, wakati tunaendelea kuongea Rameck akapiga kwenye simj yangu nikataka kuvunga ila nikaona ndo njia yakuondoa utata, nilipokea haloo, Re mke wangu, hongera na asante sana sijui hata nikuoe zawadi gani mke wangu umenifanya kuwa Baba sasa...
Sikujibu kitu, mke wangu naomba uniambje mama unahitaji nini?, Chochote tu, Re kuwa huru wewe chagua, chochote tu ni sawa, Re natamani uchague mwenyewe,naomba nikuoe muda utafakari ukitoka tu hospital uniambie mke wangu, nilijibu tu sawa, " binti yangu unapewa ofa nzuri kiasi hicho, afu unaogopa kutaja aisee ningekuwa mimi nisingekosea...
Ningeomba ata nyumba, nilitabasamu tu, moyoni najua kabisa hata nikiomba nikapewa sitofanyia chochote, mfungwa naomba nini sasa,tukiwa bado tunaongea usiki huo huo Rameck alikuja, nilikuwa VIP, hivyo alivyoonesha tu vitambulisho akapita, sikuwa natamani hata kumuona,nilimpokea kawaida sana, sikuwa na furaha nae kabisa, alikuja na vibe wakashilikiana na mama mkwe, kufulahj na kuongea mimi kimya...
Rameck alitambua kabisa, sina furaha, akajua bado ninamchukia namuigizia tu, kesho yake wifi yangu alikuja aisee nililia kwa furaha na machungu, alielewa siko sawa, Rameck aliongeza umakini akihisi kama nimekuja kutoloshwa, tuliluhusiwa nikaludi nyumbani, miezi mitatu, wifi alika na mimi akaondoka, mama mkwe pia alikuwepo baada ya mtoto kufikisha miezi 6 nae akaondoka...
Muda wote huo nilikuwa nampiga dana dana Rameck simpi utamu toka nimejifungua namchenga,mama mkwe alivyoondoka akanibana, Re ujue sikuelewi kabisa mtoto tayari ana miezi 7 sasa lakini wewe bado unanitenga mpaka chumba bado unalala peke yako, unaona hio ni sawa kweli,kumbuka mimi ni mwanaume niliekamilika nakula na nina shiba, au unanitafutia sababu ya kukuchit ili uniache?...
Uko kimya kama kawaida yako ni dharau ndo umezoea kunionesha, najitahidi sana kuwa mwema kwako, lakini wewe unafanya nini? Sasa leo utanisamee sitovumilia zaidi, nilivyomtizama kweli alikuwa serious, Rameck lakini mtoto bado mdogo huyu, Re mimi sio mtoto ujue namimi nina watu nauliza hii yangu sasa imezidi...
Rameck kwa nini lakini sio muelewa niachie basi usinishike, lakini wapi alihakikisha anakata kiu yake, baada yakumaliza sasa, ivi mke wangu tutaishi hivi mpaka lini kwa nini usinipende tu, ukinipenda huwezi kuninyima mmeo ukinipenda huwezi kuninunia bila sababu,nilijua ni kisrani cha mimba lakini kumbe ni maamuzi yako...
Ivi unatambua kweli kama naumia sana najikaza tu kwaku nakupenda Re, mimi sio wakutoa machozi mimi sio wakulia naukomando wangu wote umeniweza mama, kazi yako ni kuniliza, umeshatambua nakupenda ndio maana unanifanyia kusudi, kumbuka na mimi ni binadamu sina moyo wa chuma Reπ...
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*MJEDA NA BIKRA YANGU
*_____________________________
*SEHEMU YA 13 Na 14*
inafika hatua naomba kwa nguvu kweli mke wangu? Ee yani huwezi tu kunipa kwa hiyari, mpaka tugombane, apo utaniona mimi mkorofi, mimi nakunyanyasa, makosa yote utanipachika mimi, unanifanya nakosa kukuamini naogopa, muda wote nawaza ivi kweli kuna siku utanipenda kiasi kwamba utakuwa tayali kutamba hata huko nje kuwa mimi ni mmeo, mimi ni baba watoto wako, kweli kuna siku itatokea au ndio nikikosea tu kukuto nje...
Ndio siku nakupoteza, utapata unaempenda, inamaana mimi nj mbaya sana Re, nina kasoro gani mimi niambie basi, ee niambie natisha? Au sikufurahishi kitandani Re? Niambie basi kasoro yangu nini? Re mke wangu mbona nakupenda sana mimi π, niambie basi nifanyeje unipende, uniheshimu, unijali, nisitumie nguvu, nawewe uenjoy , tutaishi hivi mpaka lini...
Tulikuwa tunalia wote, hakuna wakumnyamazisha mwenzie,mtoto nae akaamka wote watatu tukawa tunalia, Rameck akaamua kumchukua mtoto ata hakuwa ameoga, alienda kuoga nae bafuni, uku wanalia nakumbembelezana, walitoka wamenyamaza mimi pia niliingia kuoga, nikatoka bado ninalia mawazo mengi, sina ata kinga, vipi kama nimebeba tena mimbaπ...
Re kama inawezekama naomba unisamee, nashindwa kuvumilia, maumivu unayonipa mama ni makali sijui tu aliongea akatoka nje na mwanae usiku ivo ivo wakaenda kukaa balazani, waliludi nikapewa mtoto nimnyonyeshe, nilimnyonyesha nikampa baba ake walicheza wenyewe mpaka mtoto akasinzia...
Tuliingia kulala kibishi kika mtu na stress zake, kulikucha Rameck akanijulisha, Re baba amefika, nilisahau kukujulisha kasafiri na gari za usiku, tayari yuko mbeya, naenda kumpokea nimeshapika, letcia(mdada wa kazi)atakusaidia kazi zilizosalia, nguo za milard ( mtoto wetu) nimeshafua, aliongea hivyo hata hakusubili jibu akaondoka...
Niliamka nikajiandaa nikaenda kusaidiana na let kazi,hazikuwa nyingi badae nikaja kumuogesha mwanangu, nikamvisha nguo na mimi nikaoga tukaelekea sebureni, ile tunafika tu, na Rameck na Baba wakawa wamefika, nilimmiss sana Baba angu nilifurahi mno kumuona alishangaa kuniona nimekonda akahisi huenda kwasababu nanyonyesha...
Siku hii tulishinda wote mpaka jioni na Rameck hakwenda kazini, usiku nilijua yatatokea yajana nikawa na hofu kweli, Re kuwa na amani, leo sikugusi mama anaona umekosa amani kabisa, lala mke wangu, kwa sasa angalau uchupa umepungua, japo ukinipa kwakweli siwezi kukataa unautamu wako tu haukinai...
Sikujibu nilijifanya tu nimemuelewa, ila nilikuja kupitiwa usingizi ata sikujua ni saa ngap, kulikucha asubuhi, tuliendelea na pilika pilika, Baba alitoka na mkwe wake, kumbe mzee alishagundua kuna tatizo akamkaba uko mwanaume mwenzie, ikabidi Rameck, aseme kila kitu, Baba hakumpa jibu akaomba pia aongee na mimi, kisha atatuita wote tuongee kwa pamoja...
Waliludi, nyumbani, mzee akaomba kuongea na mimi, mnilimwachia baba ake mtoto, tukaenda kukaz chumba cha kikao umo umo ndani,
Baba: Rehema binti yangu, naomba uniambie nini shida mbona sioni nuru usoni kwako, lakini pia hata kwenye ndoa yako?
Baba mimi niko sawa tu, hatuna shida yeyote,
"Rehema nakujua vizuli sana binti yangu,naomba usinifiche,mwenzio nimemuuliza na amekuwa wazi kwangu hivyo nahitaji kujua kwa upande wako, sijui kama unatambua huo ukimya, unakutesa wewe mwenyewe mnajiangamiza wenyewe..
" Maisha gani haya mnaishi mnamtoto atakuja kujifunza ninj kwenu, mnatengeneza mazingira gani, unataka uishi maisha haya mpaka lini,kama unataka furaha kubali kuzungumza, bado unanafasi ya kuikomboa ndoa yako , bado unanafasi yakuipambania furaha yako na ya mme wako...
Nilijikuta nalia, baba wewe hujui tu, Rameck sio baba, sijui nitaishije baba mtu hataki nitoke nje, hataki hata nimiliki simu baba nitaishije mimi? Umu mimi nikama mfugwa tu,hata nikisema niongee nae hawezi kukubali,nilishamuomba lakini alikataa anahisi mimi nitatolika sijui ata mawazo yake yakoje...
Nikushauli kitu binti yangu, nilichokibaini, mmeo anakupenda sana, na kinachomsumbua ni wivu na kutokujiamini , hujamtengenezea mazingila ya kujiamini, kumuonesha kuwa yeye ni kila kitu kwako, yeye pekee ndie unaempenda...
Mfanye asiwe na mashaka na upendo wako kwake, hili ndo linalomtatiza anachoamini yeye, humpendi, yeye ndie anakupenda, hivyo endapo atakuachia basi utaenda kwa unaempenda, sasa baba mimi mbona sina ata hayo mawazo, ni yeye tu kutokujiamini kwake mimi saivi ata namchukia tu...
Hapana mwanangu, upendo unaweza kumbadilisha mtu yeyote hapa duniani, mmh baba sio Rameck yani heeee π, " binti yangu mimi nilikuwa zaidi ya huyo Rameck lakini nilibadilishwa na upendo wa mama ako, huenda angekuwa hai ungejifunza kitu, fata ushauli wangu, amani ni kitu muhimu sana kwa binadamu, muheshimu, na jitahidi kumuonesha upendo, mfanye ajione yeye ni bora kuliko wanaume wote hapa dunia...
Nitaongea na mamdogo wako atakuja kukupa darasa kidogo ujue wapi pakuanzia, ninauhakika mmeo kwa mazingila uliyomtengenezea, hawezi kukuluhusu kwenda popote, mpaka atakapojihakikishia yeye ndie peke yake unaempenda, hakuna wakushika nafasi yake, sijui kama umenielewa binti yangu,tulielewana na baba, akaomba pia kuongea private na Rameck...
Niliwapisha wakaongea badae tukaitwa wote, lakini nilikuta kama Rameck katoka kulia macho yalikuwa yanaonekana kabisa yametoa machozi....
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*MJEDA NA BIKRA YANGU
*_____________________________
*SEHEMU YA 15 na 16
Nilikaa Baba aliongea nafikiri kila mtu nimeongea nae, na wote, mmekubali kila mmoja anampenda mwenzie, Rameck alishtuka akanitizama, akaona haitoshi akaamua kuuliza, Baba samahi, naomba tu kusikia mwenyewe kutoka kwa Re, kwasababu hajawai kuniambia ata kwa bahati mbaya, kama ananipenda mimi hajawahi...
Niliona aibu yani niseme hivyo mbele ya baba kweli mmmh, nilishika simu nikaona bola nimtumie sms, Rameck mme wangu jamani, ndio mbele ya baba kweli jamani, naomba basi nikakwambie chumbani au popote ata mbele za watu nitasema, ila namuonea aibu baba, kuludia ludia hilo neno mbele yake lakini haimaanishi sikupendi mme wangu, ila kama nikisema mbele ya baba ndo utajisikia vizuli niambie nitajikaza tu niseme kwa sababu ndo ukweli nakupenda...
Rehema mimi naongea wewe unachezea simu? Kwahio hapa naongea pumba si ndio? Nilishangaa baba kawaka, muda huk tayari sms iliingia kwa Rameck, ila alivyoona moto umewaka kwangu, akaona bola ajisalimishe, ata hakufungua kabisa...
Hapana baba sio hivyo,baba alitaka kuniwasha kibao, nikaona nilopoke halaka sana, Baba nilikuwa namtumia mme wangu sms, baba nilikuwa naona aibu kusema mbele yako, nikamuomba nikasemee chumbani, " kwahio kusema unampenda mwenzio mbele yangu ni aibu, lakini kulala nae chumba kimoja nipo hio hukuona aibu,naomba usitupotezee muda Rehema kama humpendi mmeo naomba uweke wazi hapa hapa, ili mwenzio ajue mapema...
Rameck akadakia baba hapana sitaki tena kujua kama ananipenda, baba siko tayali kumuacha, ata kama atasema hanipendi baba siwezi ni bola nibaki nisijue chochote, tafadhali baba, niliona hapa bola niseme tu, niliinuka kabisa, Rameck nakupenda, sijaanza kukupenda leo wala jana, ni vile tu matendo yako yananikwaza nashindwa kukwambia najikuta nakasilika tu...
Rameck hakuamini alinitizama mpaka nikaona aibu nikashusha macho, baba ikabidi aingilie kumtoa kwenye wenge Rameck,nadhani umesikia kijana wangu sijamlazimisha nimempa uhuru, kila mmoja nimemulewa naomba sasa kila mtu atekeleze wajibu wake...
Rameck aliongea lakini baba, mimi naogopa baba Re anaweza kunitoloka tena baba nitafanyaje mimi nampenda mke wangu,aliongea huku machozi yakisogea kutoka, baba alimtuliza, Rameck kijana wangu jiamini, mpe nafasi, mle uhuru, mimi baba yenu nipo amini hakuna kitakachohalibika...
Rameck alikubali kishingo upande tu, tulimaliza kikao tukaingia kulala, nilimuona Rameck, kakosa amani kabisa,aliingia nakukaa kwenye sofa anafuta tu machozi kimya kimya,nilimsogelea,akakwepesha uso nisimuone,niliamua kumkalia mapajani, muda huo nilikuwa na kanga tu ndani sihavaa chochote...
Alishtuka akasahau kama ananificha nisimuone akiwa analia,akawa amenitizama, niliamua kumfuta machozi,huku namunong' oneza sikioni, Rameck mme wangu, nakupenda mno, nilianza kukupenda siku tatu kabla ya kunibaka, nilikuona chuo, ulikuja ila nikupata hasila na wewe, siku ya graduation kama unakumbuka...
Asubuhi nilikuona wewe na madamu raya, ulikuwa unamjibu shit kisa umemtumia ukasema, anajilahisisha, yeye sio type yako, wewe unamtu wako, ukweli nilijikuta tu nachukia na wivu ukanishika, sikujionesha ndio maana tulivyokutana, nilikuongelea maneno nachafu nikwasababu nilikuwa na hasila na wewe...
Nilihisi nikifanya hivyo nitapata amani, moyo uliniuma nakuona kama crush wangu malay*, niliumia niliongea huku machozi yakimiminika, Re mke wangu, nisamee siamini Re kumbe ooh God! Nisamee mke wangu, sikujua kama nimeujeluhi moyo wako, naomba nijieze sio kwamba mimi ni malay* , Rameck mme wangu, naomba usiongee tu, nitaumia naomba tuachane nayaliyopita...
Nipe uhuru siwezi kwenda popote, ni wewe tu unanishuku, kabla sijaendelea kitu kilikuwa kinachoma, wakati namnong'oneza sikioni nilikuwa naamsha vitu bila kujua,mme wangu alidaka lipis zangu, akaanza na kichwaji chake pendwa...
Shoo ya msamaa waga tamu jamani π, nyie haaa nilihisi dunuani niko peke yangu na mme wangu, alijua kunitia,nilihisi sasa nitamwaga mpaka dhambi, nilitoa mpaka siri zangu, nikaona baba usinitanie acha nijalibu na mimi game, awee kumbe kiuni fen bwana ninacho, nilijihudumua kwa mbembe huku namchezea, tulikomia make sio kwa mabao hayo...
Aisee kwa mala nyingine tabasamu langu laukweli lililudi, Re mke wangu hili tabasamu mala ya mwishk kuliona ukiwa chuo, apa nimepata amani mno, ruksa kutoka ila hakikisha saa 12 uko ndani, lakini pia kaa mbali na jinsia yangu, ninawivu mbaya sana sitoweza kuvumilia kabisa kuona uko unafurahia na mwanaume mwingine...
Nitakununulia simu kubwa, lakini hakikisha hainifanyi nikakuonea wivu,hainifanyi nikakasilika mmke wangu, mimi kauli ya simu ya mke haiguswi siwezi nitapasuka mke wangu, au hata kukuletea kisrani tu bule...
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
MJEDA NA BIKRA YANGU
*_____________________________
*SEHEMU YA 17 na 18
nimekuelewa mme wangu,lakini vipi kuhusu kazi natamani kujitafutia, Re kuhusu kazi hapana,kwa sasa naomba ufungue ofc yako lakini sio kuajiliwa, tafuta location, andaa bajeti,nipambane nikupe mke wangu, nyie mambo yalianza kunoga mwenzenu , nilifulahi mwenyewe nikalala na amani kabisa,kulikucha nikawa nimechangamka nikapewa cha asubuhi cha kushitukiza sikuleta ubishi nikatoa ushilikiano wote mpaka baby nuru ikalejea kwa kasi ya 5g π...
Baba alipata amaninkutuona hivyo, upande wa mamdogo, alikubali kuja ila aliomba aje na binti yake, nilimuomba mme wangu, akakubali, tuliwatumia nauli wakaja,baba aliniomba mtu yeyote nisimluhusu akaingia chumbani kwangu...
Zaidi yangu na mme wangu, alinisisitiza sana,nilielewa,na kujua lazima anamaana yake,nilishika hilo neno akilini na moyoni,mamdogo na mdogo wangu ruth, walifika, tulienda kuwapokea mimi na mme wangu, tuliwapokea vizuli kwa furaha sana...
Baada ya siku tatu nilianza mafunzo ya ndoa lakini masomo yake hayakuwa mazuli, niliwahi sikia kwa watu haya yalikuwa nikiunyume nilianza kupata mashaka sana, na ruth alikuwa bize na shemeji yake mni mimi niliwekwa bize na masomo ya ndoa, nilijua moja kwa moja hapa kuna tatizo, nilimpigia wifi yangu, nikamueleza, akaniambia sio wema niwaondoe mapema, nilishindwa kuwafukuza, siku moja Rameck, alikuja akiwa na hasila sana...
Sio kawaida yake, Re mke wangu, naomba kesho waandae mamdogo na shemeji waondoke hapa nyumbani kwa usalama wa ndoa yetu tafadhali sana,sikujua ni nini, ila nilishindwa kuwaambia, kesho yake mme kaamka kanipa nauli, akaondoka wakati ametoka nilitoka nikafunga chumba changu na kika siku nilikuwa nabadiki kufuli kwa sababu nilihisi watakuwa wanachongesha funguo...
Na kweli kumbe leo walichongesha, nilishangaa mchana , mamdogo ananiuliza hivi humo ndani mwako, umeweka dhahabu hadi mimi mama yako hutaki niingie na natakiwa kukagua chumba chako kuona kama unatandika vizuli, natakiwa kukuelekeza namna yakutandika kitanda aina tifauti tofauti kulinganya na chumba chako na ukubwa wa kitanda...
Mamadogo mme wangu haruhusu mtu yeyote kuingia chumbani kwetu kwao ni mwiko, wewe nae kama mtoto saivi si hayupo, hili nikwafaida yako kumbuka, mamdogo nakuelewa, lakini kwa hili hapana mamdogo, sasa kama hutaki mimi naenda kwangu siwezi kufundisha mtu asiejielewa, hafundishiki...
Nilinyamaza kimya tukashinda hatuongeleshani jioni nikaingia kupika wakanikatalia,mwanangu acha ruth akusaidie,hapana mama acha tu nipike leo apumzike, "hapana wewe ninamaongezi nawewe, ilibidi tu nikubali, binti yangu nataka nikusaidie ili udumu kwenye ndoa yako, leo chukua mbegu za mme wako nije nikutengenezee kitu binti yangu, yani mmeo atakuganda hutoamini...
Huku mdogo wangu aliingia kupika tena chakula haswaaa,mamdogo mimi sihitaji kutumia dawa, kama ataniacha ye aniache tu ila siwezi mamdogo,we binti yangu unaishije mpaka baba ako kaomba nije kukufunda anaelewa, haya maisha bila hivyo huwezi kudumu kwenye ndoa hata upambane vipi..
Kwa mwendelezo zaidi follow hii page hapa chini tuko mbele zaidi
*MJEDA NA BIKRA YANGU
*_____________________________
*SEHEMU YA 19 na 20
Basi kama kesho, nitakuandalia dawa utamtilia kwenye chakula, itakisaidia kama hii imekushinda,niliamua kuitikia tu jioni Rameck aliludi, hakunisemesha aliingia akaoga akabadili nguo, niliingia akanisemeaha,Re najua hujapika wewe wala sio let, sasa naomba jiandae wewe,let,mtoto na mimi tunatoka ni amri sio ombi...
Niliwaza tunaagaje lakini nikakaza roho, tulitoka tukasema kuna mahali tutalidi, Rameck aliingia akarock mvumba mwenyewe na kuconect na simu na saa, hakuishia hapoalihakikisha kabakiza chumba jiko, na sebure, wao hawakujua...
Walihisi anatafuta kitu, tulienda kula tykiwa huko alam ya simu iliita kuashilia hatali, kwenye simu na saa, tuliondoka kwani hatukwenda mbali na nyumbani, tulikuwa mitaa hio hio na tayali Rameck alikuwa ameshaweka oda, tulikuta oda iko tayali,tulikula nakuondoka, tulifika nakuwafuma wanahangaika kufungua chumbani kwetu, hatukukngea nao waliondoka wenyewe, tuliamua kuwapa nauli usiku huo huo, asubuhi tukawapeleka stend...
Kumbe mamdogo alitaka nizalie nyumbani kama wanae, aliumia mimi kuolewa, japo bila shuhuli,lakini iliwauma ndio maaana akaja na ruth, ili waniondoe kwenye ndoa, akae ruth, na walishamjaza maneno yauongo, kumtega akiwa mtupu, kumbe mwenzao anaulinzj wa camera nyumba nzima, kila kitu wanachoongea,nakupanga na wanavyofanya yani kila kitu...
Mwanangu alifunga mwaka, tuliamua kumfanyia bithday, ritha na neema walikuja pia, tulishelekea, pamoja ila aliyeondoka ni neema, ritha alibaki akidai anahitaji kubaki amenikumbuka, sikuwa na hiyana nikakausha...
Lakini sikuelewa ritha alikuwa na tabia za kuvaa nguo za ajabunkama ruthi, nilijalibu kuongea nae lakini hakujilekebisha, baada ya miezi miwili aliondoka maisha yaliendelea, nilianza biashara ya kuuza lasta,urembo,na ususi miaka ilizidi kwenda...
Mwanangu alifikisha miaka saba, lakini mimi sikuwa nimeshika ujauzito, ndoa ilianza kuwaka moto, Rameck alitamani sana, kupata mtoto mwingine, alianza kubadilika sana, nilifanya vipimo sikuwa natatizo lolote,niliwaza sana nikiwa kwenye msongo wa mawazo baba alipata ajali akiwa anakuja kuniona akafariki, sikupata hata nafasi ya kumuuguza baba angu, lilikuwa ni pigo kubwa sana kwangu,ilibidi tuende kumpumzisha baba angu, Rameck aliniacha nyumbani, baada ya wiki mbili nilikaa nyumbani kama miezi miwili kutuliza akili, tulijadili na kaka tukaamua kuweka mpangaji ili atuangalizie nyumba yetu, nilifanya kila kitu nikaweka sawa kisha nikaludi kwangu, Rameck alikuja kutupokea akiwa na ritha...
Nilifika nikakuta kila kitu kiko sawa,tulienjoy, neema akanipigia nakunishauli nianze maombi,kweli nilifanyia kazi wazo lake, nilianza kuomba na kuhudhulia kanisani,nilifanya kwa bidii kwani hata Rameck, alianza kuonyesha mabadiliko, sikuwa namuelewa , nikiuliza naambiwa bize, lakini ramenk mme wangu hata kama ni ubize, ndio kwa kiasi kikubwa hivi? Unasafili miezi tena sehemu isiyojulikana!...
Re mke wangu, ebu punguza maneno mke wangu,yani natoka huko mimechoshwa na kelele za risasi na bunduki, na wewe nae uje kunipigia kelele hivi sasa mimi nitakuwa naenda wapi kutuliza akili yangu? Kwa sababu kazini moto, ukija nyumbanj ndo kabisa kuni zinachochewa tena za petrol...
Basi yaishe mme wangu,niliona niepushe ugomvi tu yaishe, ritha alikuwa na mtoto wa kiume kama wa mwaka mmoja hivi,nilimuuliza ritha baba wa mtoto akasema kaenda nje kimasomo, siku moja niliwahi kutoka kwenye maombi, nikaona nipite kwa ritha nimpitishie mwanae zawadi huwa nachukua za wote kijana wangu na wake, nafika mlango uko wazi, hakuwa na geti kuingia ndani nilichokikuta π
KWETU morogoro
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi







Maoni