Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
05 Feb 2026
111 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MIWELI ILIOPITA AKIUZA MAJI KWA STREET Episode 2
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
She,, she didn't make it,, Donald confessed to me,
Donald, nakuomba kwa jina la yesu, niambie Ninani unaongelea, natunama sio binti yetu Pamela, nilikua na wasiwasi sana situlii, nazunguka huku na huku,
Nikaskiza anijibu bt simu ilisalia kunya, Donald are you there nikama alikua anaangalia tu screen,
Akajibu yes yes ni network ndio mbaya,
Is my daughter still alive?? Akasitasita kujibu,
Then badae akasema she didn't meke it, hapo ndipo nilimwaga machizi kama maji,
Nikamuuliza tafadhali niambie ni hosivitali ipi yenye uko? Ninakuja sasa hivi,
Akajibu no no no, usinisumbue kukuja nasha amurisha wamzike,
Donald, mbona? Siungeniruhusu nione mtoto wangu hata kwa mara yamwisho,,
My love, nilifanya kwa ajili Yako na kwajili yetu, sikutaka wewe kuumia zaidi ya vile umeumia sasa hivi,,
FLASHBACK ENDS
*******
BACK TO PRESENT
Ikiwa mtoto wako Pamela alikufa vile bwanaka amesema ina maana yule ulikutana naye ni ghost, Angela akasema,
Nimechanganyikiwa sana, sababu mume wangu nikianza kuongelea Pamela hua hataki na anakaa kujishuku, na kunikemea akisema mungu hupeana tena anachukua,,
Bt kile nataka kujua ni ikiwa mwanangu yuko hai au amekufa,
Angela akasema kuna mahali nitakupeleka na utajua kilakitu ambacho mumewako alikuficha,
Niko teyari Angela kwenda popote au kufanya chochote kwajili ya mwanangu,
ITAENDELEA.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MIWELI ILIOPITA AKIUZA MAJI KWA STREET Episode 2
She,, she didn't make it,, Donald confessed to me,
Donald, nakuomba kwa jina la yesu, niambie Ninani unaongelea, natunama sio binti yetu Pamela, nilikua na wasiwasi sana situlii, nazunguka huku na huku,
Nikaskiza anijibu bt simu ilisalia kunya, Donald are you there nikama alikua anaangalia tu screen,
Akajibu yes yes ni network ndio mbaya,
Is my daughter still alive?? Akasitasita kujibu,
Then badae akasema she didn't meke it, hapo ndipo nilimwaga machizi kama maji,
Nikamuuliza tafadhali niambie ni hosivitali ipi yenye uko? Ninakuja sasa hivi,
Akajibu no no no, usinisumbue kukuja nasha amurisha wamzike,
Donald, mbona? Siungeniruhusu nione mtoto wangu hata...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilikutana-na-binti-yangu-aliefariki-miaka-miweli-iliopita-akiuza-maji-kwa-street-episode-2