Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
26 Mar 2026
3 views
VYOTE NDANI GONGA94
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa.
Diana Mnally
Ritticia Nabbosa
Precious Christopher
Wincate Kaari
Aisha Djafar
Edna Lema mpaka sasa anatimu inayofunga sana licha ya kuwa nafasi ya pili lakini imeshinda mechi zote ngumu ambazo huwa wanapoteza misimu ya nyuma amesalia Simba tu.
Edna Lema ukiongea nae anakwambia msimu huu ana timu inayoweza kumpa ubingwa hilo ana uhakika nalo kwa kuwa amesha mchallenge Jkt Queens ambaye msimu pita alikuwa kikwazo kuliko hata Simba.
Ngao ya Jamii
Samia Cup
Uzuri tayari ameonja taji la Samia Cup aliloshinda mbele ya Jkt Queens na Simba Queens.
*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 *6-10* *__________________________________________* *SEHEMU YA SITA* Frank alikuwa na wasiwasi usio wa kawaida
, kWa upande wangu nilikuwa na maumivu ambayo Sijui ata niwaelezee vipi, Yaani maumivu ambayo kimoyomoyo nilikuwa nikiji...
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa.
Diana Mnally
Ritticia Nabbosa
Precious Christopher
Wincate Kaari
Aisha Djafar
Edna Lema mpaka sasa anatimu inayofunga sana licha ya kuwa nafasi ya pili lakini imeshinda mechi zote ngumu ambazo huwa wanapoteza misimu ya nyuma amesalia Simba tu.
Edna Lema ukiongea nae anakwambia msimu huu ana timu inayoweza kumpa ubingwa hilo ana uhakika nalo kwa kuwa amesha mchallenge Jkt Queens ambaye msimu pita alikuwa kikwazo kuliko hata Simba.
Ngao ya Jamii
Samia Cup
Uzuri tayari ameonja taji la Samia Cup aliloshinda mbele ya Jkt...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kinachomtisha-mgosi-ni-kuwa-edna-lema-anawachezaji-walioonekana-wa-kawaida-simba
Maoni