Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
27 Jan 2026
61 views
VYOTE NDANI GONGA94
Kitu ambacho nimekipenda kwa Simba ni kuleta huduma ya Anicet Oura hapa NBC PL kwanini?
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kwasababu Anicet Oura ni kipaji bora cha soka [Potential Player] ambaye Alikuwa anahitaji Simba, ana ufanisi upi?
1: Ni mchezaji ambaye amejariwa ufundi sana kwenye miguu yake miwili anapiga yote "Two Footed" na uwezo wake kwa kucheza maeneo finyu kwa usahihi sana kutokana na dribbling zake ambazo zinamfanya anakabiliana na mpinzani kwa usahihi
2: Mchezaji ambaye amelelewa kwenye makuzi ya soka hapa Afrika, kapita pale ASEC Mimosas akiwa yupo mdogo sana na mpaka sasa amekuwa mkubwa na mwenye ukomavu wa hali ya juu sana! Na kitu ambacho nakipenda zaidi kwake anaweza kufunga [Score Goals]
Ndio maana Steve Barker ametaka Kufanya nae Kazi, na katika uelewa na Football inatakiwa ujue huyu mchezaji unayemleta anaendana na kocha fulani.. kocha " X " na atakavyomtumia? Jibu kwa Anicet Oura ni Yes anatambulika na Anajulikana na Mwalimuπͺ
Unaweza kujiuliza mimi Namchambua Anicet Oura hivi nimemuangalia wapi? Nimemuangalia game ya ASEC Mimosas iliyomalizika kwa ASEC Mimosas kushinda goli 3 kwa moja dhidi ya Simba akiwemo Karim Konate kama namba 9, Aziz Ki kama namba 10 na Anicet kama winga wa kushoto.. hapo umepata kuona! Simba wamepata Turufu nzuri sana kipindi hichiπ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Kitu ambacho nimekipenda kwa Simba ni kuleta huduma ya Anicet Oura hapa NBC PL kwanini?
Kwasababu Anicet Oura ni kipaji bora cha soka [Potential Player] ambaye Alikuwa anahitaji Simba, ana ufanisi upi?
1: Ni mchezaji ambaye amejariwa ufundi sana kwenye miguu yake miwili anapiga yote "Two Footed" na uwezo wake kwa kucheza maeneo finyu kwa usahihi sana kutokana na dribbling zake ambazo zinamfanya anakabiliana na mpinzani kwa usahihi
2: Mchezaji ambaye amelelewa kwenye makuzi ya soka hapa Afrika, kapita pale ASEC Mimosas akiwa yupo mdogo sana na mpaka sasa amekuwa mkubwa na mwenye ukomavu wa hali ya juu sana! Na kitu ambacho nakipenda zaidi kwake anaweza kufunga [Score Goals]
Ndio maana Steve Barker ametaka Kufanya nae Kazi, na...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kitu-ambacho-nimekipenda-kwa-simba-ni-kuleta-huduma-ya-anicet-oura-hapa-nbc-pl-kwanini