Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

LETICIA Sehemu ya 19 na 20
Gonga94 · Stories

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

💍💍💍💍💍💍

Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu lazima aniongelesha na mimi namtukana lakini hakomi uyu kaka na nilikuwa sitaki kabisa kumsikia nilikuwa najitahidi kukaa mbali nae acheni tu ,basi maisha yakasonga umu ndani kazi zilikuwa nyingi jamani na uyu madam ajikusi cha chochote, ata kutandika tu kitanda anacholalia napo ni tabu jamani daah . Sema ndio hivyo si nilikuwa nimekuja kutafuta ela nikawa napambana hivyo hivyo tu . Siku moja usiku nilikuwa nimelala ,ila nikaamka kunywa maji .nikatoka adi nje ya chumba changu wakati natembea nilipokalibia chumba cha madam nikawa nasikia sauti za mahaba ,mmh nikaguna nikawa najiuliza madam prisca mume wake karudi au na kama karudi karudi saa ngap jamani ,mmmh nikapita zangu nikaenda jikoni nikanywa maji kisha nikarudi chumbani apo bado nasikia kelele na uyu madamu hapana anapiga kelele kama anachijwa kumbe anakamiwa uko daah ,nikafika chumbani nikajilalia zangu mimi ,

Na asubuhi nikaamka nikaendelea na shughuri zangu ,nikawa nasubir kwan hamu kumuona uyu mume wa madam, lakini wapi mpaka saa 6 sioni mtu namuona tu madam prisca anazunguka zunguka ,kuna mda nikashangaa madam ananiita nikaenda akanambia vip mbona leo chumbani kwangu ujasafisha kuna shida gani. Nikasema samahani nilidhani shemeji karudi.madamu akaniangalia akasema nani alikwambia ebu toka apa kafanye usafi chumbani kwangu.
Mmmh nikashangaa inamaana umu ndani amna mtu jamani. Mimi nikajua mumewe karudi kumbe bado khaa sasa alikuwa na nani. Nikawaza au aliingiza mwanaume jana ila moyo ukagoma maana usiku anapoingia kulala nilimuona na asubuhi mimi ndio nimefungua milango ,nilishangaa mno naona naye aliniona kuwa nimeshangaa ,nilipotoka kuchukua vifaa akanifwata akanmbia unakumbuka nilikwambiaje ulipokuja apa ili uishi mda mrefu , nikasema ulisema hutaki umbeya ,akasema aaah kumbe unakumbuka bas zingatia ilo.kisha akaondoka, mmmh nikajua tu dada anamcheat mume wake uyu , ila nikasema ngoja niachane na maisha ya watu.

Basi nikaingia chumbani nikadeki nilikuta chumba kipo hovyo hovyo ,nikapanga vizuri kisha nikatoka mule chumbani ,basi nikawa nasikia kila siku madam prisca yupo na mwanaume ila nikawa sielewi ni nani,maana asubuhi nawahi kuamka sioni mtu akitoka wala nini ,nikawa nashangaa anakuja saa ngap na anaondoka saa ngap adi nikawa nawaza au najini mahaba uyu dada ,maana na akiwa anafanywa anapiga makelele hatari. Huu ndio mwisho wa season 1 season 2 unapata hapa kwangu no ya malipo 0750411324 subira sefu njoo na muamala wako uhudumiwe hatupoi hatuboi

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LETICIA Sehemu ya 19 na 20


💍💍💍💍💍💍

Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu lazima aniongelesha na mimi namtukana lakini hakomi uyu kaka na nilikuwa sitaki kabisa kumsikia nilikuwa najitahidi kukaa mbali nae acheni tu ,basi maisha yakasonga umu ndani kazi zilikuwa nyingi jamani na uyu madam ajikusi cha chochote, ata kutandika tu kitanda anacholalia napo ni tabu jamani daah . Sema ndio hivyo si nilikuwa nimekuja kutafuta ela nikawa napambana hivyo hivyo tu . Siku moja usiku nilikuwa nimelala ,ila nikaamka kunywa maji...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/leticia-sehemu-ya-19-na-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi leticia-sehemu-ya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

363
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

333
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

316
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

173
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

63
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

36
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

29
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

29
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

28
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

27

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest