BILLIONS OF LOVE๐๐ SEHEMU YA "14_15"๐
( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea)
nikalala wee kukakucha mapema sanaaa
Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu
Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa kusubiri miujiza ya yule jamaa wa gari aje anunue vyote kama vilivyo ๐๐๐
Sasa ile nimekaa tu nashangaa shangaa
Mara mbele yangu naona kitu ambacho siamin macho yangu
โHabari yako dada ?
Ni mkaka very handsome , yaan pure chocolate colour , tall body nzuri ya kiume ๐sauti nzitoooo
Ajabu sana sana amebeba chupa tatu kubwaa na ndoo ndogo yenye vikombe ndani , bila shaka anauza chai huyu ๐ฅน
Lakin nikapata kumbukumbua hii sauti ni kama โฆ..๐ค lkn hapana nitakuwa nimechanganyikiwa tu
โ Salama karibu , nilimkaribisha
โAsante sana dada , naomba unisaidie kitu kama hutojali
โSawa kitu gani ? Nikamuuliza ๐๐ mkaka handsome namba hii na machupa ya chai wapi na wapi jmn
Naomba niwe nauzia hapa chai yangu kwasababu nimeona wewe hauna chai ,basi itakuwa combo nzuri sana mm nauza chai wewe unauza vitafunwa โฆ.
Nilimtizama kwanza yule kijana ana vimacho falani hivi oya ๐ hatarious ๐๐
Msafi ananukia manukato safi uso wa kipolee ulijaa tabasam la bila kuonesha meno yake aaah nimebarikiwa ๐๐๐
Hata ungekuwa ni wewe ungeanzaje kumkatalia mkaka kama huyu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ unakataaje kufanya nae kazi sasa kwa mafano ๐๐๐๐
Sawa karibu sana , lkn kuna kodi hapa nalipia kwa mwenye hij fren si unaona nineweka mbele ya frem yake
โDont worry , i s just a little thing โฆ. nitalipia pia alisema
Sasa mimi nikabakia nashangaa ๐๐ hiki kingereza na wauza chai wapi na wapi
Anyway mi mwenyewe ni degree holder lkn nauza vitafunwa ๐๐๐
โ Okay welcome nikamwambia , nikamkaribisha vzr sana pale na kiti nikampatia akakaa
Bas bwana nikamsaidia kupanga chupa zake juu ya meza na vikombeโฆโฆ hahahha guys usimdharau usiyemjua hata maramoja hivi mnanielewa vzr nyie ???
Alipokaa nilimuona akianza kusinzia , mara akashtuka na kuongiza mkono mfuko akatoa dawa
โUnaumwa ? Nilimuuliza
โYeah โฆ..but siyo sana alijibu
โBut ungepumzika nyumbani tu mpaka uwe sawa kabisa si vzr kutenbea juani ukiwa mgonjwa ๐ฅน
Nilimhurumia sana kwa namna moja
โMaisha dada angu , nikilala home ujue ndo ukoo wangu mzima umelala njaa alisema ๐ฅน
Dan ile kauli iliniumiza sana ukichek hata mm ni kama yeye tu familia inanitegemea
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Ngojeni nilale kwanza nikiamka nakuja na muendelezo
Full 1000
Whatsap 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni