Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

LETICIA Sehemu ya 17 na 18
Gonga94 Β· Stories

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy usipanic nataka tuongee. Nikasema polela we mshenzi umefwata nini umu naomba uondoke sitaki kukuona we mwanaume, polela akasema let ebu punguza hasira ujui ni kiasi gani nimefirahi kukuona hapa jamani nimefurahi mno. Nikasema kama ulikuwa unashida ya kuniona si ungekuja kwetu kuniona ebu nitokee mimi apa , polela akasema amna leti mambo hayapo ulivyokuwa unawaza nilikuwa naogopa ndio maana sijaja kule nyumbani lakini nilikumiss na kila siku nilikuwa nakuwaza naomba tu nielewe . Nikasema bwana naomba utoke chumbani kwangu uoga gani miaka 4 kwaiyo ulikuwa na mpango gani miim nisingekuja uku ungefanyaje . Akabaki kimya ananiangalia nikasema we mshenzi wa tabia naomba utoke umu kabda sijapiga kelele usinichefue polela, akasema tuongee ,nikasema wewe ebu nikome .tena nikome achana na mimi bwana.polela nitapiga kelele akaona nipo serious akaondoka zake ,mjinga kweli uyu yaani ananifanya mm mjinga siku zote izo ata kunitafuta tafkiri alikuwa ajui niliposiku zote .

Basi alipoondoka sasa ndio nikashusha pumzi jamani uyu kaka alikuwa ashanichefua khaaah ety alinimiss jamani miaka yote iyo jamani ,kisa kaniona na anajishebedua,ety mtu alijua kaacha mtu mwenye mimba yake kijijini alafu mpaka leo yupo kimya jamani wala kututafuta ajue hali zetu hakuna yupo tu uku anafungua mageti ya watu ,mshahara sijui alikuwa anapeleka wapi ,basi nilikaa pale.nkawa nawaa saana nitaweza kukaa polela nyumba moja kama ndio hivyo kashaanza kunisumbua jamani uwiiih. Nilijiwazia mno nitaweza kukaa hapa kweli ,ila nikaona acha nipambane nikusanye ela kidogo ,nikipata kamtaji nirudi zangu kijijini nikalee mwanangu basi .


Basi nilijiwazia adi usiku sana ndio usingizi unanishika ata sikulala sana saa 11 madam prisca akaja kunigongea ,akanambia niamke nianze usafi yeye nyumbani kwake usafi unaanza saa 11 . Basi kweli nikajiamsha pale kitandani nikaenda kunawa uso ,kisha nikaanza kazi . Oyaa aka kanyumba kana kaz sio kidogo nyumba kubwa adi nikaona laki 2 ni ndogo πŸ™ŒπŸ€£πŸ™Œ.yaanj kuanzia saa 11 adi saa 1 ndio namaliza kufaya usafi wa ndani ,kisha nikaenda kuoga kwanz maana jasho weeh , nilipotoka kuoga ndio nikaenda jikoni kuandaa chai, na amadam akaja jikoni akanisaidia akawa ananipa maelekezo vitu wanavyokula asubuh, alinielekeza nikaelewa kisha nikaaanda chakula sebleni. Na polela na yule dereva wakaja ndani kunywa chai.ila nikaona polela ananiangalia mno yani na mimi nikajifanya simuoni maana alikuwa ananichefua,basi Walipomaliza kula mimi nikatoa vyombo nikapeleka jikoni. Mmmh wakati naviafisha nivioshesi akaja ndugu yenu uyu. polela akasema leti naomba niongee na wewe dakika nipe dakika ya kujielezea kweli, nikasema sina mda wa kusikiliza uo.ujinga wako polela we toka na uende getini kwako kila mtu afanye kazi zake staki kabisa uniharibie kibalua changu ujui nimekipaje toka we maraya mchafu .


πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LETICIA Sehemu ya 17 na 18


Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy usipanic nataka tuongee. Nikasema polela we mshenzi umefwata nini umu naomba uondoke sitaki kukuona we mwanaume, polela akasema let ebu punguza hasira ujui ni kiasi gani nimefirahi kukuona hapa jamani nimefurahi mno. Nikasema kama ulikuwa unashida ya kuniona si ungekuja kwetu kuniona ebu nitokee mimi apa , polela akasema amna leti mambo hayapo ulivyokuwa unawaza nilikuwa naogopa ndio maana sijaja kule nyumbani lakini nilikumiss na kila siku nilikuwa nakuwaza naomba...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/leticia-sehemu-ya-17-na-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending πŸ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi leticia-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

1.53K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

801
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO

266
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

198
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

140
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

65

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.95K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.64K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.89K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.54K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

3.03K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.82K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.68K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema β€œsasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema β€œwewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema β€œmimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende woteπŸ‘‡ Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU πŸ’š   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU πŸ’š Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sana❀😘nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwanguπŸ™β€ asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest