AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈
Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na ubishi leo kabisaa, na wakati sikutegemea hivi mm , basi kweli nikaenda sebelni nikamwambia dada amtengenezee chakula kilani mke wangu, akanmbia swa kaka, apo sasa watoto walikuwa wapo sebelni wananagalia tv na walikuwa swa kabisaa, ila ummy ndo aliniuliza mama anaumwa kani, nikamwambia ndio anaumwa , ila nyie angalieni tv , basi dada alivyomaliza kumuandalia chakula ,mimi nikaludi chunbani, nikamuweka vizur na nikamlisha mke wangu, japo hakula sana kabisa, akanmbia hajisiki kula tena nikasema sawa nikaacha kumpa, nikampa na dawa , nikamwambia pumzika sasa mke wangu ukiamka tutaongeaz akanmbia siwez kupumzika bila ya kujua kinachoeedelea millan mhkiukweli.sikutaka kumficha tena
Nilimuelezea tu ukweli kuwa siku ambyo mm nilienda nyumbani pemba ndo nikamkuta jalia ikiwa kaka ndo kqmuoa kwa niaba yangu , na nilimwambia jalia ni chaguo la familia na ndo mna yeye sijawahi kumpeleka nyumbani ,mana wazzi.wanamtambua jalia tu, na kwakua mm nampenda sana , na nilimgusia saula la matala na akaonesha kutokutoka ndoa za matala ndo mm nikafanya hivi, daah zena akalia sana sio yeye ata mm nililia , tulikumbatiana uku tunaliaa uku zena akaiomba nisimuache kabisaa, ahaa asa mi nna jeuli ya kumuacha zena, basi hii siku ilikuwa mbaya kwetu ni kulia tu ,na kuhaidiana mambo mengi sana nakumbuka zena alinambia sawa nimekubali ayo matala , siwez kuchana na wewe kabisaaa, nimejua sawa na tuendeleee tu , ila na mm niombee kibali kwa wazazi wako wanikubali kama mkwe wao na wawapokee wajuu wao, nikasema.sawa hakuna shida mke wangu, yani zena ndo aliamua hivyo
Nilikaaa nyumbani week nzima, kama nikitoka ni kwa mda mchache sana naenda job chapu naludi, yote ni kuw pamoja na mke wangu kukuekana sawa ,,apo jalia alinipigia kuniita ila nilimwambia aniache kwnza zena anaumwa, nimuangalia kwanza mana kapata mshtuko baada ya kujua kuwa nimeshaoa na yeye ni mke wa pili ,basi ndani ya iyo week niliona zena yupo sawa anaendelea vizuri, na wala hakunifanyia kislini kabisaa, yani mimi ndo nilikuwa najistukia na naona aibu mbele yake ,mana daah , ila zena alikuwa sawa tu, na siku iyo akanmbia ushakaaa sana kwangu nenda kwa mke mwengine, nikamuuliza kwani haunipendi now kwa nn unataka nikawe na mwanamke mwengine, mi nataka kuwa na wew ntakapojisikia kuwa nataka kuwa na jalia ntaenda tu ,zena akanmbia sawa ila matala yanataka usawa, naomba ujitahidi kwenye hilo mi nikakausha tu,
Apo nilikuwa namsaka amma ahmed kisenge ila nikawa simpati machimbo yake yote hakuwa anapatikna mpaka apo alipokuwa anaishi mama ahmed alihama hamuwezi amini , na simu nikimpigia akawa hapokei nikawa namtumia sms kuwa nikimbie hivyo hivyo ila nikikumata ntakuonesha, akawa ata hajibu, basi bwana apo zena ndo akawa amefahamu ukweli sasa, na kidogo ikaniweka huru, aseeee kufucha siri ni kitu kigumi sana ,yani kigumu mnooo, mda wote hauna amani, apa kido sasa nikawa huru, na nikaaanza sasa kufanya kama zamu ila mimi nampenda saa zena, ila niliona kabisa now zena hanifurahii sana ata nikienda kwake na mda mwingi sana anatumia na wanae ,japo tulikuw tunaongea ,ila nilishajua ananipotezea kidogo kidogo, ilikuwa inanaipain sana ila nafanyaje sasa, inabidi nitenge mda niende na kwa jalia mana nae ni mja mzito daah
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni