JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 13
Mwandishi:lissa mwalla
Sikuamin macho yangu, hiv n huyu kweli naemuona hapa mbele yangu? Yy alionesha kama ananifananisha mana alikua ananiangalia kwa makini sana, alionitendea yalinirudia akilini niliumia niliona kama nimeona mnyama mbele yangu na Si binadam tena, nilianza kundoka mana niliona kabisa hasira nilizokua nazo naweza fanya tukio la ajabu sana dunia ikanishanga, nilivokua naondoka reyhan alianza kunifata huku anasrma nakufananisha au n wewe? Etii simama basi wewe sio tayla was morogoro? Nilizidi umia sikugeuka akinikimbilia akanikuta akanishika mkono niligeuka na kibao cha nguvu kilimshukia kwenye uso wake, halafu nikasema usinishike shetani wewe, rey alijishika akasema sasa nimefanya nn unanipiga? Nikamsonya tu, nikaendelea kuondoka alinifata yn alikua kama ametumwa, akasema tayla mm nimekukosea nn? Nikasema umesahau? Umesahau nakuuliza? Unajifanya ulinisahau mm siwezi kukisahau wewe shetani mnyama ww, ulinitendea Yale ukaharibu utu wangu nikiwa bado mtoto mdogo miaka 13 na nakwambia hivi uliyonitenda mm yatakurudia tena na Ww utalia na kuhuzunika pale yatakapokukuta, sitaki kuongea na Ww wala sitaki kuona uo uso wako tena maishani mwanangu, nakuchukia kiasi kwamba niko tyr kwenda jehanam kwa kosa la kukuchukia ww .rey akasema tayla niko chini ya miguu yako najua nilikosea na nilikuja kwenye moro angalau nikuone lkn nilikuta mmehama, tayla nilikua mdogo pia mjinga sana sikufkiria kilr nilichofanya nakuomba sana unisamehe sana najutia sana sana silali usiku vizur sababu ya kile nilichokufanyia. Nikimtizama nikasema kamwe siwezi kukusamehe kamwe siwezi kuruhusu uongee ujinga wako mbele yangu niachr. Akasema au unataka nipige magoti hadharani? Alipiga magot akasema nakuomba sana nisamehe nilikukosea sana nisamehe, nikasema unaweza nirudishia heshima yangu na utu wangu niliopoteza siku ile? Kama unaweza rudisha siku nyuma ukafuta ulichonifanya sawa niko tyr kukusamehe lkn kama sivyo siwezi kukusamehe. Alinishika akiwa amepiga magot watu wanamshangaa mara akaja mdada mmoja amevaa hijab mweupe kama yy akasema rey nn unafanya hapo? Mme wangu mbn unajidhalilidha hivo? Rey alinyanyuka, nikajua ooh kumbr ameoa? mke wake akasema ni nani huyu msichana? Et ww ni nani? Nikasema muulize huyo shetani unaemuita mme wako mana yy ndio kanifata sio mm. Nilianza kuondoka zangu, mke wake akanishika akasema unaenda wapi? Njoo tuzungumze, nikasema sina cha kuzungumza na ww mm zungumza na huyo mmeo. Nikamsonya nikaendelea kwensa. Sijui nn kikitokea huko mm nikaona safari yangu ishaingia dosar bora nijirudie nyumbn. Nilirudi nikiwa na hasira snaa. Nilimkuta DA frida nikamsimulia akasema Mshenzi kabisa umemkomesha. Nikikaa siku nne kwa Da frida, keanu akarudi akaja nichukua kwa DA frida na kunipeleka kwake.tuliongea swala la yeye kwenda nyumbn akasema hataki kuchelewa anataka anioe haraka iwezekanavo, nilifurahi nankumshkuru sana Mungu.sikuwa na ile kwamna nampenda sana ile mpaka moyo unarukaruka dababu yake wala nilijua nitaendelea kumpenda ninavokua nae, Nililala siku moja kwake kisha nikarudi kwa DA frida nikaaga na kurudi Moro na barua yangu ya kishika uchumba. Nilimkabidhi shoga ake mama nar akaenda mpa mama ,mama akamjuaa baba wakaniita na kuniuliza, nikasema namfahamu ndio na niko tyr kuwa nae, baba akasema anafanya kazi gani na ana elimu gani? Nikasema n mwanajeshi na n daktar, baba akasema sawa tutalichakata tutamuita, nikasema wanataka kuja haraka sana, mama akasema mme wangu waje keshokutwa. Baba akasema hee mbona jirani sana ?mama akasema sasa tuchelewe nn mme wangu? Akihairidha je? Na mm nikasema kweli mama akihairidha itakuaje? Baba akasema haya sawa ila mshirikishen kaka ake, mwambieni kabisa. Mama akasema haina shida. Hapo hapo alipiga simu kaka akapokea akaambiwa, kaka akauliza mwanaume ni was wapi? Akaambiwa akasema kesho nitakuja basi ili iwe hiohio kesho kutwa. Mama akasema asante mwanangu, kaka akasema niambieni mnahitaji sh ngapi kwa ajili ya hio shughuli. Mama alisema sawa ngoja nipige hesabu. Akanituma nikamueite shoga ake,akampigia na mke wa bamkubwa fulan anaetoka na baba kijiji kimoja, akapigia pigia nduguze na marafiki na kukubaliana waje nyumbn muda huo. Baba akasema haya na mm naenda kwa rafiki zangu nikayajenge yangu. Aliondoka zake. Walikuja rafiki za mama walipanga bajet wakamtumia kaka msg kaka akasema atatoa pesa yote sababu yy ndio anataka kuniozesha. Mashamsham yakaanza na amandalizi wakati mm nishampa jibu Keanu. Siku waliopangiwa walikuja wakatoa mahari yote kisha wakaomba ndoa wakakubaliwa hatimae nikawa mchumba rasmi wa keanu. Waliondoka kurudi dar huku mm nikiwa nimrambiwa niende siku ya tatu yake kwa ajili ya kuandikisha ndoa. Siku ilifika nikaenda dar tukaenda kanisani sasa kuandikisha. Tulimkuta mchungaji was kina keanu, keanu akajieleza mchungaji akasema haiwesekani, hamuwezi kufunga ndoa hapa. Nilistuka keanu akasema kwa nn sasa? Mchungaji akasema sababu wewe ni...........
πππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni