Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Mar 2026
9 views
VYOTE NDANI GONGA94
USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Pamba Jiji football club walikua kwenye ubora mkubwa zaidi kwa dakika zote, kuna muda Simba SC Tanzania walikua hawana tofauti na Jkt Tanzania football club.
Mechi imechezeka kwa dakika tisini ambazo zinatakiwa katika mpira wa miguu. Wananchi mmepata jibu kuwa kupumzika sana sio kushinda michezo yako ya mbele.
Nawakumbusha hawa Pamba Jiji football club sio kwamba mechi wameitafunia Pipi Kifua hapana bali ndio uchezaji wao hata kwa mechi nne za nyuma na mechi hizo wamepata mabao safi. Kama mtabisha waulizeni Azam FC wanajua nini kilitokea kwenye ile sare yao.
FT' Pamba Jiji football club 1️⃣ -1️⃣ Simba sports club
Cosmasy William Choga
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga n...
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia b...
USISEME MTO MFUPI KABLA YA KUINGIA Nimeshuhudia mchezo wa kiwango kibwa kunako Ligi Kuu , hii imekua mechi bora kuzidi Derby iliyopigwa pale Zanzibar.
Pamba Jiji football club walikua kwenye ubora mkubwa zaidi kwa dakika zote, kuna muda Simba SC Tanzania walikua hawana tofauti na Jkt Tanzania football club.
Mechi imechezeka kwa dakika tisini ambazo zinatakiwa katika mpira wa miguu. Wananchi mmepata jibu kuwa kupumzika sana sio kushinda michezo yako ya mbele.
Nawakumbusha hawa Pamba Jiji football club sio kwamba mechi wameitafunia Pipi Kifua hapana bali ndio uchezaji wao hata kwa mechi nne za nyuma na mechi hizo wamepata mabao safi. Kama mtabisha waulizeni Azam FC wanajua nini kilitokea kwenye ile sare yao.
FT' Pamba Jiji football club 1️⃣ -1️⃣ Simba sports club
Cosmasy William Choga
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usiseme-mto-mfupi-kabla-ya-kuingia-nimeshuhudia-mchezo-wa-kiwango-kibwa-kunako-ligi-kuu-hii-imekua-m
Maoni