VYOTE NDANI GONGA94
José Mourinho baada ya mechi ya jana kati ya Benfica vs Napoli aliondoka uwanjani akiwa na jezi ya Scott McTominay.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mourinho aliulizwa swali kwamba ulibeba nini kwenye begi wakati unatoka uwanjani?
Mourinho 🗣️:
“Ilikuwa ni jezi ya McTominay. Mimi ndio nilimpa nafasi ya kucheza kwa mara ya kwanza (debut). Nilimuweka benchi Pogba kwa ajili yake hivyo aliona kitu pekee ambacho angenipa ni jezi yake”.
Mechi iliisha kwa Benfica kushinda mabao 2-0.
GOAT wa makocha kwenye ubora wake 😀
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jos-mourinho-baada-ya-mechi-ya-jana-kati-ya-benfica-vs-napoli-aliondoka-uwanjani-akiwa-na-jezi-ya-sc