VYOTE NDANI GONGA94
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia baada ya muda alijua amekosea na kwenda kumuomba msamaha King of Martial Art's Bruce Lee.Na baada ya hapo mambo yalikuwa shwari na kuendelea ku shoot movie,Na jina la movie hii ni "Enter The Dragon" na kwenye movie walikuwepo miamba wengine wengi tuu kama Jimmy Kelly,Yuen Wah na Sammo Hung pale mwanzoni mwa movie alipokuwa akipasha na Bruce Lee huku walimu wakiangalia .Na mwamba mwingine ni Bolo Yeung kule kwenye kisiwa alikuwa kama kubwa la maadui ,Na kwa kupitia movie hii ndipo ninapozidi kuthibitisha kuwa wale waigizaji wakubwa wote wa movie za Martial Art's duniani na ambao ni wakongwe asilimia kubwa wamepita kwenye mikono ya Bruce Lee na ukweli ndo huo Naaam
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi hapo-ni-golden-harvest-studios-mwaka