Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
Gonga94 Β· Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida, na hautakiwi kukataa wala kumshika mkono mteja kwamba asinuguse, na pia kama mteja atakutaka kwa uo usiku, unatakiwa kwenda kwa mtejaa kumlizisha, so ndo mana nakwambia unakubali kwenda kwa mteja ama hutaki kazi, yule zena akasema okey nimeshindwa kazi, mi siwez nikajizalilisha na nimekuja apa kufanya kazi na kutafuta pesa tu kwa njia halali na wala sio kujiuza na kuuzamwili wangu kivyovyote vile , na nilimanbiwa kazi ni kuhudumia wateja vinywaji na sio kulala nao, ntalala na wateja wangapi sasa kama ni hivyo, juzi mmetoka kunambia nikubali kushikwa okey nimekubali, kumbe imekuwa shida leo nikubali kwenda kulala na mwanaume et kisa ni polisi na ana cheo serikalini, khaa , ebu mm sitaki hii kazi yenu, .nikimshangaa sana uyu demu, mi nilizani kama vile kabanwa pabaya na lazima atakubali kwenda na mie , ila wapi demu akagoma kisha sasa akaondoka zake, daaah kuna jinsi nilimshangaa sana uyu bint, manager akanmbia samahani sana afande millan achana na utu demu, kama.vip we angalia mwanamke mwengine mbona tunao warembo wengi apa millan, nikasema ahaaa basi bwna mi kwa leo nilimtaka yule. Ngoja nikapumzike tu nyumbani, daah basi mwanaume nikaingia kwenye gari, ila nilimuwazia sana yule zena, yani kakubalia kuacha kazi kwa ajili yangu dooh

Basi mwanaume nikaludi mpaka kwangu, kwakua nilikuwa nishalewa, ahaa nikajitupa kitandani na viatu vyangu kabisaa., ata sikuchelwea sana usingizi ukanipatia kabisa, nikastuka asubuh sana, na hii siku mi wala.sikuwa naingia kazini, nikatulia zangu kwanza nyumbani kujipumzisha, ilipofika mida ya mchana kama saa 7, kuna docummentz za muhime sana ibraa, alinambia ananiletea nizisani, nikamwambia sawa hakuna noma we zilete tu hizo documents, na kweli mida ya jioni kama saa 10 hivi, akaniletea zile karatasi, ilikuw ani kuhusu kesi ya baba yake yule demu nilotika kumtomba jana, khaaa manazani nilijali, mi nikazisaini yani mzeee afikishwe mahakamani na uchunguzi uendelee kufanyika, baaada ya apo sasa , nikamwambia ibraa unajua jana nilienda gozmi kunywaa daah , akanmbia eeh umemnasa yule zena, nikasema bado mwanangu yile demu ana misimamao kisenge, ikabidi sasa nimueleeze ibraa kitu ambacho kilitokea jana yake, ibraa akacheka sana akanmbia mbona mambo ayoo, asa apo cha kufanyaaa we si unamtaka yule demu, nikasema mwanagu mi yule demu mpaka nilale nae yani nahisi nikilala nae ndo moyo wangu utakizika, ibraa akacheka akanmbia jamaa sheatani weweπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Basi fresh sikia mwanagu, cha kufanya, kwanza uyo demu ana misimmo yake, unachotakiwa kufanya kwanza na ww unatakiwa kujifanya upo cool, usifosi, kuwa mstaarabu na mtaratibu, utampata nakwambia, nikasema sijuh kwa nn ila yule demu mi nikimkaushia sijamtomba ntahisi naumwa ,mi nataka kuhakikisha mpaka nimelala nae, yani iwe au isiwe mpaka nilale nae yani ndo ntapata amani mimi, ibra akanmbia powa kaka, ukute umempenda bwana, nikasema weee mie uyo, millan nikaanza na kucheka, kiukweli mi wala sikumpenda yule msichana ila nilikuwa na tamaaa za ajabu, yani nikitamani mwanamke , iwe mvua na iwe jua mi lazima nilale nae, nikishalala nae sasa ndo nalizika kabisaaa nafata 50 zangu, basi bwana nikaongea sana na ibraa na mida ya jioni sana ndo akasepa kwake, mi apo nikavuta simu nikampigia shey, yule dada mi namba zake nnazo, na wala haikuchukua mda yule shey akapokea simu yangu, akanmbia ndio afande millan nakusikiliza, nikasema shey nisikilize unajua jana kuna vutu vilitokea na kama bina damu mi nimejikia vibaya sana, unajua sikupanga kabisa yule dada afukuzwe kazi , ila nilikuwa nimelewa sana , so nahitaji namba zake ata niweze kuzungumza nae na nione namsaidiajee

Shey akanmbia mh , afande millan ni kweli? Nikasema yaaah , akanmbia sawa ntakupa namba zake ila naomba usinitaje kabisa kuwa mm ndo nimekupa namba zake ,nyie kale kadada kwani kanajikuta nani, nikamwmabia shey wala usijali we nipe namba hatajua kabisa kama wewe ndo umenipa namba zake, akanmbia sawa , na uyu shey alipokata tu akanitumia namba za zena, na mwanaume mda uo uo nikampigia uyu demu, kweli haikuchukua mda uyu zena akanipokelea , akasema hallow, nikasema yes zena habari ni mimi afande millan plsss nakuomba usinikate simu nataka tuongee,

yule dada akanmbia sawa nakusikiliza ,nikasema zena najisikia vibaya sana na aibu kwa kilichotokea jana , sikupanga iwe vile zena, ila ni pombe zilinizidia naomba sana unisamehe zena , na ikiwezekana tuonane ,mi ntakusaidia ata msingi wa biashara ili ujisogeze kwa hiki kipindi ambacho upo tu na hauna kazi, zena akanmbia ooh millan, kumbe ulilewa jana ndo pombe zikasababisha vile. Mbona ulianzisha ayo maongezi yako ya kijanga tangu tu umefika, au ulipitoka uliuwa ushalewa pale ukaja kuongezea , dooooh mtoto ana kaba uyu, akasema sikia mi nakuheshemu sana wewe, japo wewe umekuwa hauna heshima mda wote kwangu, so naomba acha kuniletea drama zako mm ukihisi utanipat, millan story zako najizua sana, una majivuno sana we mwanaume na unakingia cheo sio, millan sio kila mwanamke unahisi ni maray na unaweza kuwa nae naomba tuheshiminae, sina shida ya msamaha wako, na wala sina shida ya mtaji, sipendi watu wenye drama mm, kisha akanikatia simu, dooob uyu demu ntamapata kweli mimi uyuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8



Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida, na hautakiwi kukataa wala kumshika mkono mteja kwamba asinuguse, na pia kama mteja atakutaka kwa uo usiku, unatakiwa kwenda kwa mtejaa kumlizisha, so ndo mana nakwambia unakubali kwenda kwa mteja ama hutaki kazi, yule zena akasema okey nimeshindwa kazi, mi siwez nikajizalilisha na nimekuja apa kufanya kazi na kutafuta pesa tu kwa njia halali na wala sio kujiuza na kuuzamwili wangu kivyovyote vile , na nilimanbiwa kazi ni kuhudumia wateja...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

494
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

463
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

229
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

144
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

42
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

4
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.41K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.39K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor β€” both just starting out β€” probably had no idea they were about to become such huge stars. There’s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. They’re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zoteπŸ₯±. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia β€œOndoka! Unasubiria nini tena?β€πŸ˜’ β€œHutanipeleka hostel?” β€œNo, sina muda” β€œKwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest