Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke , kisha nikamkosa, japo uyu anajifanya mgumu sana ila ataingia kwenye 18 zangu tu, mi sindo afande millan sasa, basi bwana mi nikampotezea yule demu, na ikapita kama week nipo busy sana na kazi, aseeee kuna mda kazi zinakuwa nyingi na very sensitive, apoo nakuwa na banwa sana, mana mm nikiwa kwenye issue zangu za kazi, ni mtu makini sana na mwenye weredi mkubwa, that why viongozi wangu wa juu wananikubali sana, yani wananikubali kinoma noma, basi hii week yote nilikamatwa na kazi, kuna mdaaa ata home nilikuwa siludi kabisa yani, napambana na kazi, kazi ngumu hiii acheni kabisaaa, kazi ina lawama kisenge, ila tushazoea ukauzu mwingi sana katika hii kazi,

Basi siku iyo sasa, nimemaliza kazi mda wa jioni kabisaa, nimamstua ibraa, nikamwambia mwanangu mi naelekea home uhuuu mda natak nikalale nimechoka kisenge, kama na wewe unaelekea home, basi twenzetu, kama bado bado upo , mi nakuacha kaka,ibraa akanmbia ahaa ningoje kama dakika 20, kuna kitu namalizia chapu apo, nikamwmabia powa nakungoja chini apo parking, akanambia powa, basi kweli mi nikashuka ,nikaenda kumngojea mwanangu parking, nikawa nachezea simu tu, na bada ya kama dakika 10 tu , ibraa akatoka tukaanza safari ya kuludi home, uku tukiwa tunapiga sana story za apa na pale, asa issues za kazini, basi bwana kufika TAZARA kwenye kituo cha abilia wa kawaida ,si namuona yule mchumba zena yupo pale, kasimama ana ngoja gali ya abiria ahaaaa weee nikasema yes, nikamwambia ibraa, oyaa ibra unamuona mchumba yule anangona gari, ibra akanambia twende tukampe lift sasa, daaah ona alivyopendeza mashallah kajistiri kawaka, nikasema tulia wewe, mi kweli nikaenda kupark mbele yake kabisaa, kisha nikashusha kioo

Nikasema hellow mrembo, tunalekea gongo la mboto pia, twenzetu, ahaaaa na kulijaa watu wengi pale stend, nikajua kivyovyote hawezi kukataa mana kulionesha kuna shida ya magari, yule zena akaningalia kisha akanambia mi sielekei gongo la mboto, mh nikamuuliza sa we unaelekea wapi, na mbona umekaa upande huu, akanmbia bwana hayakuhusu ebu fanya uende na mkokoteni wako, khaaaaa uyu demu vp, mkokoteni huu, anajua mi nimenunua sh ngapi hii gari, ahaa akanitibua kinoma, sikumbembeleza tena nikaona anajishaua kama ana kuma ya almasi bwana inamwaga dhahabu, nikawasha ndinga yangu nikasepa pale ,ibraa akanmbia kwaiyo ndo ushamaind ,nikasema yule demu ni msenge alafu ana hisi mi namtaka sana, ana majibu ya dharau kinoma, ibraa akanmbia daah mwanangu fanya ununue gari, huuu mkokoteni ujue, nikasema we ndo ununue japo huu mkokoteni ?Mana kesho sikubebi, basi ibraa akacheka sana, ibraa akanmbia we tulia uyu demu kwa jinsi nimemuona ni kam ana kisasi na wewe, yani wewe kuna kitu ulimfanyia kisha kimemjaa kwenye kifua chake, so ww ili umpate uyu demu cha kwanza unatakiwa kumuaminisha kwamba wewe ni mtu mzuri na wala haupo kama vile ambavyo yeye anakufikilia, nikasema bwana mi simtak kwanza ,demu mwenyewe mbovu hana lolote

Ibraaa akacheka, akanmbia weee bwna acha maneno yako, ayo ni maneno ya mkosaji, yule demu mzuri kaka, ana kila kitu kizuri, labda hana mambo yako yale, maziwa makubwa unayopenda ,ila mtoto mkari kila sehemu ya mwili wake iko njema, au unataka kumfananisha yule demu na wazazi wenzako, nikasema eeh kaka tulia bwana mambo yasiwe mengi, basi ibraa akawa anacheka na tukawa tunaendelea na story zengine, za apa na pale mpaka tumefika gomz, nikamuacha kwake na mm moja kwa moja nikaelekea kwangu, aseeee nimefika home, namuwaza tu yule zena, sikuwa najielewa yani kam aliniroga yule binti, yani nawaza jinsi leo amevaaa, alikuwa kavaa vizuri sana yani vazi lake lilikuwa la stara na lenye kuvutia mashallah , alafu the way alivyokuwa anaongea anajiamnin sana , na wakati anajua wadhfa wangu kabisaa, bado mi na pesa nna gari kali, mbona havioneshi kumbabaish kabisaa, aseee hamu ya kutaka kumpata uyu binti iliongezeaka mnooo yani sanaaaaaa

Niliwaza sana uyu demu mi nampatajee, mana kutumia pesa imeshindikana ,uyu demu inaonekasana issue za pesa hamaind, na kama ingekuwa pesa basi mimi ningekuwa nishampata tangu anafanya kazi kule bar,nikaona ngoja, nikampigia simu shey, basi shey akapokea kwa mbwe mbwe akaninchangamkia sana, nikasema shey mambo , akasema powa boss vp unaendleaje, nimasema shey i am good, ila nataka kukuomba kitu na ukinisaidia nakutumia laki 1 sasa hivi hakuna kupeana ahadi, mh shey akanmbia weeeee afande millan, jambo gani nambie, nikasema nataka unambie na unielekeze anapoishi zena, hilo tu, yani nataka kufika mpaka nyumbani kwake, shey akasema jamani salama lakini ,nisije kukuelekeza ikawa shida mi ni rafiki yangu yule ,na zena dar hana ndugu, mimi ndo ndugu yake,yasije yakamkuta mabaya mana mm ndo ndugu yake wa pekee kwa dar, nikapata shida mie mwenyewe kiukweli sitaki, nikasema shey wala sio issue mbaya , ninahitaji kuongea nae sanaaa, nahitaji kumjuaa, shey akanmbia ahaaa sawa sawa , sikia zena mm naishi nae nyumba moja, ila kila mtu amepanga chumba chake, tunaishi banana, mtaaa wa mangiro, nikasema okey nikifika uhooo mtaaa naulizia vp mpaka nafikishw katika iyo nyumba,

Shey akanmbia ukifika , we ulizia kwa bibi mwadawa, utapelekwa ndo tumepanga umo ulizia chumba cha uwani, ila chonde chonde usinitaje kama nimekuelekeza kwake, mi sipendi kabisaa mwenzio kugombana na zena, nikasema wala hatajuaa, basi nikakata sumu ,na apo apo nikamtumia laki 1 shey, kisha sasa nikaingia ndani kupumzika ,mana nilipnga kwenda kesho yake kukutana na uyu zena, mana kiukweli moyo wangu uligoma kabisa kumpotezea zena, basi bwana hii siku nililala sana , mana nilikuwa busy almost week 1, na hii siku niliamua kuwa off, nipumzike tu nyumbani ,mana daaah nilikuwa nimechoka mnoo, basi nakumbuka niliamka saa 4, tena nimefanya kuulazimisha mwili tu , mana sipendagi kulala sana, basi nilivyoamka, nikaingia bafuni nikapiga maji , kisha nikatoka , nikajifuta fresh, nikavuta rosheni yangu, nikajipakaza vizur, nikavaaaa fresh nachek mda kama saa 5, nikaona asa leo ndo nataka niende uko ,nikamtafute yule demu wa kuitwa zena.

Basi mwanaume mdogo mdogo, nikingia ndani ya gari langu, na safari ikaanza ya banana, basi kweli.mi.nikafika mpaka uo mtaaa alonielekeza shey, nikatafuta sehemu ya kupark gari ,mana sikutaka kutembea na gari kwenye mitaa ya watu, basi mi nikapaulizia kwa bibi mwadawa, kwa bahati nzuri wala hakukuwa mbali kabisa na apo nilipo kwa jinsi nilivyoelekezwa. Basi nikafika mpaka apo kwa bibi mwadawa, dooh nyumba mbaya kinoma, yani pabaya pabaya kweli, nymba ya kishamba, yani nyumba imeisha mnoo, yani mi nilisema siku yoyote hii nyumba inaanguka hii, basi mi nilisogea mpaka pale, nikakuta kuna mdada kakaa barazani anaosha vyombo, nikamsogelea kisha nikamsalimia , na yule dada akaniitikia vizur tu, kisha nikamuuliza kwamba samahani mimi namtafuta zena ni anishi umu?, yule dada akanmbia ndio anaishi umu na yupo ndani kwake, nikasema.sawa anapatikana chumba gani, yule dada akanmbia pita hii korido nenda kule uwani ndo kuna chumba chake, chumba cha pili cha mkono wa kushoto ,nikasema asante sana dada, basi mm harka nikaingia sasa, na nikafika mpaka katika chumba nilichoelekezwa ,kisha nikagonga mlango

Haikupita ata dakika 1 ,mlango ukafunguliwa na nikamuona zena sasa, zena aliponuona alionesha kushangaa sana nazani hakutegemea mimi kuwa pale , mie walaaa nikamsalimia mambo, zena eala hakuitikia kabisa salamu yangu, akanmbia unataka nn, nikasema zena kwenu ndo mnakalibisha hivyo wageni , hakuna ata karibu ndani mgeni, yani unaanza kunisokomeza maneno, mh akanmbie wewe kaka sitaki drama.zako nimekwambia unataka nn, alafu kwa nn unanifatilia sana wew, kwani nimekula chako au unanidai, ebu nikumbushe kwanza, nikasema jamani zena asa ayo mambo si ningeenda kukuelezea ndani,ebu nikalibishe kwanza, zena akanmbia naomba ugeuze uondoke kwangu huingii umu, apo zena ameshachange naona kashapanik na kakasilika sana, tukiwa tunaendelea na ubishani, kule ndani akatoka mroto mdogo wa kike wa miaka kama minne hivi anaendea miaka 5, yule mtoto lifunua panzia kisha akasema mama mi nimeanka njaa inauma, dooooh kumbe uyu demu kulinga kote kashazalishwaaa, nikaona ndo mana kana hasirs ukute single mother alafu haudumiwi, yani msela kazalisha kisha kasepa ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10




Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke , kisha nikamkosa, japo uyu anajifanya mgumu sana ila ataingia kwenye 18 zangu tu, mi sindo afande millan sasa, basi bwana mi nikampotezea yule demu, na ikapita kama week nipo busy sana na kazi, aseeee kuna mda kazi zinakuwa nyingi na very sensitive, apoo nakuwa na banwa sana, mana mm nikiwa kwenye issue zangu za kazi, ni mtu makini sana na mwenye weredi mkubwa, that why viongozi wangu wa juu wananikubali...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-9-na-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

598
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

278
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

169
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

147
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

131
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

83
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

6

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.41K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.39K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor โ€” both just starting out โ€” probably had no idea they were about to become such huge stars. Thereโ€™s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. Theyโ€™re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zote๐Ÿฅฑ. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest