Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa na wanawake kibao vilee haya Huyo Veda mkaka wa maana kajazia kila kiungo cha mwili kinavutia ataacha kushambuliwa na wanawake ??

Basi Wivuuu mpaka machozi yalikuwa yananitokaa, Kukakucha asubuhi bado kuwa najua natakiwa kufanya nini, Huku Veda huku D daah kichwa inaniuma kweli haya mambo yameibuka ghafla sanaaa.

Asubuhi wakati najiandaa kwenda kazini nikahisi kichefu chefu kikali, Hii hali leo ni kama siku ya nne yaani asubuhi ile natapika kweli ...

Tinner akanikuta kule nyuma nipo natapika akashangaa "We kwani unaumwa??"

"Nahisi homa inataka kunivamia, tangu juzi ikifika tu asubuhi natapika nyogo ila leo naona imezidi huwa natapika tu kidogo, ndo maana hata kukuambia nasahau"

"We Veroo.... Embu niangalie" nikageuza uso kumtazama akanitazama kwa makinii kama sec kadhaa hivi sijuii alikuwa anatafuta nini usoni kwangu ..

"Kwahiyo mpaka sas hujui nini kinakusumbua??"

"Halafu sisikii kuumwa chochote zaidi ya kutapita tu hivi asubuhi "

"Hahaha hivi wewe ni Daktariiiii au mwenzangu umefoji vyeti??" Sikuelewa hata swali lake mie nikainuka zang nikachukua maji ninawe

"Una mimba....." hee!!! Yaani nilimtazama et mie na mimbaa?? Afu nikacheka nikainuka hata sikumjali

"Sawa Doctor " nikamjibu kimasihala

"We mwehu kwahiyo huniamini eeh embu kojoa hapo" akachukua kopo nililokuwa nimeweka maji akayamwaga et nikojoe humo

Tukavutana hapo mpaka mwisho ikabidi nikojoe tu maana alivyonigandaa duh, nikakojoa akaweka kipimo mie nikaingiza zangu ndani kujiandaa nisije kuchelewa bure kazini ..

Wakati najiandaa yeye akaja "Hayaa ni D au Veda??" Akaniuliza huku ananipa kile kipimo sikuwa na plesha et nina mimba nikakipokea bila wasi wasi nikatazama aloo!!! Nikahisi mpaka tumbo limekata baada ya kuona mistari miwili

"Mimbaaa.!!!???" Nilishtuka sanaaa, sanaaa..

"Ndio, mie nimekuona tu uso umekushuka dalili zote za mimba"

"Sio kweli, Embu naomba unuchukulie kipimo kipya sitaki hiki" nikampa hela Tinner yaani nilikuwa nishavurugwa Tinner ametoka nje mie nikabaki nazunguka nyumba yotee plesha ipo juu juu yaani ghafla tu nilihisi joto kalii ..

Tinner akarudi akanipa nikaenda tena kuutafuta mkojo kwa tabu sanaa nikaupata kidogo nikapima daah nilijikuta nakaa kitandani mwili hauna nguvu kabisaa

"Ni Veda!!!" Ndio mwanaume peke aliekuja kwenye akili yangu kwa wakati huu

"Kwanini?? Je kama D??"

"Hapana Tinner, D tulifanya mara ya mwisho anaondoka tangu alipo rudi mie nayeye hatujakutana kama ni mimba basi ingekuuwa ya miezi minne huko " nilijibu kwa uchovu sanaa

"Kwahiyo tunafanyaje??"

"Natoa..."

"Niniii weweee??"

"Natoa Tinner, mie sitaki kuwa single mother sitaki kabisa "

"Khaa!!! Hivi kumbe Vero na akili waga huna eeh ?? Kwanini usiongee na baba mtoto kwanza ukamsikiliza "

"Atanambia nizae kwani yeye ndie atakae lea yeye si ataendelea na starehe zake huko wakati mie nahangaika "

"Aisee kwa hili mie sipo upande wako kabisaaaa yaani sipo kabisa upande wako , Embu mtafute Veda muongee"

"Natoa mimba tena sasa hivi hata kazini siendi ngoja nikatafute vidonge" nikainuka haraka kuondoka swala la kuanza kusumbuana na mwanaume kwa sasa hapana jamani Mungu atanisamehe

Nikaenda moja kwa moja duka la dawa, Nikafanikiwa kupata dawa za kutoa wakati narudi nyumbani kabla hata sijalifikia Geti nikashangaa Piki piki nyuma yangu imekuja kasi kweli yaani hapa na hapa ikasimama kwenye miguu yangu , Nilishtuka kidogo nianguke nikageuka kwa hasiraaa, Nikapigwa na butwaa kumuona Veda..

Nikabaki nimesimama sasa kama sanamu, moyo unapiga kwa nguvu nikajikuta sijiamini tena

"Kaa....!" Akanambia kwa sauti kavu halafu amenikazia macho

"Wapi??" Namie nikamjibu kwa kiburi

"Kaa kwenye piki piki tunatakiwa kuongea"

"Veda, , , sina cha kuongea nawewe tafadhali endelea na maisha yako"

"Umedhamilia kumuua huyo mtoto kwa ujinga wangu?? Upo serious unataka kumdhuru mwanangu??" Heee nyiee hehehe walai nilihisi mkojo unataka kutoka enheee nikasimaa vizuri

"Mimbaaa....?? Mimba gani??" Kwanza nikajitoa ufaham maana hizi habar zilikuwa za ghafla kwangu naza kushtukiza sana

"Kaa kwenye piki piki tukaongelee nyumbani, Vero siwezi kuruhusu kabisaa ufanye unachotaka kufanya na unajua kabisa nini naongea sasa unakaa kwenye piki piki au hukai"

"Vipi kama sitakaa"

"Aiseee Veroooo..... Usitake kujua rangu yangu nyingine tafadhali usifukue upande wangu wa pili Veroo usinipindue ukanilazimisha mamboo sawa " Nikameza matee maana sasa Aliongea kama mwanaume, nikashika vizuri kamfuko kangu ka dawa nikapanda kwenye piki piki, moyoni najua huyu ni Tinner tu huyu sijui imekuwaje hadi Veda kayapata tena haraka hivi maana hata mzoea hawana ...

ITAENDELEA....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16


Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa na wanawake kibao vilee haya Huyo Veda mkaka wa maana kajazia kila kiungo cha mwili kinavutia ataacha kushambuliwa na wanawake ??

Basi Wivuuu mpaka machozi yalikuwa yananitokaa, Kukakucha asubuhi bado kuwa najua natakiwa kufanya nini, Huku Veda huku D daah kichwa inaniuma kweli haya mambo yameibuka ghafla sanaaa.

Asubuhi wakati najiandaa kwenda kazini nikahisi kichefu chefu kikali, Hii hali leo ni kama siku ya nne yaani asubuhi ile natapika kweli ...

Tinner akanikuta...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

641
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

302
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

224
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

192
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

151
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

89
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

53
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

7

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.41K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.39K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor β€” both just starting out β€” probably had no idea they were about to become such huge stars. There’s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. They’re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zoteπŸ₯±. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest