Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
Gonga94 · Stories

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MY CRAZY BOSS 18

" Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani."

"Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani".

Muda wote nilikuwa nikutazama taaa, upigaji wa mahesabu ulitawaka akili yangu nikajikuta nakumbuka siku ya kwanza kuwa mahali hapa, si haba hapa si pageni machoni kwangu.

"Mama , baba nimekuja kumtambulisha mpenzi wangu anaitwa Joyce, joy mama hawa ni wazazi wangu, Erick alizungumza."

Oooh nashukuru kuwafahamu, nilijibu kama siwajui huku nikiwaangalia machoni ndipo nikagundua huwenda wamenisahau kabisa kutokana na ukongwe.

"Ndoa yenu itakuwa lini mwanangu, eti Joy mama unahitaji kuolewa lini?." Nikiwa kwenye harakati za kujua thamani ya TV nilishtushwa na swali kutoka kwa wakwe zangu.


😳😳😳Eeeeh kuolewa mnasema??? Niliuliza.

Ndio tutakupa utakacho kama utakubali kuubeba huo mzigo🤣,baba Erick aliongea huku akimtizama mwanae.

Ina maana mimi ni mzigo sio baba?. joyce ntakupa nyumba, gari
Ukikubali kuishi na hiki kichwa , baba mkwe aliongea.

😳😳😳😳Nyumba , gari?? Kiurahisi tu.

"Baba na mama punguzeni kasi basi mbona hivyo,."

Ooooh babe na wewe😁usijali mwaa💋💋mie nipo tayari hata sasa hivi kwa ndoa. Nilijibu.

😳😳Unasema kweli Joyce, erick aliuliza.

Ndio babe wangu💋,nikajilegeza mwenyewe chezea sasampa wewe🙌🙌🤣🤣.

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 19
"Baba na mama naomba mnipe muda kwanza nahitaji kuongea na Joyce mpenzi wangu nahisi ana matatizo kidogo ya akili si bure, Erick alizungumza".

"Kati ye mkwe wangu na wewe inaonesha wewe haupo sawa, mwenzio kakubali ndoa we unasua sua nini? Au wewe ni..........


" Aaaaaah baba tusifike huko mimi sio hanithi mjomba angu anafanya kazi vizuri tu ondoa shaka kabisa, kuna jambo nahitaji mniulize tafadhalini"

Ni sawa nendeni ila nisijesikia maamuzi yamebadilika , mama Erick alijibu.

Kwa pamoja mimi na Erick tulinyanyuka hadi nnje ." Ni kweli upo tayari kwa ndoa Joy?. Erick aliniuliza.

Ondoa shaka nipo tayari kabisaaaa yaani hata sasa hivi hata usijari, nilijibu.

"Ooooh asante sana Joy usihofu kabisa hata hilo komwe lako nitalivumilia kwa sababu nakupenda sana nitakupatia kila kitu."

🤣🤣Mie niliishia kucheka tu sikusema kitu ni wazi maneno ya boss wangu nimeyazoea hanishtui kabisa.

Sawa twende ndani mama angu ila nahitaji kukubeba , huwenda una hofu ya ndoa na tajiri kama mimi na ikitokea umeangukia kichwa basi kitaongezeka mara mbili na tayari kinatisha ama laah ukaangukia masikio yatachanika .

Boss inatosha sasa ni kama unanizalilisha niliongea huku nimenuna.

Basi mama usinune nakuahidi kuwa na wewe bega kwa bega na kuwakemea wote wakukosoao kuhusu masikio yako🤣🤣🙌🙌🙌,kwa pamoja mimi na boss tuliongozana hadi sebleni kisha,mtunzi ni mimi jjl tukaketi huku mama na baba Erick wakiwa wanatusubiri kwa udi na uvumba.

Enheee mmeamua nini? Mama erick aliuliza.

Nimekubali kumuoa Joyce licha ya viungo vyake, si hivyo tu amekubali kuolewa na mzigo wenu boss alijibu.

🙌🙌🙌🙌Nilijikuta nikicheka sana bila break si mimi tu hata wazaziwe walijawa na tabasamu .

Tuliongea mawili matatu kisha tukaondoka mahali pale kabisa.

Siku zilizidi kusonga, taarifa za ndoa yangu na Erick zilizidi kusambaa ilifikia hatua wafanyakazi wote walitambua hilo

Hayawi hayawi sasa yalikuwa hatimae siku ya harusi iliwadia , mimi JOYCE nilifunga ndoa halali ya kikristu na bwana ERICK , tukawa mke na mume halali kabisa

Leila na wafanyakazi hawakuamini kabisaa eti mie mie walioniona kabaya kama flat screen leo nimeolewa na boss de la boss.

Si wao tu hata mimi sikuamini ni kweli sina mvuto wa ajabu ila bahati ipo upande wangu buana.

Baada ya harusi mchizi wangu , Erick aliniamisha mchikichini nilipokuwa nikikaa, Mama ashrafu hakuamini kilichojiri ila hizo sio shida zangu .

Namshukuru Mungu ukitoa uchizi Erick ni mume mzuri sana kwangu, ananisikiliza , ananijali, ananiheshimu na kunifurahisha kutokana na Ukichaa wake. Ndo hivyo nimeolewa na boss wangu kichaa hata sikutegemea sipati picha hao watoto wajao naomba Mungu tu wafate sura ya baba yao, mdomo na masikio ila si tabia.🤣.

NA HUU NDIO MWISHO WA STORY YETU YA "MY CRAZY BOSS"
ASANTE

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

MY CRAZY BOSS 18

" Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani."

"Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani".

Muda wote nilikuwa nikutazama taaa, upigaji wa mahesabu ulitawaka akili yangu nikajikuta nakumbuka siku ya kwanza kuwa mahali hapa, si haba hapa si pageni machoni kwangu.

"Mama , baba nimekuja kumtambulisha mpenzi wangu anaitwa Joyce, joy mama hawa ni wazazi wangu, Erick alizungumza."

Oooh nashukuru kuwafahamu, nilijibu kama siwajui huku nikiwaangalia machoni ndipo nikagundua huwenda wamenisahau kabisa kutokana na ukongwe.

"Ndoa yenu itakuwa lini mwanangu, eti Joy mama unahitaji kuolewa lini?." Nikiwa kwenye...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-18-hadi-mwisho

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
MY CRAZY BOSS 12,13,14
MY CRAZY BOSS 12,13,14
MY CRAZY BOSS 16
MY CRAZY BOSS 16
MY CRAZY BOSS 17
MY CRAZY BOSS 17
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 11
MY CRAZY BOSS 11
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 15
MY CRAZY BOSS 15
MY CRAZY BOSS 09
MY CRAZY BOSS 09
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

967

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*

622
MY CRAZY BOSS 17

MY CRAZY BOSS 17

343
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho

267
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7

125
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8

118
 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

114
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7

113
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~

2
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.39K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.16K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.58K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.37K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.27K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor — both just starting out — probably had no idea they were about to become such huge stars. There’s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. They’re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zote🥱. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia “Ondoka! Unasubiria nini tena?”😒 “Hutanipeleka hostel?” “No, sina muda” “Kwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
@majario LIVE

*SEHEMU YA SABA* Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka...

MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  🏀 sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA 🏀 sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest