Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji ya baridi .yani sijuh mapombe yalinizidia kish akainitoa nguo zote akaniogesha vizuri kabisa.akanibeba akanipeleka kitandani. Nikaona kaingia tena bafuni kwa jinsi nilikuwa hoi ata sikuchelewa kupata usingizi nikajilalia zangu nikajaa kustuka asubuh sana mwili unauma mno.namuona mwanaume ananainglia kwa hasira. Nikakumbuka niliyoyafanya jana nikaoma tobaaa kazi ipo apa.
Akanambia umeamka sio. Nikasema ndio ila bado nilikuwa sipo sawa nikawa najisikia kutapika halaka nikaenda bafuni nilitapika uko atari.hizi pombe zilinikataa wakati mimi ndo konki wa kunywa na haziniteteleshi ila hizi zilijua kunidhalilisha niilivyomaliza kutapika nikaludi chumbani . Nikakuta hamadi kanileta juice ya chungwa na anainiwekea malimao mule.kisha akanipa nikapokea nikawa nakunywa uku namuangalia mana nilijua apa kutachimbika kwanza nimeondoka sijamuaga .na alinikataza kwenda nimeenda bado nimemtapikia yani nna kesi kama zote

Nilivyomaliza akasema umemaliza eeeh .nikasema ndio akasema sawa.sasa nataka kujua unataka kuishi na mimi or not. Nikasema nataka kuishi na wewe. Akasema unataka kuishi na mimi na hutaki kufaya ambacho mimi nasema unanichukuliaje kwanza mimi ebu nambie wewe mwanamke. Mh nikaona kazi ipo. Nikasema nisamehe jamani. Akasema nakusamehe nn ulikuja kubebwa apa. Ila unajifanya wewe ni jeuri sana sio. Sasa ntakuonesha kuwa mimi ni mwanaume.nyanyuka tupigane apo .mh asa mimi naweza kupigana nae jamani

Akasema hujanisikia ama vp nimesema nyanyuka tupigane . Atakaye mpiga mwenzio ndo atafatwa kwa amri zake .mh nikasema nisamehe sikumaliza akanipiga ngumi ya mgongo iyo weeee kisha akasema kwa hasira nyanyuka nikasimama uku nalia .aseee kumbe mwanaume alificha bakora zake mbichi chini ya kitanda weee mbona nilieleza alinitandika jamani. Nililia kama mtoto. Mnajua bakora za maana mpka za kichwa haangalii ata anaipiga wapi alafu nilivaa kigauni chepesi cha kulalia. Akawa anasema unaniona mimi mpumbavu si ndio kukupenda imekuwa kosa sasa ntakuonesha mpumbavu wewe nasema ntakuaonesha kukuacha sikuachi na utaonyooka shamira utanyooka nakwambia alinitandika kweli kwrli. Kisha akasema twende uku akanishika mkono akanikokota mpka nje . Akanmbia osha gari ulilotapikoa oyaaa niliosha uku nachapwa mimi.nilisafisha kweli kweli uku napigwa . Alinifahidi hiii siku alinitandika kweli kweli

Niliosha gari ikawa nyeupe na safi haina ata harufu akanmbia sasa mimi na wewe tutasoma ntakuua nakwambia.na hukuna kuondoka mimi nataka tupimane ujeuri na utanyooka wewe.apo mwili umevimba vimba.basi nikarudi ndani nipo hoi mwili unauma sana akanambia kaoge ukapike .nikaingia bafuni uku nalia. Nikaoga nikiwa na hasira sana niliona kama nabanwa alafu kama naonewa hivi. Yani kama ananifanya mkewe wakati wala hajanioa ila nikikumbuka ananipeda nikaona acha nikaushe basi tukala mimi nilinunua mno mwanaume tunakula na fimbo zake mkononi. Nikajifanya apa nikisema nasusa nitatandikwa tena basi nikala tu.

Nilivyomaliza nikaingia chumbani nikapanda kitandani mwili unauma kila kona nikajikunyata nikalala .mana nilikuwa hoi .nikaja kustuka jioni kabisa hii siku ata simu yangu sikuishika.nikakuta mwanaume kanikumbatia nyuma.nikichukia nikamsukuma. Akanmbia vp nikasema sitaki tu unikumbatie.akasema kwaiyo unahisi kukupiga mimi sikutaki ama.nilitaka kukufundisha adabu na ujua mimi ni mwanaume wako ambaye soon tunaenda kuoana utakuwa mke wangu shamira. Ndo kwenye ndoa utaendeleza hizi tabia zako ama.nikabaki nimenuna akanmbia okey nuna ukicheka tutaongea . Akageuka upande mwengine akavuta shuka lake.

Mimi ndo nikashika simu.nikakuta sms nyingi sana za aisha .ananiuliza vp jana ilikuwaje. Nikamtumia sms nikasema aisha bwana uyu mwanume ataniua anapiga sana ataniua bwana.aisha akasema vumilia bdo malengo hatujayatimiza ngoja kwanza uchume pesa uko usiniangushe bwana shamira .nikasema sawa hamna shida. Basi nami nikaludi kitandani nikajilaza mpka usiku sana saa 2. Mwanaume akanisogelea kwa mahaba akasema shamira amka basi tukaoge tutoke kidogo mke wangu. Nami nikaludisha moyo nyuma nikasema ebu ngoja kwanza nisije nikatupa fuko la pesa bule

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33



Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji ya baridi .yani sijuh mapombe yalinizidia kish akainitoa nguo zote akaniogesha vizuri kabisa.akanibeba akanipeleka kitandani. Nikaona kaingia tena bafuni kwa jinsi nilikuwa hoi ata sikuchelewa kupata usingizi nikajilalia zangu nikajaa kustuka asubuh sana mwili unauma mno.namuona mwanaume ananainglia kwa hasira. Nikakumbuka niliyoyafanya jana nikaoma tobaaa kazi ipo apa.
Akanambia umeamka sio. Nikasema ndio ila bado nilikuwa sipo sawa nikawa najisikia kutapika halaka nikaenda bafuni nilitapika uko atari.hizi pombe zilinikataa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-32-33

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

867
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

815
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

364
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15

309
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*

293
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15

220
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13

206
AFANDE MILLAN😎 1 na 5

AFANDE MILLAN😎 1 na 5

175
SHAMIRA sehemu ya 29&30

SHAMIRA sehemu ya 29&30

164
MY CRAZY BOSS 16

MY CRAZY BOSS 16

164

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.37K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.13K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.37K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
@majario LIVE

Aliendelea kunipa juice kwa utaratibu, huku anaaacha ananitizima nikitaka kuongea ananipa tena juice, aweee hii ilikuwa tofauti kwangu asee ilikuwa tamu kuliko ya siku ile, nilijikuta natoa ushirikiano hasaaa kwenye...

SHAMIRA sehemu ya 29&30 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 29&30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni. Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma...

Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema β€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema β€œbila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
@majario LIVE

19 MPAKA 20 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
@majario LIVE

"Habari za hapa?" Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili. "Salama" Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao. "Nikusaidie nini Nilimuuliza Hapo pili akaniangalia...

So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen! Post Mpya
So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen!
@majario LIVE

If you grew up in the 90s, you know this duo was pure entertainment. From Main Khiladi Tu Anari to Yeh Dillagi, Tu Chor Main Sipahi, and Keemat, they gave...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
@majario LIVE

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka .. "Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest