THE SECRET MESSAGE 💬05
Alinitazama akiuma midomo yake akisema “Chiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?”
Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema “bila shaka dada yangu mzuri.”
Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka haraka nilienda kuacha sehemu pikipiki yangu, nikahakikisha kila kitu kipo sawa kwa makubaliano ya kulipia nikirudi na kuingia zangu kwa gari.
Tulipoingia kwa gari, huyu dada ndiyo alikuwa anaendesha. Kila muda alikuwa ananitazama na kutabasamu. Kisha aliniuliza “Chiddy, una mpenzi?”
Nilimtazama na kutabasamu kisha nikameza mate na kujibu “mwanamke nani ananitaka bodaboda mimi dada, sisi ni watu wa kuumizwa tu. Sina mpenzi kwasasa.”
Huyu dada alitabasamu na kusema “mmh Chiddy, ulivyo handsome hivyo, mwili wa mapenzi kabisa huo inakuaje huna mpenzi.”
Nilitabasamu na kusema “dada yangu, mapenzi ni kitu kikubwa sana cha kuheshimu sana. Sio kwasababu tu unataka mpenzi unakuwa naye. Sio kwasababu tu unajua mapenzi uyafanye.
Binafsi naheshimu sana mwanamke, natamani kupata mwanamke mmoja mzuri sana ambaye atanipenda, atanijali na mimi nimpe muda wangu wote, nitampenda sana huyo mwanamke na kumjali sana. Hivyo ndiyo maana ya mapenzi. Kuhakikisha mwenza wako anapata furaha.”
Huyu dada mke wa mtu alitabasamu akisema “atafaidi sana huyo mwanamke, namuonea wivu.”
Mimi huku moyoni nasema “usidanganyike dada sina lolote ni mdomo wangu tu una maneno matamu. Hayafanani hata kidogo na mimi, hayafanani kabisa.”
Huyu dada alifika mahali na kusimamisha gari. Alinitazama kwa mapenzi akisema “Chiddy, samahani, lakini, unajua Chiddy.”
THE SECRET MESSAGE 💬06
Mkono wake akawa anauleta juu ya paja langu. Huku akinipapasa. Nilimtazama na kusema kwa sauti tulivu sana “lakini dada, wewe ni mke wa mtu mimi naogopa. Bado kijana natamani kupata mwanamke!!”
Huyu dada aliniambia “shhhhhh!!!, nakuelewa Chiddy. Ni kweli mimi ni mke wa mtu, napata kila kitu, kila kitu chiddy, kasoro furaha ya tendo tu. Nisikilize mwenzio.”
Mimi nilitazama chini huku nikisema “lakini mnaweza!!, mnaweza!!”
Huyu dada aliniambia “Chiddy please, hatuwezi. Naomba unifurahishe tafadhali.”
Nilimtazama kwa upole, wakati huo ukimuangalia huyi dada ni tayari ameshapagawa. Alinitazama kwa uchu, huku akifunua gauni yake ya kumwaga, na kuchukua mkono wangu akinifanya nimpapase. Tena huku akilalamika, nikamuuliza “hapahapa!!!”
Huyu dada alinitazama huku akiongea sauti ya mahaba akisema “Chiddy siwezi kusubiri zaidi, please usifanye hivyo.”
Niliona huyu dada asinitanie, niliamua kuanza kuchangamka, nilimvuta karibu yangu kwa kumpokea na mdomo wangu.
Dada alikuwa vizuri, alijiachia ni kama ananifahamu vile. Baada ya hapo alilaza siti ya gari, na yeye alikuja kunikalia kwa juu. Nilimpokea kwa kumshikilia vizuri sana. Huyu dada alianza kunikatia mauno kama ya Shakira, tena akijiachia na kelele juu.
Huyu ni mke wa mtu, mke wa mtu wa ndoa, mume wake yupo kazini anatafuta kwaajili yake. Ila alishiriki tendo na mimi tena kirahisi sana halafu bado mama anasema nioe nitulie. Hainiingii akilini.
Nilimtazama na kutabasamu, na yeye alicheka akijitengeneza na kusema “una balaa Chiddy, kumbe sio msafi wa nje tu mpaka ndani.”
Nilitabasamu na kusema “nashukuru sana. Umefurahia lakini?”
Alinitazama na kunijibu “kuna mtu atakutana na wewe na asifurahie. Upo vizuri. Nikuombe kitu?”
Niliitikia kwa kichwa nikisema “kuwa huru.”
Ndipo huyu dada alisema “naomba nafasi ya huyo mwanamke unayemtafuta niishike mimi mpaka utakapopata.”
Nilimtazama na kutabasamu kisha nikauliza “una hakika hutong’ang’ania?”
THE SECRET MESSAGE 💬07
Alicheka akisema “kwa hizi raha Chiddy sijui, ila natamani tupate muda zaidi. hotel nzuri tushinde siku nzima.”
Nilimtazama na kusema “nakushikiliza wewe chibaby wangu.”
Huyu dada alifurahia akisema “waaao!!, umeniita Chibaby jamani zuri sana.”
Nilitabasamu na kusema “karibu sana.”
Ndipo huyu mke wa wenyewe alinipa laki moja, na vile sikuwa na hata shilingi. Nilimshukuru sana na kufanya yeye azidi kuniona mimi ni mtu wa maana.
Alinitazama na kusema “kuna mahali natakiwa kwenda Chiddy, ila huwezi kuamini natamani twende Hotel.”
Nilitabasamu na kusema “usijali, tutapata muda zaidi. Kwasasa hata mimi nina ratiba nyingi leo, si unajua umenishtukiza.”
Huyu dada mke wa mtu alicheka tu. Kisha aliniambia “basi nikusindikize mpaka ulipoacha pikipiki, tutawasiliana zaidi.”
Nilisema kwa tabasamu “nashukuru sana Tajiri, nashukuru.”
Moyoni namchora tu maana kichaa changu nakijua, hapa labda nipige hela tu ila hakuna maajabu, sioni kitu kipya kwake hakuna kabisa.
Barabarani ananitazama kwa mapozi mwenyewe natabasamu tu. Unajua wale wanaume wenye muonekano mzuri, eenh mwenyewe kijiweni naitwa Chiddy Bwoooy, lover Boy, ndiyo mimi sasa.
Kweli aliniacha mpaka sehemu ambayo niliacha pikipiki. Tena kwa mabusu kedekede huyu dada anajiamini sana. Basi mwanaume na nilivyopendeza utaniambia nini mfukoni nina laki.
Mwanaume mdogo mdogo nikachukua zangu pikipiki yangu mpaka kijiweni. Nimefika kijiweni nakutana na wenzangu, nilianza na kelele zangu nikisema “Oyyyy oyyy!!, wanangu niaje niaje!!”
Tulisalimiana pale wakinipambana “Chiddy Bwooooy, mtoto wa mama Chiddy, Lover Boy, niaje.”
Nilianza kwa kusema “fresh kabisa, kijiwe kimenuna leo kwema?”
Jamaa wa karibu aliniambia “leo pamenuna sana. Vipi mbona umechelewa sana leo, uliopoa nini?”
Nikaanza kucheka nikisema “eenh bwana eemh, leo siku ilikuwa mbaya kinoma. Jana nimelala na mtoto fulani hivi mkali, asubuhi ile anaondoka mother house si kamuona akaja kunisema vibaya mno. Ile niondoke si kuna dada akanipigia. Mke wa mtu huyo, aisee dada mkali.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni