Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
Gonga94 ยท Stories

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
01
Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu yaligeuka hadithi kwa kila aliyenifahamu vizuri, maisha yangu yaligeuka funzo kwa vijana wengi wenye tabia kama ambazo nilikuwa nazo mimi. Mwisho wa yote mimi kama mimi nilijifunza kuwa hatima ya mtu haibadiliki kwa vyovyote vile.

Naitwa Rashid, hilo ndiyo jina langu nililipewa na mama yangu, na baba yangu. Jina ambalo nimelitumia vizuri tu shule, nikasoma vizuri na kumalizia elimu yangu ya chuo kikuu vizuri tu kama Rashid. Rashid jina zuri tu ambalo wazazi walipendezwa nalo ila mimi nikaona wamekosea sana ni vyema zaidi kama wangeniita Chiddy Bwooooy.

Kwasasa ndiyo wanaitwa vijana wa ovyo, sasa ndiyo mimi wa enzi hizo. Mimi nilikuwa ni kijana wa ovyo, tena ovyo mnoooo haswa kwenye masuala haya ya wanawake. Aaah, mimi kwenye masuala hayo sifai, ni ovyo kuliko ovyo yenyewe. Sijui ni ujinga gani huo mimi sijafanya kwenye masuala ya wanawake, mapenzi kwa ujumla. Nimefanya mengi sana, machafu ya sharehe na ya kuumiza hisia zangu, zao hao wanawake na hata jamii kwa ujumla.

Baada ya kuona mambo sio mambo sasa, maisha magumu sana na mimi kama kijana natakiwa kupata mtoto mkali, pamba kali, vitu vizuri vya kutambia ndiyo nilijiingiza kwenye biashara ya bodaboda.

Sikuwa najua hata nu kiasi gani nakosea. Nafanya kazi kwa bidii ila pesa haionekani. Inaishia kuvaa, kuhonga na kutafuta sehemu nzuri za kulala na watoto wakali, sehemu nzuri za kutamba, sehemu nzuri za kufurahia huku nikitaka kunogesha penzi Chiddy mimi ni lazima pesa itimike. Mtoto mzuri akiniita kwa madeko ty โ€œChiddy lakini kwanini, mimi sipendi unajua.โ€
Basi huyo tayari anakula hela yangu.

Wazazi wangu walijua wamepata kijana mzuri kumbe mimi muonekano wangu na uanaume wangu mzuri natumia vibaya sana ili tu kuchanganya mambo hapa duniani. Yaani kwangu burudani.

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ02
Nani asiyemjua Chiddy, Chiddy mwenye jina langu kubwa. Umaarufu wangu sio kwasababu ya kusababishiwa na wengine. Mimi ni smart, mimi nina mvuto, nina ulimi mtamu yaani hata uwe kauzu vipi, nikikutaka kama hunijui unaingia kingi, labda uwe unanijua na kusikia sifa zangu.

Ninajua sana kubembeleza, ulimi mtamu wenye maneno mazuri na matamu, kijana mpole na mstaarabu ila ndani yangu kuna shetani mkubwa wa uzinzi na kuniachilia hataki.

Yaani mapenzi ndiyo starehe yangu tena sio na mwanamke mmoja, leo Fatumq, kesho Aisha, kesho kutwa Asha, Jesca, Gina, Prisca, Anna, Maimuna na majina mengine mengi ongezea hapo.

Siku moja nikiwa kwangu, asubuhi sasa ile nimeamka sina hata mia. Nimepanga sio sehemu mbaya. Ni pazuri tu. Ndani kwangu nimetengeneza vizuri hatari. Ila wanawake wanavyopishana sio poa. Mpaka muda mwingine ni aibu kwa wapangaji wengine na sitaki hata mara moja hawa wapangaji wengine wakutane na wageni wangu kwa maana mimi sio poa. Najua watapewa tu habari zangu.

Sasa hii siku nimelala na mwanamke , asubuhi kaondoka zake nimebaki mweupeeee, sina senti shilingi tano. Sina kitu. Ilinibidi nichukue simu yangu, nimpigie mama yangu. Mama yangu alipokea ile simu nami nilimsalimia โ€œshikamoo mama.โ€

Mama yangu alinijibu โ€œmarahaba Rashid, hujambo mwanangu.โ€
Mama yangu anavyosema Rashid naona kama ananiua yaani, naona anapunguza utamu wa jina langu natamani hata kupasuka.

Nilisema kwa sauti ya unyonge โ€œmama, biashara mbaya sana. Sina hata pesa ya kula leo. Najua mna hali mbaya pia ila niokoe mama, elfu kumi elfu 20 sio mbaya.โ€

Mama yangu aliguna na kusema โ€œRashid mwanangu, naomba nisikilize mwanangu. Mimi ni mama yako, mama yako ambaye nimekubeba, kiuno changu kimekutunza miezi 9 ukiwa tumboni mwangu na miaka miwili umelinyonya hili ziwa langu.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2

01
Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu yaligeuka hadithi kwa kila aliyenifahamu vizuri, maisha yangu yaligeuka funzo kwa vijana wengi wenye tabia kama ambazo nilikuwa nazo mimi. Mwisho wa yote mimi kama mimi nilijifunza kuwa hatima ya mtu haibadiliki kwa vyovyote vile.

Naitwa Rashid, hilo ndiyo jina langu nililipewa na mama yangu, na baba yangu. Jina ambalo nimelitumia vizuri tu shule, nikasoma vizuri na kumalizia elimu yangu ya chuo kikuu vizuri tu kama Rashid. Rashid jina zuri tu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/the-secret-message-1-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi the-secret-message
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

574
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

246
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

201
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

155
MY CRAZY BOSS 11

MY CRAZY BOSS 11

153
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

152
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

147
SHAMIRA Sehemu ya 25&26

SHAMIRA Sehemu ya 25&26

144
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

142
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

137

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.32K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.07K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.35K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! ๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 11 na 12. Mwandishi; lissa wa huru media Basi nilivyotoka pale nikaeenda kutulia sebleni rohooo yangu kwatu. Sijuh ata alimalizanaje na mwanamke wake uko. Mida ya mchana mama akaniuliza...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa โ€œ Karibu Camilla..โ€ Alikaribishwaa ndani โ€œ Asant sana ..โ€...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest