Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
26 Feb 2026
102 views
VYOTE NDANI GONGA94
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku
analia
cathe what this unafanya nini pale unaqua? why alisema mama cathe
mama nitoe hapa tafadhali mama nichukue nateswa mama napigwa mimi mama sin raha alisema cathe huku analla
kha nani anayekupiga wakati wewe ni mjamzito nani huyo alisema mama cathe kwa ukali mara akatokea mama fatuma akiwa na fatuma wametoka ndani
nimimi hapa tena nambonda kisawasawa na nitazidi kumpiga kwasababu hana adabu. nababa yake kashasema nimfundishe adabu kwahiyo ataiona cha mtema kuni lasivyo awe na
adabu alisema mama fatuma.
kwahiyo nimezaa ili nikupe umpige. ???? hivi wamama wa huku sijui mnakunywa gongo yani hujui kama ni mjamzito huyu au unajuwa kupiga tu mbona wako humpigi alisema mama cathe
sasa kwani uo unauzito yeye ndo wakwanza kushika.???? inaniusu nini mimi??? nawewe mama jiangalie karna hutaki mwanao akae hapa
kwanini ukamleta si ungemuacha tu hukohuko sikia kama wewe unajifanya kulea kishua apa tunalea ki bongo upo nyonyo alisema mama fatuma huku akinesa nesa
nyle kuweni na adabu msimdharau mama alisema calor kwa hasira sana,
we koma wewe kaa kimya sijaongea na mbwa ahapa naongea na mwenye mbwa mxieuuuu alisema mam fatuma, aiseee calor alichukia akasogea ili ampige mama fatuma
haraka wakakimbilia ndani
mbona mnakimbia sasa si mnamodo sana
chongeni alisem calor,
tutachonga tu na tunamsubiri huyo mwanao arudi ndani atakiona cha mtema kuni alisema. fatuma kwa nyodo akiwa dirishani
mama nichukue hawa wataniua alisema
cathe kwa woga sana mama cathe
hakuridhishwa na maisha anayoishi mwanae.
Ikabidi amchukue wakaondoka zao,
upande mwingine fahima alishangaa baada ya kuona wameingia katika ukumbi mzuri sana ikabidi amuulize seven kama kuna sherehe? lakini seven akasema ni harusi ya rafiki yake basi
wakafika kukaa kwenye kiti mara akaja
mdada mmoja aliyevaa nguo za muhudumu
akamuomba fahima amfuate ikabidi fahima
amfuate,
walielekea mpaka katika chumba kimoja kilichopo umo ambapo kina vipodozi kila aina, fahima alibadilishwa nguo na kuvishwa nguo nzuri sana kisha akaanza kusetiwa tena nywele
kila kitu akapambwa vizuri sana alipendeza sana
siku hiyo,
alivishwa shela kubwa sanaaa jeupe fahima
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA sehemu ya 27&28
Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo taji...
upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku
analia
cathe what this unafanya nini pale unaqua? why alisema mama cathe
mama nitoe hapa tafadhali mama nichukue nateswa mama napigwa mimi mama sin raha alisema cathe huku analla
kha nani anayekupiga wakati wewe ni mjamzito nani huyo alisema mama cathe kwa ukali mara akatokea mama fatuma akiwa na fatuma wametoka ndani
nimimi hapa tena nambonda kisawasawa na nitazidi kumpiga kwasababu hana adabu. nababa yake kashasema nimfundishe adabu kwahiyo ataiona cha mtema kuni lasivyo awe...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-sehemu-ya-34
Maoni