Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 17,18,19,20
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 17,18,19,20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.




sehemu ya 17&18
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani mm namuuliza anatoka wap saahz usiku ananijibu mm upumbavu anaichukulia powa sio nikataka kumtukana aisha akanmbia hapana achaaa mama anguu
Nikaona hamadi kakasilika akaanza kuondoka zake.na ile siku hakuwa na gar ndo mana alinikamata pumbavu uyu. Mana ningeona gari lake nje si ningegeuza na boda yangu uko uko juu kwa juu. nikajikokota nikaingia ndani mwili wote naona ganzi .nikasema aisha yule mwanume amenipiga mm jaman mh sijawah kupigwa vikaniingia hvi ana mkono mbaya apo mpka damu zinanitoka mdomoni kile kibao alichoniweka .
Aisha akaniuliza shida ni nn kwani nikasema achaa tu ikabid nimsimulie akanmbia shoga utampoteza boss uyu tulia bs na ww punguza kidogo mawenge. nikasema yani uyu simtaki kwanza ananipiga vile ataniua , na si unanijua kichwa changu .asa si atakuwa ananipiga kila siku. Aha hapana alafu umenizuia nini mimi nilitaka kumtukana mpaka ajute kunijua kwenye hii dunia.aisha akanmbia wee usimuache shoga ww muombe msamaha muyamalize pesa shoga angu ndo kila kitu, nikasema powa ntafanya tu kwa ajiri ana pesa. Ila kwa mibao aliyonitandika leo angekuwa msenge msenge mi asingeniona nakwambia yani nimemmind kweli kwel, basi aisha akanituliza sana kisha ndo tukalala iyo siku. asubuh niliamka vibaya kudadeki mwili unavuta kinoma. Yani yule msenge kama alinipiga na spana kumbe mkono. Wa kisure gani yule anapiga vile aaaah. Ila nikajikaza nikaenda kuoga vizur nilivyotoka nikanywa dawa kwanza ya kutuliza maumivu mana mwili ulikuwa umechacha kwrli kwrli. kisha nikajisikilizia kama lisaaa. Ndo nikavuta simu nikampigia hamadi wala hakupokea nilipiga sana yani sanaa hakupokea kabisaaa.

Nikamwambia aisha kuwa shoga uyu mtu hajapokea kanuna akicheka atanitafuta bwana , kweli ela naitaka asa mtu hapokei mm nimfanyaje,aisha akasema mtumie ata sms za kumbeleza utaachwa wewe. Nikasema bwana eeeh mi simsujudii akiniacha yeye napata mwengine.
Mijanaume yote ilojaaa duniani ndo anibabaishe yeye wala sio kweli. nikaachana nae nikawa naendelea na madanga yangu mengine mie. ikapita week hamadi kanuna ajanitafuta na nikamkaushia nikawa busy na madanga yangu wala sikuangaika nae kumpigia pigia mie.basi nikawa busy na madanga yangu mjini apa yananipa elfu 30. Elfu 20. Nikawa naona sielew daaah .mana hamadi alishanizoesha laki 2 laki 3 , nikaona isiwe shida nikaaanza kumpigia ila akawa hapolei ata. nikawa namtumia sana sms za kumuomba msamha.

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
πŸ€πŸ€
sehemu ya 19&20
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Siku iyo nikampigia kabisa kwa bahati akapokea shoga yenu nikaanza kujiliza et najutia niliyoyafanya .nikasema jamani hamadi nisamehe jamani tuyamalize kipenzi nimekumiss sana naomba unisamehe basi jamani.nakupenda sana mwenzio. Akaniuliza unanipemda mimi ama unapenda pesa zangu.mbona sikuelewi we demu. Yani unanichukulia mimi kama danga na wakati nilishakuelekeza kabisa aya mambo. Mbona unakuwa kama mshemzi wewe mwanamke. Ina maaana hujali chochote kuhisu upendo wangu kwako si ndio.huoni kama nakupemda shamira. Ina maana unanichukulia powa mimi si ndio. Una mdomo wa kunijibu mimi upumbavu wako shamira eeeh .nakuuliza wewe unapata wapi nguvu za kunijibu upumbavu wako.nikabako kimya. Akaniuliza unajua nna hasira sana nikiendelea kudate na wewe ntakuua na wewe inaonekana umearaya upo katika damu.kwaiyo nikaushie kabisa maraya wewe alafu wewe mwanamke wa uswahilini utanisumbua tu achana na mimi. Kisha akanikatia simu. nikasema eeh uyu kumbe ana dharau akwende uko kwani si alinikuta naishi mm.kwa nini aniite mimi mswahili .iko kigari chake ndo anajiona ndo wa maaaana
Mxiuwwwwww akwende uko 😏😏😏😏😏😏

Nikaona isiwe shida kama vip kila mtu afanye mambo yake asijione mungu bule.basi nikawa busy na mambo yangu . Aisha akaniuliza kuhusu hamadi nikasema tumeachana bwana anajishau sana .muache aende maisha yataenda tu mimi mwenyewe maskini jeuri au hunijih shoga yako. Aisha akacheka akasema sasa nisipokujua mimi atakujua nani jamani. Nakujua vizuri shoga yangu na maamuzi ni yako. Nikasema basi nami sina shida nae. Na kweli nikawa busy na mambo yangu mpaka ukapita mwezi nikahisi kabisa mimi na hamadi tumeachana complete. Mana hatukuwa tunapigiana simu wala kutumiana sms.

siku iyo mchana nimelala simu inaita nikasema danga langu gani sahizi ? nachek namba ya hamadi nikaona kakosea namba ama vp uyu mwanaume. nikapokea akanambia upo wap ww, nikasema unatka nn ? Akasema nataka tuonane mengine mimi na wewe tutaongea. Nikasema wewe unataka kuonana na mtoto wa uswahilini tena. Akasema no sikia basi kipenzi acha kuwa na maneno mengi nakuja apo sasa hivi kwako. Nikakata simu nikaanza na kucheka kwanza kujishaua kwingi kimbe mikazo zero🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.ila nilifurahi moyoni jamani nikaona yes danga lenye pesa linaludi sasa

Heeee kama daika 30 anapiga tena.nikapokea akasema sikia basi shamira toka nje mama plss tuende sehemu tukainjoy kidogo.wala sikujivunga shoga yenu na sikutaka kubembelezwa bembelezwa kama mtoto mie haraka nikatoka chumbani. Nikaenda kumsikiliza .

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 17,18,19,20





sehemu ya 17&18
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani mm namuuliza anatoka wap saahz usiku ananijibu mm upumbavu anaichukulia powa sio nikataka kumtukana aisha akanmbia hapana achaaa mama anguu
Nikaona hamadi kakasilika akaanza kuondoka zake.na ile siku hakuwa na gar ndo mana alinikamata pumbavu uyu. Mana ningeona gari lake nje si ningegeuza na boda yangu uko uko juu kwa juu. nikajikokota nikaingia ndani mwili wote naona ganzi .nikasema aisha yule mwanume amenipiga mm jaman mh sijawah kupigwa ...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-17-18-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

506
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

261
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

253
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

250
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

214
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

104
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

96
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10

91
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.

79
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*

78

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.55K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.37K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.35K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

β€œhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… β€œ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

β€œ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema β€œ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, πŸ₯° nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest