Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
Gonga94 Β· Stories

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake,

""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti

""baba yako amekuja kukuchukua cathe kama kukupenda nilikupenda pia nilikulea na nikakupa kila kitu sasa unaenda kwa baba yako rasmi, sio kwamba nakuchukia hapana nitaendelea kukupenda kama mwanangu, aliongea baba cathe kwa huzuni sana huku machozi yakimtoka alikumbuka mengi sana juu ya binti yake huyo alimpenda sana alimpa kila atakalo roho ilimuuma sana baada ya kujua kuwa sio mwanae aliumia sana.

"ulipo sitakitupa mdogo wangu "eva nitakusamehe makosa yote uliyonifanyia lakini sio kosa hili nakuapia nitakifa nakinyongo nawewe sitakusamehe eva alisema baba cathe kwa huzuni san huku akilia, simanzi na majonzi vilitawala kila moja alianza kulia kwa uchungu sana,

""mume wangu nisamehe jamani mimi" alisema mama cathe huku akilia sana

calor alimfata cathe na kumkumbatia alilia sana hakuamini kama anatengana nae alimpenda. sana mdogo wake.

"japo tunatengana lakini sitakuacha bado wewe ni mdogo wangu mama yetu mmoja nitakuwa nawewe bega kwabega sitakuacha alisema calor huku akimbembeleza cathe ambaye alikuwa analia sana

""najuta kuzaliwa mimi kaka najuta kaka naumia napitia maumivu ambayo hayaelezeki nimekosa seven nimemkosa devi nimekosa ndoa nimekosa maisha mazuri ona naenda kuishi mtaani mimi nahuyu kiumbe nitampeleka wapi kaka" alisema cathe huku analia kwelikweli,

""usijari mwanangu nitajitahidi kukulea usijari utaishi vizuri tu alisema mzee fahad, basi ikabidi mzee fahad aondoke na cathe rasmi, kuanza maisha mapya, familia hiyo iliachana

kihivyo

huku kwa mama seven alikuwa na wasiwasi sana muda wote alikuwa anazunguka zunguka muda wote

hivi hawa watoto watakuwa wapi jamanj yani sikuhizi wamefululiza sana kutoka halafu walivyokuwa washenzi hawasemi wanapoenda washenzi kweli yani kama sarafina muda wote kuzurura tu alisema mama seven huku akilalamika,

muda huohuo akaingia selina akiwa anatabasamu tu muda wote alifika na kumsalimia mama yake ""mjinga wewe ulikuwa wapi muone mikope

yake vile mibayaa" alisem mama seven

"jamani yani mama si uitikie kwanza salamu muda wote kutusema tu alisem selina

"sasa unataka usisemwe muone kwanza sura yake alisema mama seven

""mama jamani hebu niache nipumzike kwanza leo ninafuraha sana" alisema selina

***furaha gani alijliza mama seven

we si umenisema sikwambii hahahhahaha" alisema selina huku akikimbilia chumbani kwake.

**mitoto mijinga hii jamani kha alisema mama seven kisha akakaa kwenye sofa huku akipata kinywaji

muda ulienda nyumbani kwa mama fatuma alikuwa anawasha moto ia aanze kupita matembele ya usiku, mara akatoka fatuma ndani akiwa amenuna sana

""mama Ina sasa hivi sina simu sasa angalia saidi nitampataje wakati aliniambia ikifika saa kumi nimpigie anitumie ela alisema fatuma

""bwana weee toka hapa usinipigie kelele mie kama alitaka kukupa ela siangekupa pale pale umalaya tu ndo unakusumbua sasa ngoja ubebe mimba hapa alafu nitakuonyesha ubabe unaitwaje alisema mama fatuma huku akiendelwa kuwasha moto

muda huohuo akaingia mzee fahad akiwa ameongozana na cathe pamoja na calor, mama fatuma alishanhaa sana ikabidi asimame awatizame vizuri, hakuwafahamu kabisa japo aliwatazama

cathe huyu ndio mama yako wa kufikia nina mwanangu mwingine ambaye wa kwanz akitoka yeye ndio wewe, lakini yeye kuna sehemu yupo nitakupeleka kesho, alisema baba fahima kisha akamgeukia mama fatuma

""mama fatuma huyu ni mwanangu ambaye huwa natembeaga na picha yake nimempata hivi majuzi tu atakuwa hapa siku zote mlee mpende kama unavompenda fatuma, sitaki fujo naomba muishi vizuri alisema baba fahima, mama fatuma alibaki tu kushangaa sana hakutegemea kama mzee fahad atakuwa na mtoto mwingine

sasa mume wangu mbona mambo mengine hatushirikiani unanishtukiza tu lakini alisema amma fatuma kwa kulalamika

""mimi mwenyewe nimempata jana kwahiyo tusilaumiane kwanza niacheni nimechoka nataka kupumzika fatuma mpeleke mwenzio chumbani calor karibu sana hapa ndio nyumbani alisema mzee fahad

""asante baba alijibu calor, basi cathe akapelekwa ndani, muda wote alikuwa anabinua midomo tu hakupapenda mahali hapo hata kidogo

yani hapa ndo niweke begi langu kha si litachafuka alisema cathe kwa dharau, kauli hiyo ilimchekesha sana fatuma akaanza kucheka....

""sasa kama ungetaka usichafuke si ungebaki hukohuko peponi kwenu binti ukijaa hapa uwe na adambu lasivyo utanyooka mxiueeeeee" alisema fatuma kisha akatoka ndani humo huku anacheka sana

upande wa seven na fahima ilikuwa shida sana muda wote walikuwa wanabisha tu fahima hakutaka akae mbali na seven hata kwa sekunde

""nimesema hapa hutoki alisema fahima

""sasa mke wngu jamani ah" alisema seven kwa kuchukia

""bado eee tamka hadi iiii lakini hapa hutoki" alisema fahima huku akiizungusha funguo ya mlango,

""ila hako katoto kataninyoosha kwakweli" alisema seven mara hapohapo simu yake iliita alishangaa sana kauona mpigaji ni cathe

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*



cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake,

""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti

""baba yako amekuja kukuchukua cathe kama kukupenda nilikupenda pia nilikulea na nikakupa kila kitu sasa unaenda kwa baba yako rasmi, sio kwamba nakuchukia hapana nitaendelea kukupenda kama mwanangu, aliongea baba cathe kwa huzuni sana huku machozi yakimtoka alikumbuka mengi sana juu ya binti yake huyo alimpenda sana alimpa kila atakalo roho ilimuuma sana baada ya kujua kuwa sio mwanae aliumia sana.

"ulipo sitakitupa mdogo wangu "eva nitakusamehe makosa yote uliyonifanyia lakini sio kosa hili nakuapia nitakifa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-sehemu-ya-ishirini-na-nane

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-sehemu-ya-ishirini-na-nane
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

497
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

338
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

236
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

216
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

213
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

177
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

160
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

116
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

107
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

98

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest