Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
Gonga94 Β· Stories

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



SEHEMU YA 1
ANZA NAYO SASA.......

Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi

Jamni sipo hapa kukufanya ujisikie vibaya au labda kuharibu kazi ya mtu, ila nipo hapa kukuambia kile ambacho kimenitokea mmi, unajua bwana unapotafuta mfanyakazi wa ndani

Unatakiwa ujue anapotokea, yani namaanisha mahali anapoishi wazazi wake, familia yake na yeye mwenyewe umjue ki undani ndio umuajiri kama mfanyakazi wako

Na sio unakurupuka kuajiri bila kujua anatokea wapi na ni mtu wa aina gani, guys mimi kama mimi naweza kusema kiherehere cha kuajiri dada wa kazi ndio kiliniponza

Kiherehere ambacho baadae nilikuja kujutia kabisa, na kuhaidi siku nyingine nijifunze kuchunguza kabla ya kukaribisha nyumbani kwangu, na nikaona sio mbaya kama nitawajuza

Na wanawake wenzangu ili na wao yasije kuwakuta kama yalivyonikuta mimi.....

jina langu kamili ni magreth lakini wengi wamezoea kuniita Maggie ikiwa ni kifupi cha jina langu, yes Maggie ndio jina ninalolikubali sana

Sasa Maggie mimi ni mwalimu wa shule za primary, ni miaka kama miwili toka niajiliwe na selikari, ukiachana na hayo nina mume na mtoto mmoja mdogo sana.

Yani ninaposema mdogo, muelewe, binti yangu ni mtoto wa miezi miwili yani bado mchanga hata mwili haujakaza vizuri, binti yangu anitwa princess.

Sasa bana ni miezi miwili toka nijifungue na ninaishi dar na familia yangu ipo huko kijijini kabisa, na kwa maisha ninayoishi na mume wangu sio ya kipato kikubwa sana

Lakini namshukuru mungu maisha yanatuendea vizuri kabisa, sasa tangu nijifungue nimekuwa nikifanya kazi mwenyewe hii ni kwa sababu ya kutokuwa na ndugu wa karibu

Wa kuja kuniangalia kipindi chote cha uzazi, so nikawa nafanya kazi hivyo hivyo ingawa nilikuwa baado sijaruhusiwa kufanya kazi, ila nilijikaza tu

Maana kama ningekaa tu ningejilemaza vibaya, so nikawa napiga kazi...

Basi siku nazo zikawa zinakimbia siku moja nilikuwa nafua fua vi nguo vya mtoto simu yangu ikaiita kwa wakati huo nilikuwa namiliki smart awee

Basi ninaichukua na kutazama mpigaji kwenye kioo cha screen, mpigaji alikuwa ni mama yangu basi nkampokelea

"Hello mama.."

"Maggie habari za huko...??"

"Salama, mama shkamoo..??"

"Marhabaa vipi hali, na mjukuu wangu anendeleaje..??"

"Naendelea vizuri ila ndio hivyo mama bado nina bleed sana sijui shida nini.."

Nilijieleza, jamani ni miezi miwili toka nijifungue lakini nina bleed tu jambo ambalo linanipa wasiwasi sana, so ikabidi nimwambie mama yangu maana yeye ni mtu mzima na hayo mambo anayajua vizuri kabisa.

"Kwani unajikanda vizuri kabisa..??"

Mama aliniuliza

"Aaah huo muda wa kujikanda nautoa wapi mama angu, maana kila muda kazi zimenibana walah..."

"Dah pole sana kama ningekuwa na nauli ya kuja ningekuja ila sasa sina na shambani mazao yamekauka natakiwa kuvuna so binti hakikisha unajikanda na maji ya moto, ili uchafu wote utoke kwani huna hata mdada wa kukusaidia kazi...??"

Mama aliniuliza

"Ah mama bwana, sasa mdada namtolea wapi harafu mdada wa kazi gani sasa..."

"Maggie saivi una majukumu mengi hapo unavyoona mtoto umuhudumie haya sijui huko shule utakuwa unaenda na mtoto, bado hujapika sijui mambo mengine utaweza kweli..."

"Kwani unataka kusemaje mama..??"

Nilimuuuliza

"Ushauri wangu tafuta mdada wa kazi awe anakusaidia mambo madogo madogo, ni hilo tu.."

"Dah sawa mama basi mume akirudi nitaongea nae kama akikubali nitalifanyia kazi mara moj.."

"Ooho sawa, msalimie na huyo mjukuu.."

"Salamu zimeshafika mama..."

"Sawa hakikisha unafanya kama nilivyokwambia yani ujikande na maji ya moto..."

"Sawa mama..."

Basi mama akakata simu, nikaendelea na kufua, lakini akili yangu ilikuwa imebadilika kabisa kila muda nikaanza kumuwaza mdada wa kazi namna atakavyokuwa ananisaidia kazi

Basi nikafanya kazi kutwa nzima, princess alikuwa amelala so hakuwa akinisumbua, basi nikafanya yale yote mama aliyoniambia nikajikanda karibia lisaa limoja then nikatoka

Majira ya usiku mume wangu aliweza kurudi kutoka huko kwenye majukumu yake, baada ya kila kitu niliweza kumwambia mume wangu kuhusu suala la kuleta dada wa kazi..

"Babe, kuna kitu nataka kukwambia.."

Nilianzisha mazungumzo

"Ni kigu gani..??"

Mume wangu aliniuliza

"Ah ni kuhusu kuleta mdada wa kazi, maana kama unavyoona hapa kazi zimenielemea sana mume wangu.."

Nililijeleza

"Wazo zuri, lakini hakikisha unakuwa makini tu.."

Alisema mume wanngu, basi upande wanngu nilikuwa nafuraha sana kuniuliza sababu ya furaha nitakujibu kuwa ni mdada wa kazi

Basi baada ya maongezi mafupi na mume wangu tuliingia kulalaa, na muda wote huo sikuwa nawaza kabisa kama mume wangu ameniambia niwe makini.....

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 2
SONGA NAYO SASA.......

Na hatimae siku nyingine ikashika nafasi, niliamka na kuangaza chumba chote sikumuona mume wangu nilijua tu ameenda kazini

Basi nikanyanyuka na kumuangalia princess wangu πŸ₯° baada ya hapo nikashuka mpaka sebleni, baada ya kufika sebleni nilikuta mume wangu akiwa ameniandalia kifungua kinywa

Ni kawaida yake kila akiondoka kwenda kazini lazima anaiandalie chai mama watoto wake, ni maamuzi yake binfsi msije mkasema namtumikisha mikazi

Wala sina hiyo tabia but ni mapenzi tu aliyonayo mume wangu juu yangu, na ukiangalia kwa wakati huu kazi ambavyo zenibana so lazima anisaidie bwana.

Basi mtoto wa kike nikasogea mezani ilikuwa ni majira ya saa tatu na niliamka na njaa sana so ikabidi nipashe kwanza utumbo harafu mambo mengine yafuate

Basi nilikunywa chai pale huku nikipekua pekua simu yangu huko online, nikiwa napekua pekea ndio nikakumbuka kuhusu mdada wa kazi ikabidi nimpigie mama yangu simu kumjuza

Kweli baada ya dakika moja simu yangu ilipokelewa nikaanza kuongea na mama yangu maneno mawili matatu hivi

"Mama, mkwe wako amekubali nilete mdada wa kazi sasa hata sijui huyo mdada namtolea wapi...??"

Nilimwambia mama

"Kwamba hujui wanapotafutwa au..??"

"Aah mama sio hivyo, huo muda wa kutoka hapa na kutafuta ndio sina kabisa maana mtoto bado mdogo sana kuanza kutembea naye itakuwa hatari.."

"Basi sawa, wacha nifanye mchakato huku nikipata nitakujuza.."

Mama aliniambia

"Sawa mama..."

Basi tuliagana na mama kisha nikakata simu, na kuendelea kunywa chai baada ya kumaliza kunywa chai nilielekea chumbani kwangu na kumkuta binti yangu bado kalala

Ikabidi nimufanyie usafi hivyo hivyo na usingizi wake, basi nilimuandaa vizuri kabisa kisha nikamrudisha akaendelea kulala, kisha nikaingia jikoni na kuandaa chakula laini

Ambacho wanatumia akina mama ambao wametoka kujifungu, basi ninapika pale chakula kikaiva, ninakiweka kwa hotpot kisha nikaelekea chumbani

Kumuchungulia princess kama atakuwa ameamka, nikamkuta bwana amelala, nikachukua nguo chafu na kwenda kuzifua kwenye machine

Nililifika na kuziweka kwenye machine nikaweka na sabuni ya maji kisha nikafunika na kuondoka, nikaendelea na kazi zingine

Baada ya nusu saa nikarudi na kwenda kuzitoa nguo kweny machine nikazisuuza na maji safi nikaanika kwenye kamba, baada ya kila kitu bila kusahau usafi wa vyombo na mwili

Nilikuwa nimechoka sana hivyo niliingia chumbani kupumzika, majira ya saa nane simu yangu iliita na mpigaji alikuwa mama

Nikampokelea bila shaka alikuwa akinipa taarifa za mdada wa kazi

"Hello mama.. "

"Acha maneno mengi, huyo mfanyakazi unayemtafuta amepatikana ila anauliza mshahara ni bei gani kwa mwezi..??"

Mama aliniuliza nikafikiria kisha nikamjibu

"Mama we mwambie tu aje, but sijajua kwa saivi maana kazi za hapa sio ngumu ki vile maana kama kufua ni kutumia machine vile vile kudeki nyumba napo kwa vifaa maalumu sio kuinama kabisa, labda kwenye kuosha vyombo na kupika

Lakini napo chakula hakina ugumu wa kupika we ongea nae mwambie maisha ya huko sio kama huku ila hakikisha unamwammbia msharaha tutakuja kuongea baada ya yeye kufika huku..."

"Sawa lakini anataka kujua mshahara..."

"Eeh jamani we mwambie kuw tutakuja kuongea huku, pia kuhusu nauli ni juu yangu we ongea nae vizuri akuelewe basi.."

"Sawa mama princess..."

Basi mama akakata simu, nikashusha pumzi ndefu, walah kuna watu wagumu kuelewa kabisa, basi siku hiyo sikuwa na kazi sana maana kazi zingine alinisaidia mume wangu

Muda ulienda ilipofika saa kumi na mbili siku hii mume wangu aliwahi kurudi nyumbani, nikiwa kama mke na mama wa familia nilifanya majuku yote kwa mume wangu kwa kumuandalia chakula anachokipenda

Naona mnawaza vibaya, namaanisha chakula na sio uzinifu πŸ˜‚ maana wabongo bana dah akili zenu mnazijua wenyewe, yani nimpe na huku mnaona niko bleed kweli?? Acheni kuwaza vibaya

Basi bwana wakati yote hayo yanaendelea mume wangu alikuwa na mtoto wake anaongea ongea mengine hata hayaeleweki kabisa ili mradi tu mtoto atabasamu basi πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

"Mama p umefikia wapi kuhusu mdada wa kazi.."

Nikiwa naandaa chakula mume wangu aliniuliza, ikabidi nikae kwanza kisha nikamtazama usoni na kuzungumza

"Mume wangu, nimeongea na mama na ameniambia atanitafutia binti mmoja huko kijijini, sasa ndio yupo kwenye mkakati wa kuongea bei maana leo alinipigia na kuniambia ameshapatikana

Shida ni bei gani ya kuwa tunamlipa.."

"Kwahiyo umeshamwambia bei..??"

"Hapana maana kazi za hapa sio ngumu sana so nimeona akija ndio tutaongea vizuri..."

"Sawa lakini unazijua tabia za huyo binti yani yupoje yupoje ki tabia.."

Aliniuliza mume wangu, kwa kweli hili swali lilikuwa gumu sana maana hata tabia na mienendo ya huyo binti siijui kabisa

"Ah kwa kweli sifahamu kabisa tabia zake.."

"Sawa, ila nikuambie tu mshahara utakaomlipa huyo binti ni kuanzia 30 mpaka 60, maana kama ambavyo umesema kazi sio ngumu itabidi achukue kwenye hizo pesa amabzo nimetaja so utachagua wewe achukue 40, au 50..."

Mume wangu alizungumza, nilichofanya ni kumuitikia sawa, basi nikampakulia chakula tukala pale na kwenda kupumzika,....

ITAENDELEA.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2




SEHEMU YA 1
ANZA NAYO SASA.......

Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi

Jamni sipo hapa kukufanya ujisikie vibaya au labda kuharibu kazi ya mtu, ila nipo hapa kukuambia kile ambacho kimenitokea mmi, unajua bwana unapotafuta mfanyakazi wa ndani

Unatakiwa ujue anapotokea, yani namaanisha mahali anapoishi wazazi wake, familia yake na yeye mwenyewe umjue ki undani ndio umuajiri kama mfanyakazi wako

Na sio unakurupuka kuajiri bila kujua anatokea wapi na ni mtu wa aina gani, guys mimi kama mimi naweza kusema kiherehere cha kuajiri dada wa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nililetewa-mfanyakazi-kutoka-kijijini-1-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nililetewa-mfanyakazi-kutoka-kijijini
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

497
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

338
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

236
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

216
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

213
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

177
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

160
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

116
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

107
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

98

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest