VYOTE NDANI GONGA94
Je wajua Joseph Ogolan Olita muigizaji kutoka Kenya ndiye aliyecheza Uhusika wa Idd Amin dada katika filamu ya The Rise and Fall of Idd Amin ya mwaka 1981 na Mississippi Masala ya mwaka 1991
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ambayo aliigiza sambamba na staa mkubwa Denzel Washington Joseph alikuwa anamjua Idd Amin kwa kiasi alichofanya ni kujifunza kuhusu Idd Amin kusoma vitabu,majarida na magazeti ili aweze kuvaa uhusika wake vizurii pamoja na kutazama video kunakili tabia na mwenendo wake mwaka 1976 aliikosa nafasi hiyo akafanikiwa mwaka 1981 filamu hiyo iliwahi kuchukua tuzo Tano ingawa Olita hakupata hata tuzo Moja ikiwemo ya Oscar alinukukiwa akisema "alichokifanya Forest Whitaker na yeye hakina utofauti wazungu wanataka kutengeneza staa wao wenyewe" Forest Whitaker muigizaji kutoka Hollywood ambaye alicheza uhusika wa Idd Amin ktk filamu ya The Last King of Scotland ya mwaka 2006 filamu hiyo ilimpa tuzo ya Oscar Olita alifariki mwaka 2014 Mdau kama umeziona filamu zote hizo nani alifanya vizuri baina ya waigizaji hao
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi je-wajua-joseph-ogolan-olita-muigizaji-kutoka-kenya-ndiye-aliyecheza-uhusika-wa-idd-amin-dada-katika