Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
27 Jan 2026
91 views
VYOTE NDANI GONGA94
SULTANAT ndiyo filamu ya kwanza kuwakutanisha wawili hawa mwaka 1986, ndani humo kukiwa na Sunny Deol, Dharmendra na Amrish Puri
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.
Juhi Chawla ndiyo ulikuwa mwaka wa mwanzo ndani ya Bollywood, hii ndiyo filamu yake ya kwanza na akaja kuendelea na nyingine mwishowe ikawa ni historia aliyoiweka na bado anaiendeleza ndani ya Bollywood.
Karan Kapoor ambaye hakutokea kwenye filamu nyingi, akiwepo kwenye hii na Loha na chache zingine. Huyu ni kutoka familia ya Kapoor yenye waigizaji wengi, mtoto wa Shashi Kapoor na mkewe Jennifer ambaye ni mwingereza. Aliachana na uigizaji na amejikita kwenye upigaji picha akiishi Uingereza. Bado ana ukaribu sana na ndugu zake Kunal Kapoor na Sanjana Kapoor, pamoja na binamu yake Randhir na hata wapwa kina Kareena, Karisma na wengineo.
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
SULTANAT ndiyo filamu ya kwanza kuwakutanisha wawili hawa mwaka 1986, ndani humo kukiwa na Sunny Deol, Dharmendra na Amrish Puri
.
Juhi Chawla ndiyo ulikuwa mwaka wa mwanzo ndani ya Bollywood, hii ndiyo filamu yake ya kwanza na akaja kuendelea na nyingine mwishowe ikawa ni historia aliyoiweka na bado anaiendeleza ndani ya Bollywood.
Karan Kapoor ambaye hakutokea kwenye filamu nyingi, akiwepo kwenye hii na Loha na chache zingine. Huyu ni kutoka familia ya Kapoor yenye waigizaji wengi, mtoto wa Shashi Kapoor na mkewe Jennifer ambaye ni mwingereza. Aliachana na uigizaji na amejikita kwenye upigaji picha akiishi Uingereza. Bado ana ukaribu sana na ndugu zake Kunal Kapoor na Sanjana Kapoor, pamoja na binamu yake Randhir na hata...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sultanat-ndiyo-filamu-ya-kwanza-kuwakutanisha-wawili-hawa-mwaka-1986-ndani-humo-kukiwa-na-sunny-deol
Maoni