Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
Gonga94 · Stories

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga

Kidato cha nne pia alihitimu Tosamaganga 2003, inaelezwa alipata division 1.14 akiwa na alama A katika Physics na Chemistry pamoja na B katika Mathematics na Biology, hivyo matokeo yake Kidato cha nne japo alifanya vizuri lakini wengi hawakumtarajia sana kama angekuja kushika nafasi ya Kwanza kitaifa form 6 kwa kupata alama za juu zaidi

Baada ya form six alijiunga na University Of Dar es salaam(UDSM) alichukua BSc In Telecommunication Engineering(4yrs) lakini ikiwa imebaki miezi michache kabla hajahitimu inaelezwa ali-disco katika hali ambayo imewaacha wengi na maswali vichwani

Hata hivyo, mitandaoni wengi waliosoma michepuo ya PCM na PCB wanamsifu sana Elias Kihombo kwamba alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufundisha hasa Physics hata maswali magumu yaliyo watatiza wengi bila yeye kushika kitabu. Ali-solve maswali Kwa njia wanayojua wengi kisha wanasema alikuwa akitumia njia nyingine kama tano wasizozijua au za kwake halafu jibu linakuja lilelile

Elias Kihombo alizunguka katika shule nyingi kongwe na maarufu za secondary zenye wanafunzi wanaotajwa kuwa na vipaji maalum aliwasaidia, alijaza watu wengi sana katika tuitions zake wanafunzi waliambiana akija wasikose kwenda. Imeeleza hata kabla hajahitimu degree yake ya kwanza tayari alitunga vitabu vyake vya Physics ambavyo viliuzika sana

Baada ya ku-disco UDSM, inaelezwa takribani miaka nane baadaye alirudi tena kuanza upya kusoma BSc In Petroleum Engineering ila kabla ya kuhitimu alifar!ki dunia 2020

Kwa siku kadhaa sasa, mitandaoni Elias Kihombo posts kumhusu zinasambaa sana wengi waliopitia mikononi mwake katika somo la Physics wakimtaja kwamba bila shaka yeye ndie Tanzania One maarufu zaidi na genius zaidi kuwahi kutokea Bongo. Inaelezwa shule nyingi za secondary zilitaka kumpa ajira ya kudumu kufundisha ila alikataa ili kufanya ziara zake za kufundisha tuition shule mbalimbali nchini

Nini mtazamo wako, kuna T.O mwingine mkali zaidi kumzidi Elias Kihombo?

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga

Kidato cha nne pia alihitimu Tosamaganga 2003, inaelezwa alipata division 1.14 akiwa na alama A katika Physics na Chemistry pamoja na B katika Mathematics na Biology, hivyo matokeo yake Kidato cha nne japo alifanya vizuri lakini wengi hawakumtarajia sana kama angekuja kushika nafasi ya Kwanza kitaifa form 6 kwa kupata alama za juu zaidi

Baada ya form six alijiunga na University Of Dar es salaam(UDSM) alichukua BSc In Telecommunication Engineering(4yrs) lakini ikiwa imebaki...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/alishika-namba-1-kitaifa-matokeo-ya-mitihani-kidato-cha-sita-mwaka-2006-elias-kihombo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi alishika-namba
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

587
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

279
*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

255
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

233
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

121
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

117
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

113
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

113
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10

101
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*

88

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.06K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.37K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY 🦋 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa “ Karibu Camilla..” Alikaribishwaa ndani “ Asant sana ..”...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini* Post Mpya
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
@majario LIVE

Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini. "Kweli Enzo...

SHAMIRA 21,22,23,24 Post Mpya
SHAMIRA 21,22,23,24
@majario LIVE

sehemu ya 21&22 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafungua mlango wa gari nikaingia ndani akasema vp mamy .nikasema powa najifanya nimenuna nakwambia ahh wap uongo mtupu😂. Akanambia shamira unajua...

SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest