BLACK BUTTERFLY π¦ 2
By Babie Love
Tsap 0742133100
ENDELEA
Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa
β Karibu Camilla..β
Alikaribishwaa ndani
β Asant sana ..β
Camilla aliingia ndani huku akitazama tazama ile nyumba akauliza
β Unaishii na mwenyew hapa?!?β
β Ndio karibu kuwa huru Camilla Niko mwenyew..β huyu kijana alionekana dhahili kumtamani sana Camilla na jinsi alivyovaa alitamanisha hasa
Camilla alikaa kwenye sofa huku mguu mmoja akiweka juu ya mwenzie na kufanya mapaja yake meupe kuwa wazi mno
Ndipo yule kijana akamsogelea zaid huku akimwambia
β Camilla unajua ... unajua ni muda sana...β
β Hebu ngoja kwanzaa Mbona unanisogelea hivyo na hata ulichoniitia hujasema tatz nn?!?!β
β Camilla...aaah..β
β Kelvin hebu niachee ..β
Camilla alijua dhamira kelvin na kutaka kujinasua ila tayari kelvin alishatawala mwili mwake hususan kwenye lips zakee na kumfanya nae aamkwe na hisia na ku kubaliana na kelvin na kufanya kufanya tendo lile wakiwa pale pale seblen .
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Brayton huku hotelini Bado alikuwa akipata unywaji taratibu huku akimfikiria Camilla kichwani mwake ndipo mlango ulipogongwaa
Brayton akiwa anayumba yumba maana alikunywa takriban chupa kadhaa Tangu mchna yupo pale na sasa inaenda saa 4 usiku Camilla hajarudi
Brayton akafungua mlango na kukutana na muhudumu mmoja
β Samahan mkuu muda umepita tunahitaji chumba kwaajili ya matumizi mengine tafadhal..β
Brayton akahisi hajasikia vizur ndipo akaulizaa
β Kwani siwez lala maana namsubir mpenz wangu atawahi kurudi s muda ..β
β Hapana kaka tunahitaji chumba na bill ni hii hapaa..β
β Bill tena?!?! β
β Ndio bill....β
β Okay nitalipa nipeni dakika 5 nijiandae..β
β Okay..β
Brayton akiwa kichwani na pombe ndipo akaanzaa kufanya malipo kupitia simu yake kisha akachukua begi lake na kutoka nje ya chumba hicho huku akiyumba yumba sana huku akijiuliza kwanini Camilla anamfanyia vile bila kupata jibu
Ukweli ni kwamba Camilla hakutaka kabisa brayton ajue kama ile hoteli ni yake ndio maana Ali tuma mfanyakaz akamtoe Brayton mule ndani .
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Brayton alifanikiwaa kushuka mpaka chini kupitia lift ndipo alipofika mapokezi na kutaka kuuliza jambo ila hakuweza na ghafla alianzaa kutapika hovyo
β Wee kaka vipi ? Walinzi tafadhal njooni mtoe huyuu β alifoka yule secretary na kufanya wafanyakazi wengine waanze kujaa palee
Mariana hakujua lolote ndipo akaulizaa
β Kuna nini ?!?!..β
β Hata sijui twendee..β
Mariana ikabidi aendee kujionea ndipo alipomkuta Brayton akiwa sakafuni akitapika na kukosa pumzi sasa pamoja na hayo walinzi walimfata na kutaka kumtoa nje ..
Mariana alistuka na kumkimbilia pale huku akiwaambia wale walinzi
β Muacheni tafadhal anaumwa huyu nyie hamumuoni huyu!?!?β
β Madam Camilla katoa maagizo atolewe hapa vipi wewe?!?β Alisema secretary
β Sawaa lakini kuweni na utu hata kidgo basi anaumwa huyu hafanyi kusudi Jaman...!!!β Mariana alizidi kumtetea Brayton ambae muda huo alikuwa akitafuta pumzi kwa lazima
β Hii ni Amri ya Camilla mwenyew..β
β Sawa lakini ata kufa hapa na hii hoteli itakuwa Na hali gani kama sio kufunguliwa kesi ya mauaji?!? Eeh kwa maana Hiyo itafugwa na nyie nyote itakuwa hamna kazi kwa uzembee wenu ..β
Wote walibaki kutazamana maana hakika ilikuwa taharuki pale ila Mariana hakupoteza muda alitoa simu yake na kuita gari ya wagonjwa huku Brayton akiwa mikononi kwa Mariana hata hakujali kutapika kwakee hakujali kabisa
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Camilla baada ya ku maliza mambo yake na kelvin walitulia wakipata kinywaji pamoja
β Unajua kelvin sikutegemea kama itakuwa hivi kwanini imekuwa hivi et?!?β Aliulizaa Camilla
β Camilla unajua kabisa ninavyo kupenda mimi na hii siku nilikuwa naomba kila siku ila natumai nimekupata mrembo...β alisema kelvin huku akichukua mkono wa Camilla na kuubusu kidogo
Camilla Ali tabasam na kusema
β Mjinga wee unaniingia moyoni taratibu ila vipi kile tulichokipanga sasa tusijisahau sana maana mtu mwenyew karudi leo unajua ...β
β Nikweli hilo la muhimu sana tu muache kama mwezi hivi ila Camilla naomba sana Linda penzi langu maana brayton ni mwanaume kamili yule ...β
Camilla alitabasamu kisha akasema
β Unajua Brayton tatizo lake moja hana muonekano wa kiume yani yeye yupo yupo tyu hicho kinanichosha sana ni hizo pesa zake Ndio kinamsaidia na kujifanya ana mapenzi ya dhat sasa mmmh ..β
Wote walicheka wakipeana cheers π₯
β Ila nini Camilla Nakupenda sana mrembo wangu naogopa Brayton atanipokonya penzi langu kwako...β
βHapana wew niache kete mimi nitajua vipi naichezeshaa usijali ..β
Walikumbatiana ndipo kelvin akamuulizaa
β Camilla nikuulize kitu ?!?β
β Yeah ...β
β Kwanini umenikubali haraka hivyo na kumtenga Brayton?!?!β
Camilla Ali tabasam kisha akanyanyuka huku akisema
β Nipe miezi kadhaa nitakujibu swali lako ..β
Kelvin alifurahi mno kupata penzi la Camilla mdada matata sana ila kwake imekuwa rahisi mno .
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Gari la wagonjwa lilifika kwa wakati tayari Brayton alichukuliwa na kupelekwa Hospitali na Mariana akiwa pemben yakee
Brayton alihudumiwa kwa haraka haraka mno huku Mariana akiwa nje akisubiri majibu yakee ndipo alipotokaa Doctor haraka alimfata na kumuulizaa
β Vipi anaendeleaje?!?β
β Aaah hajambo ila ni tatizo lake Ndio maana ilimsababishia hali ile ..β
Mariana alistuka kusikia tatizo ndipo akauuliza
β Tatizo gani?!?β
β Kwani wew ni nani yake?!?β
Mariana alifikiria kwa muda kisha akasema
β Ni rafik yake tu ..β
β Ooho basi ugonjwa wa mtu ni siri hivyo jua ana hali nzur sasa s muda unaenda kumuona ..β
β Asante Doctor nashukuru sana ..β
β Karibu sana..β
Mariana alishusha pumzi ndipo simu yake ilipoita na kukuta ni Isabel anapiga
β Hallo mdogo angu ?!?.β
β Dada umekataa kunifata shule na Bado umechelewa kufika nyumbani..β
β aaaha Najua ndugu yangu ila kuna dharura Niko Hospitali ila narudi s muda Isabel Oky?!?β
Kama kawaida Isabel Ndio wa kwanzaa kukataa simu hakupenda kabisa na hilo Mariana alijua kabisa kama ndugu yake hapendi
Hivyo alikwenda kumuona Brayton ambae bado alikuwa hajaamka kisha akatoka nje ya Hospitali Hiyo na kukodi taxs akarudi nyumbani kwao anapoishi na mdogo wake
Ndipo alipokutanana na mama mwenye nyumba mlangoni alistuka maana aliahidi week hii atalipa na hakufanya hivyo
β Unastuka nini?!?β Mama mwenye nyumba aliulizaa
β Hapana ila najitahidi nitakupatia siko Sawa sasa hivi ..β alijitetea mariana huku akimtazama mdogo wake ambae alikuwa kwa dirishan akimuangalia
Yule mama mwenye nyumba hakujibu kitu zaidi Ali ondoka zakee na kumfanya Mariana kufungua mlango na ku ingia ndani
β Dada kwanini humlipi huyu mama kila siku anakuja Piga kelele hapa...!??β Aliuliza Isabel
β Isabel unachotakiwa kuzingatia sasa hivi ni masomo yako Haya mengine mimi nitashuhulikia Okay!?!? Haya kajisomee chumbani kwako...β
Mariana alimuondoa mdogo wake kwasababu kichwa chake kinataka kupasuka mambo ni meng mshahara anaopata anategemea ada ya Isabel matumizi ya nyumban pale kodi hapo hapo anajikuta pesa haitoshi kabisa na Ndio maana yanatokea Haya
Mariana aliumiza kichwa maana wazazi wao walitangulia kufa Bado mapema mno na kumuachia mdogo wake yeye kama mama na baba kwa pamoja ila alijipa moyo na kunyanyuka tena
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Palipokucha asubh Brayton Ali pata fahamu na kujikuta yupo Hospitali
β Umeamkaa...!?!?β Aliuliza Doctor na kumfanya Brayton akae kitako Huku akitaka kutoa oxygen aliyowekewaa kwaajili ya kumsaidia kupumua
β Unatoa Hiyo sasa unajisikia vizur eeh?!β Aliongea Doctor huku akimuweka sawaa inaonyesha wanajuana sana
β Kimetokea nini?!?β Aliuliza Brayton
β Brayton nini kimetokea utakuja kufa nilishakwambia usinywe pombe kali kupitilizaa unaona sasa na stress zako zimepelekea pumu yako kupanda juu kidogo upoteze maisha...β Doctor aliuelezea kidogo na kumfanya Brayton akumbuke sasa
β Daaah ilikuwa mbaya sana ..β
Doctor alimsikitikia kisha akamuuliza
β Sitaki kuamini ni Camilla tena!?!β Aliuliza Doctor
Brayton alibaki kumtazama tu Doctor hakujua cha kusema
β Eeeh atakuua huyo mwanamke nakwambiya laiti baba ako angekuwepo sidhani kama ungekuwa hivii kijana badilikaa...β
Doctor baada ya kusema hivyo alitoka na kumuacha Brayton pekee yakee
Itaendeleaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni