Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
20 Sep 2025
25 views
VYOTE NDANI GONGA94
HUYU Ndio KOBOKO au Kwa jina la KINYATURU ni BLACK MAMBA.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sifa ya Black mamba
Ni aibu dhidi ya binadamu,huwakwepa sana asikumbane nao
Ila akibananishwa kwenye kona,akaona hakuna namna
Anakuwa hatari sana huyu NYOKA anaweza kukugonga mfululizo,
Kingine anaweza kusimama robo tatu ya mwili wake jambo hata
Kobra haliwezi.....
Akishasimama hupendelea agonge maeneo ya kichwani....
KIUFUPI
Kama huu muziki hauwezi kuucheza,
Usikamate fimbo kuingia ulingoni naye maana ana speed sana.
Ndio nyoka pekee
Anayeongoza kwa idadi kubwa ya kufanya mauaji
Ndani ya bara la Afrika,Hasa katika maeneo
Wanaopatikana kwa wingi.
Ukali wa sumu yake
Unampatia urihisi wa kuyafanya mawindo yapooze kiurahisi kama panya,
Ndani ya Nusu saa,usipopatiwa matibabu ya kuondoa sumu punde uumwapo naye basi unapoteza maisha
HUYU
Ndio KOBOKO au Kwa jina la KINYATURU ni BLACK MAMBA.
Kama hujiamini katika uwezo kumuua,
Na pia huamini katika uwezo wa kutulia kabisa
Basi kimbia mpaka uwezo wako wa mwisho kuponya roho yako
Dhidi ya huyu Angel of death.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajib...
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
, nilipokutana macho kwa macho na mjomba niliganda nikiwa nimetoa macho, kisha nilisimama juu na kumuita: "Mjomba! ...
*NI WANGU PEKEANGU* *________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Erica ni binti wa mwisho katika familia yenye watoto wanne kaka watatu na yeye ndio dada pekee
, alikuwa ni mwanamitindo anae fanya kazi zake nchi mbali mbali alikuwa na furaha sana akiwa na kazi zake za urembo, kak...
HUYU Ndio KOBOKO au Kwa jina la KINYATURU ni BLACK MAMBA.
Sifa ya Black mamba
Ni aibu dhidi ya binadamu,huwakwepa sana asikumbane nao
Ila akibananishwa kwenye kona,akaona hakuna namna
Anakuwa hatari sana huyu NYOKA anaweza kukugonga mfululizo,
Kingine anaweza kusimama robo tatu ya mwili wake jambo hata
Kobra haliwezi.....
Akishasimama hupendelea agonge maeneo ya kichwani....
KIUFUPI
Kama huu muziki hauwezi kuucheza,
Usikamate fimbo kuingia ulingoni naye maana ana speed sana.
Ndio nyoka pekee
Anayeongoza kwa idadi kubwa ya kufanya mauaji
Ndani ya bara la Afrika,Hasa katika maeneo
Wanaopatikana kwa wingi.
Ukali wa sumu yake
Unampatia urihisi wa kuyafanya mawindo yapooze kiurahisi kama panya,
Ndani ya Nusu saa,usipopatiwa matibabu ya kuondoa sumu punde uumwapo naye basi unapoteza maisha
HUYU
Ndio KOBOKO...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/huyu-ndio-koboko-au-kwa-jina-la-kinyaturu-ni-black-mamba
Maoni