Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NI WANGU PEKEANGU* *________________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  Erica ni binti wa mwisho katika familia yenye watoto wanne kaka watatu na yeye ndio dada pekee
Gonga94 · Stories

*NI WANGU PEKEANGU* *________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Erica ni binti wa mwisho katika familia yenye watoto wanne kaka watatu na yeye ndio dada pekee

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, alikuwa ni mwanamitindo anae fanya kazi zake nchi mbali mbali alikuwa na furaha sana akiwa na kazi zake za urembo, kakazake Fred Franco na France walikuwa na kazi zao japokuwa walikuwa bado wapo nyumbani kwakuwa walikuwa bado hawajaoa hivyo mamaao alikuwa anataka wasitoke pale mpaka watakapokuwa wameoa, sikumoja Erica alikuwa na rafikiake Vanessa wanataniana Erica anamwambia Vanessa twende nyumbani kwetu leo
Vanessa akamjibu umeniandalia nini mpaka unipeleke kwenu
Erica akajibu nina makaka ma handsome hatari twende ukachangue
Vanessa akacheka na kumwambia kuwa nitaenda nijionee, Erica akamwambia tulia
Walianza safari yakwenda nyumbani kwa kina Erica walifika mama wa Erica aliwapokea na kumkaribisha Vanessa vizuri kisha walielekea chumbani kwa Erica
Baada ya muda ilikuwa mida ya usiku saa2 mama aliwagongea mlango na kumwambia Erica mjiandae kuja kupata chakula cha jioni pamoja mezani
Erica na rafikiyake Vanessa walitoka na kuwakuta kakazake Erica wamesha kaa mezani tayari kwakula pamoja na mama na babaao, walipofika nao walijumuika nao ila kakazake Erica walimshangaa sana Vanessa kwani alikuwa kazuri karembo mnoo walipomaliza kula Erica na Vanessa walielekea chumbani kwao na kuendelea na mambo yao baada ya muda mchache wakiwa chumbani Erica alimwambia Vanessa naenda kwamama malamoja kunajambo naenda kiongea naye alimwambia kuwa na amani yumba yoote kama kwenu ukihitaji maji juice au chochote jikoni kileee chini wao walikuwa gorofani,Vanessa akamwambia sawa usijali kisha Erica alielekea chumbani kwa mamaake.
Vanessa aliamua kushuka na kuelekea jikoni kuchukua juice hivyo alifika jikoni na kumkuta Fred akiwa nayeye anamimina juice akamwambia naomba nikumiminie juice mrembo kama hutojali
Vanessa alikubali kisha akamiminiwa juice na kumwambia asante
Fred alianza naitwa Fred nidoctal wewe unaitwa nani Vanessa akamwambi naitwa Vanessa ni mwanamitindo
Kisha Fred akamwambia wewe nimrembo
Vanessa akajibu asante
Kisha akaondoka kuelekea chumbani wakati anawahi chumbani alikutana franco kwenye coldo na kumwambia mrembo jinalangu naitwa Franco ni muhasibu wewe je
Vanessa akajibu naitwa Vanessa nimwana mitindo
Franco akamwambia wewe nimrembo sana
Vanessa akajibu nashukulu kisha alienda moja kwa moja chimbani
Erica alipofika akamwambia vipi umeboreka kuwa pekeako
Vanessa akamwambia hapana nimekutana na Franco na Fred wamenichangamsha aikuboreka
Erica akacheka na kumwambia hao ndio kakazangubwana hahahaaa
Vanessa akamwambia na nimahandsome kweli
Erica sasa umemuelewa yupi hapo na bado hujaonana na France yeye pia nimfanyabiashara yuko bize
Vanessa kwakweli nihatali hongera kaka zako niwakarim mnoo.......je nini kitaendelea fuatilia bila kukosa

NI WANGU PEKEANGU epsd 2.

Erica akafurana nakuitikia asante Vanessa, walifurahi kwa pamoja kisha walilala pamoja Vanessa na Erica, asubuhi ilipofika waliamka na kujiandaa kisha walishuka kwenda kupata chai na kisha waende kwenye kazi zao walipomaliza chai walianza kutoka pamoja kakazake Erica wakaanza kumwambia Erica nawapa lift twende Franco akamwambia Erica njoo na rafikiako nitawapeleka mnapo taka huku nae Fred nae anadai hivyo hivyo hata France ila Erica akawaambia nivile nipo na Vanessa ningekuwa mwenyewe haya tutaondoka na ubar akatrack mtandaoni ubar nakuachana na kakazake walicheka walipowaacha baadae walipotoka kwenye miangaikoyao waliludi nyumbani pia Vanessa na Erica walikuwa nyumbani hapo alitoka Erica chumbani kwake na kwenda kwa mamaake sahiyo hiyo alikuja doctor Fred chapu akagonga mlango na Vanessa alifungua kisha Fred akaingia nakumwambia naomba namba yako yasim kisha tutachat tafadhari kabra Erica hajafika Vanessa alimwandikia nakisha akaondoka chumbani kwake baada yamuda walipotulia walianza kuchat
Fred akaanza mambo mtoto mzuri
Vanessa akajibu safi
Fred akamwambia hakika wewenimrembo sana hata aje mwanaume wa ainagani lazima akilihili kwako
Vanessa akamwambia nashukulu
Basi walichati muda mrefu hadi Erica alikuwa tatari kaludi na kumuuliza mbona bize unachat nanani
Vanessa akamwambia Fred
Erica akacheka doctor amepata wapi nambayako
Vanessa ulipotokatuu akaja nakuichukua
Erica akacheka tena haya bwana akasema hayaniusu niwaache wenyewe
Basi Vanessa na Fred walichati muda mrefu na mwisho Fred alimwambia anampenda wawewote kwenye mausiano
Mwisho Vanessa aliona amkubalietuu kwani pia yeye Fred alikuwa mzuri alimpenda
Walikuwa kwenyeuhusiano wa sili ikiwa na wenzie wote wanamtolea macho wakitaka kuwa na Vanessa
Fred alipoona hilo linazidi akaona amvishe pete yauchumba Vanessa ili kuwavunja nguvu nduguzake na kumtambulisha hadi mbele ya baba na mama
Wakawa muda mwenginge Vanessa anakuja anaingia chumbani kwa doctor na kulala hapo ila bado haikusaidia kwani Franco alikuwa anampenda sana Vanessa
Mpaka inampelekea kutoelewana na Fred kwajicho analomtizama Vanessa nilamatamanio hadi anachukia
Kunasiku Fred alisafili Vanessa alikuja pale kisha muda wakulala ulipofika aliingia ndani kulala alikuja Franco akagonga mlango na Vanessa alienda kufungua alipofunguatuu Franco akaingia, Vanessa akamwambia nini shida Franco nikusaidie
Franco akamwambia niwewe
Vanessa nimefanyanini mimi alimjibu
Franco akamwambia wewe niwangu sio Fred ameniibia
Vanessa akamwambia sitaki nampenda yeye sio wewe
Franco akamwambia sio kweli niviletuu uponae
Vanessa akamwambia nawezaje kuwa na mtusimpendi
Franco alimsogelea nakisha alimdodosha Vanessa kitandani.......je nini kilitokea endelea kufatilia similizi yetu
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NI WANGU PEKEANGU* *________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Erica ni binti wa mwisho katika familia yenye watoto wanne kaka watatu na yeye ndio dada pekee

, alikuwa ni mwanamitindo anae fanya kazi zake nchi mbali mbali alikuwa na furaha sana akiwa na kazi zake za urembo, kakazake Fred Franco na France walikuwa na kazi zao japokuwa walikuwa bado wapo nyumbani kwakuwa walikuwa bado hawajaoa hivyo mamaao alikuwa anataka wasitoke pale mpaka watakapokuwa wameoa, sikumoja Erica alikuwa na rafikiake Vanessa wanataniana Erica anamwambia Vanessa twende nyumbani kwetu leo
Vanessa akamjibu umeniandalia nini mpaka unipeleke kwenu
Erica akajibu nina makaka ma handsome hatari twende ukachangue
Vanessa akacheka na kumwambia kuwa nitaenda nijionee, Erica akamwambia tulia
Walianza safari yakwenda nyumbani kwa kina Erica walifika mama wa Erica aliwapokea na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-________________________________________-sehemu-ya-kwanza-erica-ni-binti-wa-mwisho

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ni-wangu-pekeangu-________________________________________-sehemu-ya-kwanza-erica-ni-binti-wa-mwisho
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

625
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

568
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

474
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

414
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

347
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

135
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

86
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

83
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

69
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

54

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest