Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
14 Jan 2026
7 views
VYOTE NDANI GONGA94
Ronaldinho π§π·π£"Unajua, jina langu halisi ni Ronaldo. Ronaldo pekee. Lakini huko Brazil
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, mpira wa miguu ni kila kitu, na nilipofika na Timu ya Taifa kwa mara ya kwanza, niliingia kwenye chumba kilichojaa watu niliokuwa nikiwatazama kama mfano [Role model]."
π£"Tayari kulikuwa na Ronaldo pale - na si Ronaldo [wakawaida kawaida], bali 'The Fenomenon'.
π£"Alikuwa mkubwa, tayari, [alikuwa]mfalme, hivyo sikuweza kuingia tu na kuchukua jina hilo[Ronaldo]. Kwa sababu nilikuwa mdogo zaidi, washkaji walianza kuniita 'Ronaldinho.' [kwa Brazili , hiyo inamaanisha 'Ronaldo Mdogo.]'
π£"Wakati huo, sikufikiria sana kuhusu hilo. Nilitaka tu kucheza. Lakini ni ajabu kufikiria sasa - kama hakukuwa na Ronaldo NazΓ‘rioπ§π·, labda ulimwengu usingesikia kamwe jina 'Ronaldinho.' Nadhani ni vizuri walinipa jina hili. Lina tamkika vizuri, lina nguvu. Likawa utambulisho wangu, na ninajivunia vile linavyo wakilishwa na mashabiki."
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Ronaldinho π§π·π£"Unajua, jina langu halisi ni Ronaldo. Ronaldo pekee. Lakini huko Brazil
, mpira wa miguu ni kila kitu, na nilipofika na Timu ya Taifa kwa mara ya kwanza, niliingia kwenye chumba kilichojaa watu niliokuwa nikiwatazama kama mfano [Role model]."
π£"Tayari kulikuwa na Ronaldo pale - na si Ronaldo [wakawaida kawaida], bali 'The Fenomenon'.
π£"Alikuwa mkubwa, tayari, [alikuwa]mfalme, hivyo sikuweza kuingia tu na kuchukua jina hilo[Ronaldo]. Kwa sababu nilikuwa mdogo zaidi, washkaji walianza kuniita 'Ronaldinho.' [kwa Brazili , hiyo inamaanisha 'Ronaldo Mdogo.]'
π£"Wakati huo, sikufikiria sana kuhusu hilo. Nilitaka tu kucheza. Lakini ni ajabu kufikiria sasa - kama hakukuwa na Ronaldo NazΓ‘rioπ§π·, labda ulimwengu usingesikia kamwe jina 'Ronaldinho.' Nadhani ni vizuri...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ronaldinho-unajua-jina-langu-halisi-ni-ronaldo-ronaldo-pekee-lakini-huko-brazil