AAAAAH USINIFANYIE HIVO DADY 2,3 π₯Ήπ SEHEMU YA 02 Yule mwanaume kwenye simu akazidi kuzungumza na kuniita majina ya mahbπ₯΅
aliongea maneno mengi sana ya kichokozi mpaka mume wangu akashindwa kuvumilia ikabidi amuulize wewe ni nani upuz gani huu kwa mwanamke wangu?!.....
Yule jamaa baada tu ya kuisikia sauti ya mume wangu alikata simuπππRohan aliumia sana aliniangalia kwa maumivu makali mpaka machozi yakawa yanamtokaπ₯Ήπ₯Ή
Mimi hata sikujua nini niseme nilikuwa natetemeka vibaya mno nilikaa kimya nikawa naangalia tu chini
Hopu alikuja pale jikoni akiwa na bakuli mkononi akaniambia my wii umepika nini?! nipakulie kidogo nipashe utumbo leo najisikia kula pishi lako etπ aliongea hivo huku akinikonyezaπ₯Ί
sikuweza kujibu nilibakia kimya Rohan naye akawa ananitizama kwa hasira anatamani hata kuni meza aliamini kabisa huyo mwanaume aliyepiga simu ni mt wangu akaamini asilimia zote kuwa mimi nimsalitiππ
ukimya wangu ulimfanya Hopu anisogelee karibu zaidi akanishika bega wifi ninakusemesha..au basi acha tu nijisevie mwenyewe alipiga hatua jikoni
Mpaka lilipokuwepo lile sufuria lililoungua na chakula alilifungua kisha akapiga kelele mamaaaaaaaa nini hiki π³π³π³
"Kumbukeni alikuwa ashaliona lakini kwa vile Rohan yuko pale akaamua kuikoleza ile kesi upya"
Wifi nawe upunguze kuchart jamaniπ³π³cheki hadi unaunguza kuna siku utachoma nyumba utatu ua wote humu ndani hii si hatari hiiπ³π³ cheki sufuria lilivyoungua jamani.....
yale maneno ya Hopu yalizidi kumchochea Rohan akashindwa kuvumilia mkononi alikuwa kaishika simu yangu akaipigiza chini kwa hasira kisha akanivuta mbiombio kun chmbniπ₯Ίπ₯Ί
kwanini unanisaliti aliuliza huku akinikunja kunja kwa hasira...niambie kwaniniπ£π£ Amaya kipi sikupatii nielezeπ₯Ήπ₯Ή
Dah nyieee niliogopa mpaka nikawa nalia please dady nisikilize please mimi siko hivo sijawahi kukusalt hata siku mojaππ
Yani sijawahi kumuona Rohan katika hasira zile ile ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumshuhudia katika hali ileπ³π³π³ alikuwa na hasira mpaka anatetemekaππ
Na vile ni mweupe alikuwa mwekundu ghaflaπmikono yake ilitapakaa mishipa yani kama angenipga ngum au kibao mngenizk mie amayaπ
Rohan alichanganyikiwa kunipga ndo hivo hawezi aliishia kupig ngm za ukuta mpaka akajiumiza mwenyewe π₯Ήπ₯Ή
"Amaya sijawahi kufikiria kama kuna siku nitashea pnz lako na mtu mwingine nakuchkia Amayaπ£π£ nakuchkiaaaaaaaaaaaaπππ"
"Listen ninakupatia one week ufanye chaguo mimi au huyo jamaa mwingine tumuite Ghost ππbasi nikaambiwa nifanye maamuzi kati ya Ghost na Rohan namtaka nani?"
Baada ya Rohan kuniambia hivo aliondokaπ₯Ήdah nyie niliumia kwanza Rohan hali aliyokuwa nayo maskini njaaa plasi hangover za pombe na mikononi alipata majeraha wakati anapigana na ukutaπ₯Ήπ₯Ήhivi atakuwa sawa huko aendako kweli?
Bado nilikuwa ni mdogo sana na kusema kweli nilikuwa nampnda sana Rohan πsikuwa tayari kuachana naeπ₯Ήalf bora hata ningeachika kwa kitu kinachoeleweka siyo hili linaloendelea sasa hivi......
nilichanganyikiwa sana nilikosa furaha ya ndoa nilijitafakari huenda akawa ex wangu lakini ex wangu mimi tuliachana kwa wema tu ni baada ya yeye kumaliza chuo akarudi nchini kwao huko mbali na kutokana na umbali ikabidi tuvunje uhusiano..
Kila mmoja akamuvu on mimi nikampata Rohan nayeye akapata mwnmk mwingine maisha yakaendelea...
Na hata hivo huyo ex wangu hanaga tabia za kipuz hawezi kufanya vitu vya kijinga hivo kwenye mahusiano yangu sasa huyu ghost ni nani??
Nilichanganyikiwa sana lakini bado nilijiweka strong enough sikutaka yeyote agundue kile kinachoendelea kati yetu.....
niliona kukaa peke yangu chumbni nitazidi kuchanganyikiwa ikabidi nitoke niungane na wanafamilia ili niweze kupoteza yale mawazo.....
nilitamani kumpigia Rohan nijue anaendeleaje lakini sina simu ikabidi nivumilie tu siku nzima ikapita ulipofika usiku Rohan wangu pia hakurudi
Niliogopa sana na kutokana na hali aliyoondoka nayo nikawa nawaza huenda kuna kitu kibaya kimetokeaπ₯Ήπ₯Ήnilimlilia sana mungu mpaka kukakuchaππ
Asubuhi mlango wa chumbani kwangu ulibishwa niliamka haraka nikajiweka sawa nilikuwa nimevimba sana macho nilijimwagia maji usoni kuficha ile hali kisha nikaenda kufungua mlango...
Nilishangaa kumkuta Hopu pale mlangoniπ³π³we unataka nini mlangoni kwangu asubuhi yote hii??nina shida na kaka yuko wapi?? Ooo mume wangu siyo?? Wa nini asubuhi yote hii??
oh there is a family ishu nataka kuongea naye, family ishu eeh okayπππ Rohan kasafiri akirudi mtaonana na mtaongea.....kaenda wapi maana nampigia sana simu hapokeiπππ
yani kanataka mpaka kujua ni wapi alikoenda mume wangu kanatafuta nini hakaπ³π³π³ ilibidi tu nijikaze nimjibu vizuri naye akazidi kunihoji mko salama kweli na mumeo?! Mbona ka vile ulikuwa unalia??..... hauna hata nuru usoniπ©
Maswali ya Hopu yakazidi kunitia wasiwasiπ³π³alionekana kunichunguza sana hata hivyo niliendelea kumwaminisha kuwa mimi na mume wangu hatuna shida yoyoteπππ
alipoona hapati anachokitafuta akaamua kuondoka nilishamsoma huyu binti kuna kitu ndani yake na nitakijua very soon...
"Nahisi kuna vita kati yetu mimi na hopu ambayo mimi mwenyewe siijui.."
Nilikuwa na maumivu sana na yale maneno ya hopu ya kuwa Rohan hapokei simu yalizidi kunitia wasiwasi..
Niliwaza kuagiza simu mpya nimtafute Rohan lakini nikafikiria kama simu ndo inaleta haya yote kwanini nisikae hivyo kwanza nione huyo shetani mfarakanishi ni mbinu gani atakayotumia tena kuniangamiza......
swala la simu nililiweka pembeni nilikaa siku nzima bila kumuona Rohan wivu jumlisha wasiwasi vilizidi kunitesa sijui huko aliko yuko salama sijui atakuwa na mwnmke hukoπ₯Ήπ₯Ή
Basi bwana mawazo mpaka usiku ukafika nikawa nachungulia tu dirishani muda wote usiku ulizidi kuwa mkubwa na hapakuwepo na dalili zozote za kurudi kwa Rohan
Mwisho nilianza kusinzia ikabidi nisali tu nilaleπ₯Ήusiku wa manane nilishtuka usingizini nikiwa na kiu kali ya maji..
Niliamka nikatoka kwenda jikoni kuchukua maji.. wakati niko jikoni ghafla nilisikia kengere ya getini inalia kwa fujo sanaπ₯Ίπ₯Ί
Lazima atakuwa Rohan huyo.. ngoja nikafungue..wakati naweka ile glass ya maji ili nitoke nikafungue geit ghafla nikashangaa mlango wa nje unafunguliwaπ³π³
Nikasogea haraka mlangoni nikamuona hopu akiwa anakaribia getiniπ³π³huyu binti ana shida gani?? Inamaana usiku wote huu alikuwa macho anamsubiri Rohan??π€π€
Hii siyo kawaida nilibaki nimeganda pale mlangoni nguvu za kutoka zimeniishia..hata hivo mlinzi alikuwa tyr ameshafungua geit gari ya mume wangu ikaingia mpaka parking Rohan aliegesha gari akashuka..
Hopu alimpokea kwa kumbtoπ«π€karoho kaliniuma nyieeπ©lakini kwa vile ni ndugu hamna shida acha nisiwaze kupitiliza huenda ukawa upend wa kawaida wa kaka na dada..
Baada ya kumbtπ«π« Rohan alianza kupiga hatua kuja ndani hopu alimkimbilia akamhagπ«tena kwa nyuma alafu kwa hali isiyokuwa ya kawaida nikashuhudia hopu anaπ³π³
Aiseeeeeeeπ³π³π³ haki sikuamini huyu si kaka yake huyu mbona afanye hivo na wakati Rohan ni kaka yakeπ€π³π₯Ί??
Je kafanya nini????? Usikose uhondo wa sehemu inayofuata
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi