🚨DEAL DONE: Usiku huu Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars,Jonathan Sowah✅
Simba wamemfuata Sowah na Project nzuri kijana amekubali na dili limekamilika✅
Rasmi msimu ujao Sowah atavaa jezi ya Mnyama….
What a signing kwa Mnyama Simba🙌
Kwa habari zaidi follow @usajili_na_hansrafael14
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni