VYOTE NDANI GONGA94
Huu mmea unaitwa "Eskutuli ama Eshikundu" Wengine huita "Ikiraji" Wengine huita "Echoji".
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Hapa ukifunga ng'ombe, mbuzi au kondoo hawezi ng'oa ๐
Inasemekana mmea huu ni dawa;
i) kama huna appettite unakula mzizi wake
ii)Time mtoto amekatika kitovu, choma mzizi ya hii, weka jivu hapo. Ikaukie hapo. "Uvusura" ๐ witches never find huyo mtoto.
Wewe unajua nini tena kuhusu huu mmea? ๐
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi huu-mmea-unaitwa-eskutuli-ama-eshikundu-wengine-huita-ikiraji-wengine-huita-echoji