SHAMIRA sehemu ya 34&35
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu mimi kichwa kigumu .basi tulivyotoka kuoga tukavaa vizzuri kisha mwanaume akanishika mkono.kama sio alotoka kunidunda .tukaingia katika gari apo gari inanukia vizuri mno. Basi mwanaume akaendesha gari mpka masaki kuna hotel moja kubwa inaitwa delta. basi apo ndo tulipata dinnner nzito. Kila mtu alikuwa kimya na chakura .tulipomaliza kula .Hamadi akiniuliza shamira ebi nambie ukweli kwani haunipendi mimi?.nikasema hapana nakupenda tena nakupenda sana tu. Akasema sasa kama unanipenda kwa nn hufati vile nnavyokuelekeza mimi na kwa nn unafanya vitu ambavyo mimi sivitaki. Eti kipenzi mimi nna hasira sana shamira ntakuumiza naona kama unashindwa kufata vile nnavyotaka unanaonaje tukaachana kila mtu akafanye mamabo yake. Nyie yani nikaachwe kwemye dinner .nikasema sikia no mimi nakupenda hamadi na nisamehe siludii .akasema no nahisi kabisa utanisumbua shamira teali wewe kuna mazingira umeshayazoe. Umezoea maisha ya fujo na pirika pirika naona kabisa tutashindwana mbele
Bola niumie now ntazoea tu.mana nataka sasa nikakutambulishe kwa ndugu lakini naogopa sababu ya mambo yako. Nyie mbona chozi lilinitoka.nikasema hamadi plsss mpenzi nakupemda tuyamalize siludii tena. Akasema unajua nini. Ushawahi kuona nakunywa pombe ata siku moja.nikasema hapana. Akasema na sipendi mwanamke mlevi katika maisha yangu .unakunywa pombe mpka unakuja kunitapikia mimi .aseee najiona kabisa ntakuvunja wee mwanamke yani ntakuua so tuishie apa. Mh nikapoa acheni . nikasema plsssss.nikamshika mkono nikasema hamadi nisamehe siludii. Akaniuliza ukiludia .we haraka nikamjibu ndo niache now natulia .na nakuhadi naacha ujinga wote. Mh kweli namchuna pesa lakini na mie bwana namtaka mana anainafanya naishi maisha ambayo nilikuwa nayaona kwenye tv tu.na ananipenda mno niludi tena mtaaani nikaangaike kweli mh hapana jamani
Akanambia sawa nakusamehe kwa sharti. Nikasema lipi .akanmbia unatumia uzazi wa mpango sio.nikasema ndio.akanmbia unatumia njia ipi? Nikasema nna kijiti akasema toa .ukipata mimba utatulia .kesho nikienda kazini nataka ukatoe uo upumbavu apo sawa? Nikasema sawa mpenzi .akanambia sawa mh kanitetemesha kuniacha tena mbona na mimi nshakuwa namuelewa jamani. Mambo mengine aya uchakaramu tu ndo uanisumbua.basi baada ya pale tukaludi mpka nyumbani.nikajalibu kumtaka akanambia niache nimechoka .mh nikaona bado ana kitu moyoni kwake uyu
Basi kesho yake asubuh niliwah kuamak shoga yenu nikamuandalia chai mpemzi. Nikafanya na usafi kabisa nikaingia chumbani nikasikia anaoga. Nikaampigia pasi nguo zake alizotaka kuvaa .alipotoka wala hakuwa amenuna wala akanisalimia vizuro nami nikamjibu akavaa haraka kisha tukashuka kunywa chai.akanambia unakumbuka nilichokwambia .nikasema ndio akasema sasa zingua uone. Mh nazinguaje sasa nikasema sawa ntaenda kutoa .mwanaume akavuta pochi akaniachia mpunga mrefu mezani .nikasema acha nivumilia bakora tu kwa mambo aya weee hapana kwa kweli๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni