Awali Klabu ya Simba ili lenga kumpeleka Joshua Mutale ndani ya Klabu hiyo baada ya kunasa Saini za baadhi ya nyota katika eneo hilo.
Lakini Mutale ameuambia uongozi wa Simba yuko tayari kuondoka ndani ya Klabu hiyo endapo watakuwa tayari kuvunja Mkataba na siyo kwenda Kwa mkopo kama wanavyo taka.
Ikumbukwe Kwa sasa Simba inawachezaji 11 wa kigeni huku Neo Maema na Khadim Diaw wakitajwa kujiunga na timu hiyo.
Nyota ambao wanacheza eneo hilo kwasasa :
Mpanzu, Chasambi, Kibu, Mohamed Bajaber, Mutale, Morice Abraham pamoja na Neo Maema ambaye anatajwa kujiunga na timu hiyo.✍️
Unaiona nafasi ya Mutale ndani ya kikosi cha Simba kuelekea msimu ujao..