Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
11 Oct 2025
31 views
VYOTE NDANI GONGA94
๐จ๐จUPDATE: Baada ya kukaa kikao kirefu cha upembuzi viongozi wa Yanga wamesitisha dili la kocha kutoka Madagascar,Romuald Rakotondrabe.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Pamoja na kwamba Yanga walimtumia โoffer letterโ kocha huyo na alitakiwa kutua nchini jumamosi ya leo ili kusaini mkataba wa miaka miwiliโฆ..Ila baada ya kikao cha juzi kocha huyo ametemwa **baadhi ya viongozi wa Yanga wametilia shaka uwezo wake**
Sasa Yanga wameamua kubaki na Romain Folz,kisha kwenye benchi la ufundi ataongezwa msaidizi mwingine ili kuongeza ujuzi na ufundi.
Note: Yanga wataangalia kwa karibu Performance ya timu kama mambo yatazidi kuwa magumuโฆ.Folz atafukuzwa haraka sana.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
REALLY LOVE* Chapter 19
muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ...
๐จ๐จUPDATE: Baada ya kukaa kikao kirefu cha upembuzi viongozi wa Yanga wamesitisha dili la kocha kutoka Madagascar,Romuald Rakotondrabe.
Pamoja na kwamba Yanga walimtumia โoffer letterโ kocha huyo na alitakiwa kutua nchini jumamosi ya leo ili kusaini mkataba wa miaka miwiliโฆ..Ila baada ya kikao cha juzi kocha huyo ametemwa **baadhi ya viongozi wa Yanga wametilia shaka uwezo wake**
Sasa Yanga wameamua kubaki na Romain Folz,kisha kwenye benchi la ufundi ataongezwa msaidizi mwingine ili kuongeza ujuzi na ufundi.
Note: Yanga wataangalia kwa karibu Performance ya timu kama mambo yatazidi kuwa magumuโฆ.Folz atafukuzwa haraka sana.
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/update-baada-ya-kukaa-kikao-kirefu-cha-upembuzi-viongozi-wa-yanga-wamesitisha-dili-la-kocha-kutoka-m
Maoni