Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
25 Feb 2026
198 views
VYOTE NDANI GONGA94
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini.
"Kweli Enzo anakupenda walahi Maana maamuzi aliyochukua sio ya mchezo mchezo"
Alizungumza shoga yangu ambaye alijulikana Kama pili.
"Aaah Ndio hivyo, wahenga walisema Ndege wafananao huruka Pamoja"
"Ni kweli "
Majila ya Saa 10 jioni, Enzo akafika NYUMBANI akiwa na gari ambayo ni ngeni kabisa machoni mwangu, na niliamini Kuwa Ndio gari ambayo tutasafilia.
"Tunasafiri na hiyo gari ?"
Nilimuuliza Enzo pale tulipoingia Ndani.
Kabla Enzo ajanijibu kitu chochote nikaongezea neno.
"Bora ungenipigia wakati unakuja ningewal kuoga, Sasa hapa unisubili nikaoge Ila nimeshapaki kila kitu"
Enzo akaniangalia na kwa sauti ya serious akazungumza.
"Ishani, huu ni Muda wa ukweli na uwazi tu, Mimi siwezi kwenda kokote pale na wewe, na Kuanzia sasa hivi Mimi na wewe Basi "
Nyieeeeeeh hiki nini Tena Enzo anaongea kitu gani kwani.
Enzo hakuwa ata na muda wa kusubili jibu langu kwa mwendo wa haraka akatoka nje.
"We Enzo, Enzo Enzo"
Nilimuitilia uku nikimfata kwa kulia kabisa na kusababisha majilani kujaa.
"Enzo usinifanyie hivyo mwenzio"
Nilizungumza Kwa kulia uku nikimng'ang'ania enzo.
Kwa hasira Enzo akanisukuma na kuzungumza.
"Sikupendi Ishani na sikuwai kukupenda ni tamaa zangu za kimwili tu, nakuchukia sana, siwezi Kuwa na mahusiano na Binti wa kimasikini Kama wewe"
Nika........
Je Enzo amepatwa na nini? Ni kweli Enzo ajawai kumpenda Ishani? Nini hatima ya mahusiano. Yao? Ishani ataweza kuishi pasi na Enzo ? Maisha yake yatakuwaje pasi na uwepo wa Enzo ? Majibu yote tutakutana nayo kwenye season ni 2 see you soon byeeeeeh.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA sehemu ya 15&16
Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 ...
Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini.
"Kweli Enzo anakupenda walahi Maana maamuzi aliyochukua sio ya mchezo mchezo"
Alizungumza shoga yangu ambaye alijulikana Kama pili.
"Aaah Ndio hivyo, wahenga walisema Ndege wafananao huruka Pamoja"
"Ni kweli "
Majila ya Saa 10 jioni, Enzo akafika NYUMBANI akiwa na gari ambayo ni ngeni kabisa machoni mwangu, na niliamini Kuwa Ndio gari ambayo tutasafilia.
"Tunasafiri na hiyo gari ?"
Nilimuuliza Enzo pale tulipoingia Ndani.
Kabla Enzo ajanijibu kitu chochote nikaongezea neno.
"Bora ungenipigia wakati unakuja ningewal kuoga, Sasa hapa unisubili...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaash-boss-enzo-sehemu-y-ishirini
Maoni